This is why I am a Mnyika fan, not disapointed yet

msitishike na kiingereza cha Kiranga, mbona hata mtoto wa darasa la nne anakiweza

Si ndio hapo sasa nashangaa.

Nimewaambia "I am not talking too fast, they are listening too slow".
 
Don't be fronting then.

As long as u try to hide ur upupu with ur language, i will act to confront at all times! Disguisers do disgust me...
Umeshindwa kutoa mfano wa mpinzani aliyezibwa mdomo kinyume cha sheria ndio maana unarukia mambo ya knowledge?
 
Freeman Mbowe na uongozi mzima wa CHADEMA.

Una information za maandamano ya January 5 Arusha yaliyopelekea mambo yote haya au unabwabwaja tu?

Wewe taja kanuni ya bunge unayoisema.

Eti "I will act", kweli una "act", actor. Nishakwambia quit fronting.
 
Freeman Mbowe na uongozi mzima wa CHADEMA.

Una information za maandamano ya January 5 Arusha yaliyopelekea mambo yote haya au unabwabwaja tu?

Wewe taja kanuni ya bunge unayoisema.

Eti "I will act", kweli una "act", actror. Nishakwambia quit fronting.

Hiyo ni interpretation yako ya hizo events. Kibali walinyimwa kisheria au sio kisheria? Kwani wamenyimwa kuzungumza hili jambo sehemu nyingine yeyote? Wamezuiwa kufanya mikutano ya hadhara?

Soma hichi kifungu:

Section 6 of the Parliamentary Immunities, Powers and
Privileges Act, 1988 (no. 3) states as follows:-

''No member shall be liable for arrest for any civil
debt except for a debt the contraction of which
constitutes a criminal offence."

Kwa manufaa ya knowledge yako, tafuta kitabu kilichoandikwa na Pius Msekwa "Parliamentary Privileges in Tanzania".
Katika introduction kinasema:
"There is ample evidence to show that the concept of parliamentary
privilege is not well understood by the majority of Tanzanians, including
some of the members of parliament themselves whom it is intended to
benefit, despite the fact that statutory provision for parliamentary
privileges, powers and immunities, has been in place for a very long
time,..."

Haya...ulidhani niliposema hii topic inawapiga watu chenga nilikuwa nasema tu kwa kujifurahisha! Pata knowledge ya bure hapo Mr 'know all about knowledge'....
 
Mimi niliona mwanzo,nikataka ku-****,ila nkapotezea
mara naona mwanakijiji kachangia nkasema heee,kumbe mimi tu ndo sielewi?
Kumbe tupo wengi,sijui nini maana ya uandishi kama huu,
basi wange peana PM huko tujue moja

Ha ha ha! Leo mmenifurahisha sana wakuu! Duh, mzee uliposoma uliona kama anamtukana mnyika nawewe ukataka ku*** Aisee, hiyo ni kali!!!!
 
Kiranga u ddn't have to mention R.Mtema in that manner, otherwise, ur post is well written.
 
Ha ha ha! Leo mmenifurahisha sana wakuu! Duh, mzee uliposoma uliona kama anamtukana mnyika nawewe ukataka ku*** Aisee, hiyo ni kali!!!!

Wabongo wameona english tofauti wakashindwa elewa...hahaha! Kazi tunayo. Ndio maana wakija wawekezaji sisi tunageuka kuwa ndio mzee!
 
ngumi jiwe, ungefanya utafiti na ndio upost hiyo kauli yako coz kuna mambo mengi mnyika ameyafanya kwa muda mfupi ikiwemo kupatikana kwa maji ktk kata ya Goba baada ya mbunge kuvunja kamati ya kifisadi ya awali na kuunda mpya. kupeleka umeme maeneo ya lilian kibo goba, kupunguza usumbufu kwa wafanya biashara (wamachinga) manzese, kusimamia juu ya kutengwa fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya makabe, ujenzi wa daraja jipya suka/golani, ujenzi daraja ubungo msewe ambapo fedha zimeshatengwa na soon kazi inaanza.
 
Mhh...Kiranga! This last Nonentity?.....(let me subscribe to your suggestion,i will ignore it,ha ha ha)

When he lost 2005 Election, he had a date with history, with destiny. He decided to be more recusant rather than being recumbent. He decided to be more quixotic rather than being laisser-faire- to challenge destiny destiny the more rather than relapsing into a cocoon of levity, or into a cocoon of political narcissisms.

