This is why I am a Mnyika fan, not disapointed yet

And that's what I'm talking about ... man, you act like a Pitbull, you never let go.

Our collective vortex of complacency does not let go either, in fact it only speeds up the whirlwind down the bottomless drain.

Vituko kila siku. So why should I ?

This is why it is so refreshing to hear such consistent and well presented arguments like Mnyika's.
 
Aiseee nadhani mapenzi ya kiranga kwa Regia hayajifichi anashindwa kusema tu kamzimia .teh teh teh Kumbe na wewe umeona

We mchokoze tuu, mi sitakusaidia akija kukurushia makombora yake.. teh teh teh
 
Kiranga watu wa mijadala tunao wengi sana hata hapa Jf si tunajiona. Tanzania tuna wanasiasa wengi kuliko mahitaji.Tatizo letu Tanzania ni watendaji. In politics wich to me ndo mijadala tanzania tuko mbali sana. tunawazidi kenye uganda lakini kiutendaji

Just uliza swali hapa kwa great thinker . achague cheo au any decison making post moja alafu aseme atafaya nini within five years. Tunachojua hapa ni react na kucriticise tu na mijadala but utendaji mhhhhhhh

Aiseee nadhani mapenzi ya kiranga kwa Regia hayajifichi anashindwa kusema tu kamzimia .teh teh teh Kumbe na wewe umeona

Katika demokrasia huwezi kwenda kwenye utendaji bila mjadala. Na sijaona a more concise and consistently eloquent case for the opposition zaidi ya inayokuwa presented na Mnyika. Utendaji huwezi kumlaumu sana kwani hana serikali. Mpe serikali halafu akishindwa ku deliver kwenye programs zake utasema si mtendaji.

Bahati mbaya au nzuri siamini katika mapenzi in that context. Mapenzi ni nini kwanza?
 
This is why it is so refreshing to hear such consistent and well presented arguments like Mnyika's.
All kidding aside this guy is the real deal and I'm not sugarcoating here, I've never seen a young politician in Tz who is well informed like him.
 
Kiranga unaweza kutoa version ya kiswahili. au kuandika kingereza kinacholeweka. Sijui umeandika ili ueleweke au unaadika ili uonyeshe umahiri wako wa kukichezea kizungu. teh teh teh teh . Sioni sababu ya wewe kutumia mavocabulary magumu yanayotulazimisja tutafute dictionary. ( Naami tuko wengi lakini sio wengi wako tayari kusema)To be regarded as effective communication there must a common understanding of the message between a sender and a receiver. To be effective communication need to be simple but your style off communication sometime is complex. Ingawa sikuelewi but it fun to see how yu can play with eglish as I can with........The teh teh teh
bora umeona. Hapa hatuandikii the gurdian wala the nation. Tunawaandikia wabongo
 
We mchokoze tuu, mi sitakusaidia akija kukurushia makombora yake.. teh teh teh

Ushaona watu wa Lowest Common Denominator hao, fikra zote ziko katika some basic instincts tu kama some invertebrate arachnids.

Halafu nikitaka ku weed out some oxygen sucking plankton, watu wanalalamika kama Maimuna. You see my point ?
 
Y'all know I don't start nothing til there is something. Check my repertoire.

But def, this ain't nothing. This Mnyika be spitting some gems, and I have been observing. Time to give the bro some applause in the name of raising the bar to the next level. I couldn't have done it better, and you know how much of a critic I be when it comes to this. This guy understands the challenges much better than any opposition politician - or any Tanzanian politician for that mattert- I have heard so far.The question is, do Tanzanians understand him? He may very well - apart from a few urbanites and JF members- like he is the Tanzanian impersonation of "Publius" translating "The Federalist Papers" into a Tanzanian context, no easy task.

I recognize "No man is infallible", not even the Cardinal of Rome to me, or further even any deity for that matter - a fantastical notion to be sure- but that is another matter entirely.So when I say "fan" take it with this caveat. As an avid "Weiner voting constituent" - give a dog a bone for the positive liberal causes- I know how much rhetoric can be overrated (or is the Congressman still salvageable for the common good? Fvck my Americana, where bongo @?)

