Tido Mhando awa bosi Al-Jazeera Kiswahili!

Hongera Tido, mwanamapinduzi. Daima kuwa na msimamo na kusimamia yale unayoyaamini mbele ya jamii ndiyo siri ya mafanikio yako. Tulikusikia na tuliona utendaji wako wa kazi uliotukuka. Tunafurahi kuwa sasa umepata jukwaa rasmi la uchunguzi hasa litakaloeneza macho na kamera zake katika ukanda huu wa Afrika ya mashariki na kati ambapo mwafrika ameendelea kuwa mkimbizi wa kila kitu ndani ya ardhi yao. Uzuri, hata wewe ni shuhuda wa yaliyokupata baada ya kufanya kazi yako bila ubaguzi kwenye uchaguzi uliopita!

Wapenda haki, tunajivunia mafanikio yako!
 
Hongera sana Tido,nmeyakubali yale maandiko...mlango moja ukifungwa mamilango kibao yanafunguliwa...chapa-kazi mkuu,ikibidi anzisha tena kipindi cha "mchakato majimboni" kama ni-vipi wazukie mwenye IGUNGA uwape-kibano cha mbwa mwizi

Hata milango yote na madirisha vikifungwa, Mungu anaweza kukupa mabawa kisha akafunua paa halafu ukatoka.
 
Hongera nakushauri fuata mila zote na desturi ikiwemo kaanun za habari utafanikiwa. Kwani huko hakuna mchezo.
 
Big up mkuu,
usisahau ya nyumbani na usiogope kwani utaokoa wengi
kila SIKU habari za kutisha na kuua watz (kiafya na kiroho) na hakuna wakuwahukumu.
 
Tido tutakukumbuka sana! Itakuwa somo kwa viongozi wetu kujifunza pale inapotokea wanawapinga viongozi wanaopenda kuleta maendeleo ya kweli...kisa manufaa ya chama. Siungi mkono serikali yoyote inayotanguliza maslahi ya chama badala ya maslahi ya nchi kwanza.
 
Giant Arab Satellite television Al Jazeera has deployed former BBC editors Tido Mhando and Joseph Warungu to steer its Swahili Service Channel set to launch in 2012, a move set to create a seismic effect on the regional media landscape.

The new satellite channel to be based in Nairobi, will target viewers mainly in East Africa and Great Lakes regions, where majority are Swahili speakers. There are more than 150 million Swahili speakers in the two regions, but the channel will target a few millions at its launch.

Mhando and Warungu are household names in the region and the only ones to have held senior editorial management jobs at the BBC headquarters in London. “Mhando and Warungu are top names in journalism from the region, their presence in Al Jazeera Swahili will be going to be a vote of confidence for the channel,” said a top official familiar with the plans.

Officials in the media giant said the reaction in East And Central Africa on the news about the launch of the Swahili channel "has been great."

At the top of his BBC career, Mhando was the head of the Swahili Service, while Warungu was leading English to Africa Service at the station, and directly responsible for flagship radio Focus on Africa programme and Focus on Africa Magazine. Mhando started his careers as a radio DJ at the government-run Tanzania Broadcasting Corporation (TBC) in Dar es Salaam in early1980s. At the same times, he also reported for a number of broadcasters including Deutsche Welle, Voice of America and Kenya Broadcasting Corporation, known at that time as the Voice of Kenya.

In 1985, he moved to BBC Swahili Service in Nairobi and 14 years later, he moved to London and became the first African to head the service, a job he excelled in. *But he first gained his real field reputation during Kenya’s first multiparty elections in 1992 with his solid reporting and command of the language. *Notably, Mhando interviewed all presidents in the East and Central Africa region.

?In1990, Mhando fame reached its apex after he became the first journalist to report the disappearance and eventual death of the then Kenyan foreign minister, Dr Robert Ouko, and in January 2001 he was the last journalist to interview President Laurent Kabila of DR Congo. Their long and revealing discussion took place just weeks before his assassination.

In 2006, he retired from the BBC and joined TBC as the managing director, but four years later the government refused to renew his contract largely because of fallout with the politburo in the powerful ruling party Chama Cha Mapinduzi (Revolutionary Party) over TBC’s coverage of the 2010 elections.

On his part, Warungu, trained as high school Kiswahili teacher, worked his way up after working for government-owned Kenya Broadcasting Corporation and private Kenya Television Network.

In 1992, he joined BBC Swahili Service and 11 years later, he was appointed the head of the station’s African Service, replacing legendary African hand Robin White.

On his appointment, he said: "This is one of the most challenging and responsible jobs in the whole of African journalism.* More than 20 million listeners all over Africa rely on the BBC to keep them in touch with the continent. *I intend to build on the formidable reputation which Robin White has established for both programmes, strengthening our reporting of Africa and our links with partner stations."

