KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,711
- 12,067
Kuna tetesi kuwa aliyekua bosi wa TBC Tido Mhando naye ameng'oa vitasa na kukwapua mapazia ya ofisi.
Mwenye tetesi kamili atujuze.
Mwenye tetesi kamili atujuze.
heeee ngonja nikaturnNilichoona ameondoka na TBC 2.
TBC2 mbona iko hewani mkuuuNilichoona ameondoka na TBC 2.
anacho lalamika ni nijinsi ulivyo kiukwa mkataba wake walitakiwa wamjulishe miezi 6 kabla ya mkataba wake kuisha kuwa hawataongeza mkataba hivyo kukaa kwao kimya kulishalia mambo safi kwake...Jana nilimsikia akilialia TBC eti amepewa barua ghafla ya kuachia ulaji, japo alijua mkataba unaisha Dec 15.Alitegemea kwa kazi aliyofanya angeendelea kuula kwa miaka 4 ijayo.
ze comedy hawajachangia kuleta wapenzi kwenye hii tiivii?:embarrassed:ila hawako fair, tbc bila TIDO Mhando ilikuwa haiangaliki na kwa kweli ilikuwa hana wapenzi wengi, labda wale makada wa ccm tu ndio walikuwa wanaifuatilia
Ameshapata ABC TVKwa kazi aliyofanyatbc hawezi kukosa kwingiine,
No wonder bosi mpya akawa mwanamke.