Despite my reservation abt the TZ opposition - certainly waaay less than my reservation about CCM- cut it any way, this is an eloquent, pointed, poised, pregnant, poignant, informative, detailed and reasoned presentation of our current predicament

I only wish Regia Mtema was this ready, eloquent and informed.

Now why did I have to mention this last nonentity......, never mind that.

Boss, are you trying to promulgate your exhortation or simply articulating superficial sentimentality? Because, I doubt if Mnyika himself will truly get your fairytale sentiments of applause...
 
Katika demokrasia huwezi kwenda kwenye utendaji bila mjadala. Na sijaona a more concise and consistently eloquent case for the opposition zaidi ya inayokuwa presented na Mnyika. Utendaji huwezi kumlaumu sana kwani hana serikali. Mpe serikali halafu akishindwa ku deliver kwenye programs zake utasema si mtendaji.

Bahati mbaya au nzuri siamini katika mapenzi in that context. Mapenzi ni nini kwanza?
Ahsante Mkuu Kiranga sasa tunaanza kukuelewa naona umeshuka toka majuu sijui, huyo kijana Mnyika yuko vizuri labda abadilike baadae kama kina fulani. Kwa sasa azidi kukaza uzi, Tanzania inayo kufa ainahitaji vijana wenye moyo na visions wa kuifufua tamtie moyo ajue kuna Watanzania wanamuunga mkono kwa saana!!!!!!!!!
 
Boss, are you trying to promulgate your exhortation or simply articulating superficial sentimentality? Because, I doubt if Mnyika himself will truly get your fairytale sentiments of applause...

I doubt you get "you".

And to all those who are whinny about my *bombast*, look at this shameless clown.
 
Fvck my Americana
Turudi huko kwa "u Americana wangu" wako.

John Mnyika anawindwa na mtego wa Hasheem Thabeet: pale unapofanywa na mashabiki kuwa nyota wa medani yako kabla ya mafanikio uwanjani halafu unyota bandia unachangia mporomoko.

John Mnyika ana rekodi gani bungeni? Thenashara wake mtatufahamisha.

Zitto na Slaa waliepuka mtego wa Hasheem Thabeet, walikuja hawajulikani, wakaishia wanang'ara. Mnyika kaja na jina al Maaruf, kapewa medani mpira haujaanza. Akae chonjo.

Kwa weledi wa kujieleza sijaona mithili ya John Mnyika, lakini kabla sijaimba chereko chereko huree huree gombe la Mnyika li lijazito nasubiri nione ndama kwanza. Kafanya nini bungeni?
 
Kiranga unaweza kutoa version ya kiswahili au kuandika kingereza kinacholeweka? Sijui umeandika ili ueleweke au unaadika ili uonyeshe umahiri wako wa kukichezea kizungu, teh teh teh teh . Sioni sababu ya wewe kutumia mavocabulary magumu yanayotulazimisha tutafute dictionary. ( Naami tuko wengi lakini sio wengi wako tayari kusema)

To be regarded as effective communication there must a common understanding of the message between a sender and a receiver. To be effective communication need to be simple but your style off communication sometime is complex. Ingawa sikuelewi but it fun to see how yu can play with eglish as I can with........

The teh teh teh

The material itself is not fit for you, it is for english people.
 
Turudi huko kwa "u Americana wangu" wako.

John Mnyika anawindwa na mtego wa Hasheem Thabeet: pale unapofanywa na mashabiki kuwa nyota wa medani yako kabla ya mafanikio uwanjani halafu unyota bandia unachangia mporomoko.

John Mnyika ana rekodi gani bungeni? Thenashara wake mtatufahamisha.

Zitto na Slaa waliepuka mtego wa Hasheem Thabeet, walikuja hawajulikani, wakaishia wanang'ara. Mnyika kaja na jina al Maaruf, kapewa medani mpira haujaanza. Akae chonjo.

