Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Habarini za usiku huu
Ningependa kushare nanyi hii tiba mbadala ya chumvi kwa wale waamini na wenye uhitaji, hii si uchawi ushirikina wala ulozi na wala huhitaji kwenda kwa 'mtaalam' kupoteza pesa na muda wako huku ukiwa kwenye hatari ya kutapeliwa nk

Chumvi yenye matokeo bora ni chumvi ya mabonge, au ile chumvi ya kuchimba kwa vifaa vya kawaida (epuka chumvi ya viwandani ni mfu) japo inaweza kusaidia kwa kasi chake

Chumvi ni kinga bora kwa nguvu hasi zote ushirikina na nguvu nyingine za giza! Hata wale wanaohisi kuibiwa ama kuchafuliwa nyota zao, stimulus bora ni chumvi... Hata zile hatari nyingine katika ulimwengu wa roho, zote zinazokunyelemea kinga kuu pamoja na sala na imani yako kwa Mungu ni chumvi

MATUMIZI
Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka kitanda, chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinia ama kunuizia yale utakayo... Fanya ukiamini na kumaanisha.

Hapo hiyo ni kinga ya kujikinga na nguvu hasi lakini ukitaka kusafisha nyota yako(mtima/aura) kila uogapo weka chumvi kidogo kwenye maji kisha ogea..... Masharti ya kuoga ni siku 7 14 au 21 ama la mara 7 14 au 21
Nb: hii haipingani na imani yako kwakuwa hata kwenye maandiko tunaona chumvi ilivyotumika kutakasaView attachment 552038

Mubashara:
Pamoja na kwamba mada yetu ni ya chumvi lakini nakupa nyongeza ya hii ya kipande cha mkaa kwa wale wenzangu wa Uswazi kwenye chumaulete zongo na kulogana kusikoishaView attachment 552039

Alamsiki.......!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani kwa somo. Kuna bwana alichanganya chumvi ya dukani nusu kilo na majivu nusu kilo kwenye ndoo ya lita 20 ya maji, halafu akanyunyuzia kuzunguka nyumba yake usiku. Je majivu nayo ni kinga? Je hapo alikuwa anakinga nguvu za giza?
 
Only spiritually, Science ina wigo mfupi sana katika maisha ya mwanadamu, Maisha ya mwanadamu kwa asilimia kubwa yanatawaliwa na spiritual forces au spiritual realm . Mara nyingi madhara ya sayansi kwa binadamu ni madogo sana kulinganisha na madhara ya kiroho.
ni kweri but sasa mataifa masikini ndiyo bado yanaongozwa na mihemuko ya spiritual force. science explain what is true and what is force spiritual force. Today world to live by dogma is the problem in which culminating to umasikini wa kutupwa.
 
Asante kwa mara nzuri. Naomba kufahamu mwenye uelewa sitanii na sitaki mtu atoke povu kwa kejeli. Am serious. Chumvi nzuri ni IPI? Ya kwenye mifuko hii au Yale mawe mawe. Mfano Ukipata kigoma kuna wamama wanauza chumvi imefungwa kwenye mifuko fulani hivi na yenyewe ikoje ? Asante kwa majibu

Chumvi zote ni nzuri ila ha mawe ndio bora zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa mara nzuri. Naomba kufahamu mwenye uelewa sitanii na sitaki mtu atoke povu kwa kejeli. Am serious. Chumvi nzuri ni IPI? Ya kwenye mifuko hii au Yale mawe mawe. Mfano Ukipata kigoma kuna wamama wanauza chumvi imefungwa kwenye mifuko fulani hivi na yenyewe ikoje ? Asante kwa majibu

Sent using Jamii Forums mobile app

Chumvi zote ni nzuri ila ha mawe ndio bora zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini za usiku huu
Ningependa kushare nanyi hii tiba mbadala ya chumvi kwa wale waamini na wenye uhitaji, hii si uchawi ushirikina wala ulozi na wala huhitaji kwenda kwa 'mtaalam' kupoteza pesa na muda wako huku ukiwa kwenye hatari ya kutapeliwa nk

Chumvi yenye matokeo bora ni chumvi ya mabonge, au ile chumvi ya kuchimba kwa vifaa vya kawaida (epuka chumvi ya viwandani ni mfu) japo inaweza kusaidia kwa kasi chake

Chumvi ni kinga bora kwa nguvu hasi zote ushirikina na nguvu nyingine za giza! Hata wale wanaohisi kuibiwa ama kuchafuliwa nyota zao, stimulus bora ni chumvi... Hata zile hatari nyingine katika ulimwengu wa roho, zote zinazokunyelemea kinga kuu pamoja na sala na imani yako kwa Mungu ni chumvi

MATUMIZI
Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka kitanda, chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinia ama kunuizia yale utakayo... Fanya ukiamini na kumaanisha.

Hapo hiyo ni kinga ya kujikinga na nguvu hasi lakini ukitaka kusafisha nyota yako(mtima/aura) kila uogapo weka chumvi kidogo kwenye maji kisha ogea..... Masharti ya kuoga ni siku 7 14 au 21 ama la mara 7 14 au 21
Nb: hii haipingani na imani yako kwakuwa hata kwenye maandiko tunaona chumvi ilivyotumika kutakasaView attachment 552038

Mubashara:
Pamoja na kwamba mada yetu ni ya chumvi lakini nakupa nyongeza ya hii ya kipande cha mkaa kwa wale wenzangu wa Uswazi kwenye chumaulete zongo na kulogana kusikoishaView attachment 552039

Alamsiki.......!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah Mshanah, umesema huu sio uchawi,mbona unazungumzia tena miduara ya chumvi,kuzunguushia chumvi kwenye vitanda na psychic powers.Hivi tuanze kweli Mshanah kubeba mikaa mifukoni,si ndio uchawi wenyewe huo na watu watatuelewa kweli.Na hizo namba ni zile zile.

Mmm,huu ni uchawi Mshanah,usitudanganye.
 
ni kweri but sasa mataifa masikini ndiyo bado yanaongozwa na mihemuko ya spiritual force. science explain what is true and what is force spiritual force. Today world to live by dogma is the problem in which culminating to umasikini wa kutupwa.
Mkuu hapo kwenye nyekundu si kweli, ungejua ukweli kuhusu uhusiano wa mambo ya kiroho na mataifa yaliyoendelea ungeshangaa sana.
 
Back
Top Bottom