Amoeba
JF-Expert Member
- Aug 20, 2009
- 3,289
- 781
Katka kuhangaika kwangu na dunia hii nimekuja kugundua mambo kadhaa ambayo napenda "kushea" na wanaJF woote.
1. Mungu akikuleta duniani lazima akuoneshe njia kwa muda flani tu, ukipita muda anadeal na wengine (hii nadhani n kwa sababu ana watoto wengi sana)
2. Mara nyingi pesa huchungulia kwanza mfukoni kwako kama kuna wenzake inakuja, kama hakkuna hata senti HAIJI N'GO! (Usitumie mpaka senti ya mwisho, ikibidi lala njaa ili uwe na salio kidogo mfukoni)
3. Hapa Tanzania kuna pesa nyingi sana, tena bure kwa kila mtu, ni akili yako tu, ukishastuka hautakaa unaamka saa12 kumuwahi BOSI
4. Huwezi kuvumbua bahari mpya kama unaogopa kuloose site of the shore! ukikaa miaka mitatu sehemu haieleweki ONDOKA, usiogope kutomwona baba, mama kwa muda mrefu.
5. UKIFIKISHA MIAKA 35 KIJANA HAUJAJUA RAMANI YAKO JUA UMEPOTEA!
6. Watu wana mipango zaidi kuliko matendo! usiogope kuwekeza, na ukiwekeza ujue kuna FAIDA an HASARA. Utaskia stori ooh!...alianza na kuuza maji!!..ujue aliweka nia na AKATHUBUTU. NA WEWE THUBUTU