Kwa weledi wa kujieleza sijaona mithili ya John Mnyika, lakini kabla sijaimba chereko chereko huree huree gombe la Mnyika li lijazito nasubiri nione ndama kwanza. Kafanya nini bungeni?

I anticipated this and pointed out in the original post "I know how rhetoric can be overrated".

I also noted that, before the implements, there has to be a coherent dialogue.

As much as you don't want to Hasheem Thabeet Mnyika, you also don't want to discourage the right rhetoric by being overly frugal with giving credit where it is rightfully due. Part of the Mnyika appeal to me is that he seems to be a soberly consistent person in a sea of power drunk politicos.

I did not say Mnyika is the Messiah, to the contrary, I stressed the fallibility of man. I merely gave credit to his rhetoric. Recognizing rhetoric for what it is.
 
Katika demokrasia huwezi kwenda kwenye utendaji bila mjadala. Na sijaona a more concise and consistently eloquent case for the opposition zaidi ya inayokuwa presented na Mnyika. Utendaji huwezi kumlaumu sana kwani hana serikali. Mpe serikali halafu akishindwa ku deliver kwenye programs zake utasema si mtendaji.

Bahati mbaya au nzuri siamini katika mapenzi in that context. Mapenzi ni nini kwanza?

But si hawa wabunge sasa hivi wana kitu kinaitwa CDF. What can they achive with minimum financial resorce amabzo wana power na authority ya control? Mimi kwangu hoja tu si kipimo nimeona watu wenye hoja nzuri wanajua sheria but kwenye utendaji ikawa tofauti.

Katika wabunge wachache wazuri wa bunge letu la sasa namkubali Myika . Lakini kama wabunge wengine pia ana mapungufu yake. Wabunge wengi hawasikilzi maoni ya wananchi.Wanasikiliza kero lakini hawasikilizi mapendekezo yanayotolewa na wananchi juu ya kero.
 
Have not seen anything special hapa...au ni kujieleza kwake vizuri? Kwanza inaelekea kanuni za bunge zinampiga chenga. Na zimepiga wengi humu ndani chenga! Facts zinazofichwa:
1. Mbowe alijipeleka kwa polisi.
Polisi hawakwenda kumtafuta kwa hiyo sioni sababu ya wao kuhitajika barua ya kwenda kwa Spika/katibu wa Bunge kuomba ruhusa ya kumkamata Mbowe!

2. Kanuni za bunge zinalinda specifically against civil procedures.
a) Ni wazi kuwa hii ni a criminal issue, kwa hiyo hizo kanuni zinaweza zisiwe applicable.
b) mifano ya Mnyika haipo sahihi. Mbunge aliyemtolea mfano kwa kosa la kuua alikuwa anatakiwa kwa kuswaliwa, na sio kuwa arrested. Hii ishu ya Mbowe ni arrest na sio kumswali. Tofauti ya hayo mawili ni kubwa sana.

Lakini hongera zake kwa kuwa open, kuzungumza clearly na kuweka msimamo wake wazi kwa polisi, umma na hata bunge! Kama hilo ndio sifa mnayompa, poa!
 
But si hawa wabunge sasa hivi wana kitu kinaitwa CDF. What can they achive with minimum financial resorce amabzo wana power na authority ya control? Mimi kwangu hoja tu si kipimo nimeona watu wenye hoja nzuri wanajua sheria but kwenye utendaji ikawa tofauti.

Katika wabunge wachache wazuri wa bunge letu la sasa namkubali Myika . Lakini kama wabunge wengine pia ana mapungufu yake. Wabunge wengi hawasikilzi maoni ya wananchi.Wanasikiliza kero lakini hawasikilizi mapendekezo yanayotolewa na wananchi juu ya kero.

I don't subscribe to the infallibillity of any mortal, and in fact I stressed that several times above. Now the question becomes, in a sea of fallibility, which version is the most tolerable?
 
Back
Top Bottom