Adolph Hitler alipata sympathy ya taifa hakuna alijaribu kumkosoa u c what he did is just a history.
magufuli sio mwanasiasa ni mtendaji so anaitaji check n balance otherwise it will b a danger to prosperity to our growing democracy n human right
Tanzania siyo Sweden or Denmark, unajua Singapore imeendeleaje? Soma historia ya Singapore baada ya uhuru na PM wao
Check n.balances peleka kwenye makatarasi ya mijadala ya kitaaluma. Tz hatuhitaji katiba ya kugawana madaraka which means kugawana ulaji na kuongeza ufisadi na.ubabe wa taasisi na mihimiki mingine ya dola.
Vilevile angalia kenya na progressive constitution yao bado wanalalamika hamna kinachoenda au nafuu ya maisha...bunge linataka nguvu zaidi na kuziabuse, rais anahonga wabunge wasifukuze mawaziri,the more things change the more they remain.the same.
Africa na Tanzania tuna mazingira yetu na tamaduni zetu hatuhitaji too liberal or progressive constitution kuendelea kijamii na kiuchumi tunahitaji upeo, na.participation na elimu ya wananchi iongezeke kwanza na capacity ya tassisi za kitaifa kuinuliwa na strong executive kwanza ndiyo baadae tena baadae sana tupate hiyo katiba unayoitamani wewe...
Hatuwezi tukawa na tume huru ya uchaguzi huku Rostam akiwa na uwezo wa kuihonga yote bila kipingamizi chochote na.kutuwekea rais wake
Hatuwezi tukawa na tax boss anashiriki upotevu au uzembe na executive hawawezi mfukuza hadi msururu mrefu wa kikatiba utakaopitia wapi sijui bunge au mahakama au kamati mojawapo ya katiba
Hatuwezi tukawa na bunge lafi litakalojipangia posho zake na kujiongozea nguvu nyingine za kikatiba huku executive ikiwa butu inaangalia tu
Jipange upya Assad wa Syria kama umetumwa wafikishie ujumbe maboss wako