Tido Mhando nae Ang'oa

Kilichomuondoa TBC1 ni kuendelea kuonyesha vipindi vya kampeni za vyama vya upinzani ili khali CCM walishajitoa....

Ni kwamba; hawa viongozi wa 'kidumu chama' hawataki kufanya kazi na mtu anaye analyze mambo na kufanya interpretations za situation. Mfano Nape walitaka kumprun kwa sababu hio.
 
Mpendwa Tido bin Mhando,
Hizi ni salamu zangu kwako. Laiti ungelijua usingewaamini hao wanasiasa. Hawatabiriki! Wakikutaka watakupa hata miaka 10 bila hata mkataba, wakikuchoka hakutakucha ukiwa umekalia cheo chao hata uwaumbie dunia mpya.

Pole na asante

Ndimi mpiganaji
Prof. Emeritus Mpambalyoto
 
anacho lalamika ni nijinsi ulivyo kiukwa mkataba wake walitakiwa wamjulishe miezi 6 kabla ya mkataba wake kuisha kuwa hawataongeza mkataba hivyo kukaa kwao kimya kulishalia mambo safi kwake...

Kwa kuwa alijua fika kuwa mkataba unaishia Dec 15, ni dhahiri alifahamu kuwa amekalia kuti kavu. Kutotumiwa barua miezi 6 kabla haimaanishi kuwa by default mkataba unaendelea.....
 
Siku zote watu huheshimiwa kwa misimamo yao, hata vitabu vitakatifu vinasema usiwe vuguvugu, ni heri uwe baridi au mto! Msimamo ndio utakaofanya nguvu ya umma iwe pamoja nawe, sina uhakika na hili la Tido
 
Bado mweema virungu havikutembea sana!
tena huyo ndio wanamtafutia speed...haiwezekaniwatu wakawa wanazingira wanaohesabu kura kwa kisingizio cha kulinda kura halafu yeye anashindwa hata kutoa demo kwa kumwaga vidamu kidogo tuuu!!! halaf mbaya zaidi...eti CDM wanachukua majimbo...polisi mlikuwa wapi??? sasa kitakachomkuta Mweeema ndicho kilichomkuta Tirdo!!!
 
Back
Top Bottom