Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Umejibu vyema mkuu. Epsom salt ni chumvi ya haluli.Hutumika kama dawa ya kuharisha(Kusafisha tumbo).Chumvi inayozungumziwa hapa ni Rock salt au chumvi ya mabonge au mawe.
Yup Ulaya ndo wanaogea hio inatoa uchovu, stress etc lkn sio ka anayozungumza kaka mshana hapo juu....
hio chumvi mwende madukani hata viduka vya wahindi huko vya chakula mtapata
 
Yup Ulaya ndo wanaogea hio inatoa uchovu, stress etc lkn sio ka anayozungumza kaka mshana hapo juu....
hio chumvi mwende madukani hata viduka vya wahindi huko vya chakula mtapata
Yeye anawaonesha njia tu wakuu "chumvi chumvi tu hata magadi yao yanaitwa chumvi" ;)
 
Back
Top Bottom