Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,197
Hili ni fundisho kwa watanzania walio nje kuwa kama mnaprofession zenu ni bora mkae huko huko. Mkirudi hapa Tanzania yatawakuta ya TIDO, nadhani TIDO amekuwa vivid example.sasa ni muda wa Tido kuzungumza kiundani yale yote anayoyajua kuhusu siasa za Tanzania-ni muda wa kueleza mabaya yote-ili hawa magamba next time wafunge midomo yao