Warungu has toured dozens of countries, including reporting from South Africa upon the release of Nelson Mandela in 1991 and United States when Barack Obama won US presidential race as well as covering several warzones.

This is not the first time the Arab channel is employing experienced BBC hands. With closure of BBC Arabic service in the 1990s, more than 250 journalists switched to the newly created Al Jazeera. Its English service has also hired a couple from the BBC, including Mohamed Addow and Yvonne Ndege who report from east and west Africa respectively.

Al Jazeera, armed with a war chest worth tens of thousands of dollars, is interviewing journalists from Kenyan TV stations to prepare for the launch. “Some of my journalists have been interviewed and are very keen to join Al Jazeera,” an editor in one of the top Kenyan media house told the Jackal News.

An Al Jazeera official said last month that so far, officials in Doha, the HQ, were proud with the response the channel was receiving in Africa, particularly this region, where it has made its reputation for covering issues that had been ignored by other international stations.

“Honestly, we have beaten BBC and CNN in this region,” he explained last month. Media analysts have said that since the US cable providers have refused to stream the channel, it would be wise if they sought other areas to expand. Attempts to get an official to comment on record failed as many feared to reprisals from the hugely secretive managers, who want to take other channels by storm.

Several journalists contacted said the launch of Al Jazeera, funded mainly by the Qatari government, will be a direct threat for local TV channels that have failed even at time when they received no direct threat from an international channel.

It was not clear whether Al Jazeera Swahili will start sourcing for advertisements from the local market, but if it does, certainly it will take a bigger chuck because of its regional audience, financial war-chest and high technology. They said that by November, they will have a clearer picture when to launch, but most probably within the first half of next year.

?The cable channel, especially its main Arabic-language Channel, has led an existence filled with severe ups and downs. It has simultaneously become the most popular TV channel among Arabs, while being reviled by many of the governments in the region, along with the U.S. government.

While showing a much more gruesome and hyper-realistic side of the wars in Afghanistan and Iraq (including dead soldiers on both sides), Al Jazeera has also come under*attack by American forces in both conflicts, with some accusing it of being the mouthpiece of terrorists, especially Al-Qaeda.

Hongera sana Tido Muhando...
Wenye magamba waelewe kwamba "Mungu si JK" na kwamba "Jitihada (Zao) hazishindi kudura"..
Uko huru sasa... Anika uozo wao hasa uozo wa karibuni wa Trilioni 3 unaomuhusu Lt. Gen. Shimbo na wenye magamba wenzake..!
Tunaomba uwe sauti yetu duniani kote..!
 
Hongera sana kaka Tido. Mlango wa TBC ulifungiwa lakini Mungu akakufungulia mlango wenye neema zaidi....usitusahau lakini kutujuza nafasi za kazi wazawa nao angalau waaply
 
Hongera Tido Mhando sasa uwamalize waanike kabisa uozo wao kwenye channel inayo tamba duniani,

Na ukifika uchaguzi lete tena mchakato majimboni tuwamalize kabisa!!!! Hongera Mungu wa Isaka na Yacobo kwa kumuona mja wako (Tiddo Mhando)
 
Unafiki wa Wazee wa Magamba utafika mwisho siku moja. Time will tell. Mi nawachukulia magamba hawa kama makaburu katika nchi ya South Africa ama Wamarekani ambao hata siku moja hawakuwahi hata kufikiri kama siku moja wataangushwa wazima wazima.. Twende tu..
 
Hongera sana TIDO, Susan Mungi Nae yuko wapi au ndio nae ataenda Al-jazeera ????
 
Mcheza kwao hutuzwa, kwa hiyo Tido kumbuka home na usilipize kisasi ila endeleza ukweli ule ule uliokufanya ukaondoka TBC. The fact is ulikuwa mkweli ili ukataliwe na wenye kupenda mambo ya kufunika na ukasimama kidete Mungu akapendezwa na wewe na ona amekupandisha juu kwenye kinara na sasa unawaangalia TBC wakitambaa chini. Umeinuka na umepandishwa juu na maadam unayajua mengi kama Musa ktk nyumba ya Pharao basi uliko ni hakika utakuwa Musa mkombozi wa wana wa Israel.
 
Hongera Tido...kazi kwanza...ila isaidie nchi yako...inahitaji kubadili utawala...najua unao mchango mdogo uwezao kulifanyia taifa lako...na wajukuu zako wajao...na fursa ya kufanya hivyo ni sasa...Mungu awe nawe!
 
Kama kawaida yetu....... TULIMBWAGA CHEYO.WAGANDA WAKAMCHUKUWA......... NA SASA TUMEMBWAGA TIDO.....WENGINE WAMEMCHUKUWA............... UKIONA CHA NINI WENZIO WANASEMA WATAKIPATA LINI........
 
Back
Top Bottom