Now the cosmic afforded him the lacuna to give a vivacious and vibrant representation to his constituency.

My Take; As for you Kiranga, Please spare your Audience with your Jaw-cracking words.You need to tender an unreserved apologia to your JF colleagues and all those who feel that your language is obscurantist. Try not to set out deliberately to mystify your audience, to deposit your audience in a portmanteau of indecipherability or in portmanteau of conundrum. No, no, no, no! spare them Ha ha ha ha!(I'm kidding).

Let the cosmic force take the better of you,reduce it radically.Please try to ensure that your language, or your idiolect is as limpid and as diaphanous as possible.Lol!

Mwingine naye huyu na madoido yake ya kulazmisha eti. cosmic force . what is cosmic force. na inahuhusnao vipi na hayo unayoonadika kama sio kujichanganya. au kuchanganya watu
 
Kila generation ina watu wake, huwezi kung'ang'ania umahiri wa kina Imhotep katika enzi za kina Ghonim.

Mnyika anapandisha kiwango cha rhetoric katika kizazi hiki.

Again, unless unataka udikteta, huwezi kupata vitendo bila mjadala.

Halafu ukimfuatilia Mnyika utaona ana vitendo vingi far and above rhetoric, case in point, kumefanyika mkutano wa kwanza kuwakutanisha washika dau wa jimbo lake kuhusu tatizo la maji, na sasa kuna mazungumzo ya kuondoa monopoly ya ugavi wa maji ili private operators waweze kufunga mitambo ya maji as a result of this powwow.

Nationally Mnyika kapeleka muswada wa mabadiliko ya katiba bungeni, very central to uprooting this overindulging falsely entitled regime.

Kabla ya kukandia research.
Mnyika hakuwahi kupekeka muswada wa mabadiliko ya katiba bungeni, unachemka halafu unanambia mimi nifanye research? Tafiti njia zako za kutafiti.

Mnyika kafanya "mkutano wa kwanza,"? Ubungo hakukuwahi kufanyika mkutano kabla? Au huu ni mkutano wa kwanza wa "generation ya Mnyika"? Generation ya Mnyika inaanza mwaka gani? Accurate estimates!

"Mazungumzo ya kuondoa monopoly ya ugavi wa maji" ndio mfano wako wa "vitendo" vya Mnyika "above rhetoric"? Rhetoric ina maana mpya katika generation ya Mnyika? Mbona unachemka? Mkutano na mazungumzo vimezaa nini?

"Huwezi kupata vitendo bila majadiliano," sio tatizo la Tanzania, tatizo la Tanzania majadiliano yamezidi, hakuna vitendo, tunataka vitendo ardhini.

Sijawahi kusisia mtu anaethamini jina lake anamsifu mwanasiasa kwa kubwabwaja. Kizazi chako na Mnyika vinashusha viwango vya kupima wanasiasa.

Naenda zangu shamba kuhemea chakula saa hizi, rhetoric za majadiliano zisizidi.
 
Hiyo ni interpretation yako ya hizo events. Kibali walinyimwa kisheria au sio kisheria? Kwani wamenyimwa kuzungumza hili jambo sehemu nyingine yeyote? Wamezuiwa kufanya mikutano ya hadhara?

Soma hichi kifungu:

Section 6 of the Parliamentary Immunities, Powers and
Privileges Act, 1988 (no. 3) states as follows:-

''No member shall be liable for arrest for any civil
debt except for a debt the contraction of which
constitutes a criminal offence."

Kwa manufaa ya knowledge yako, tafuta kitabu kilichoandikwa na Pius Msekwa "Parliamentary Privileges in Tanzania".
Katika introduction kinasema:
"There is ample evidence to show that the concept of parliamentary
privilege is not well understood by the majority of Tanzanians, including
some of the members of parliament themselves whom it is intended to
benefit, despite the fact that statutory provision for parliamentary
privileges, powers and immunities, has been in place for a very long
time,..."

Haya...ulidhani niliposema hii topic inawapiga watu chenga nilikuwa nasema tu kwa kujifurahisha! Pata knowledge ya bure hapo Mr 'know all about knowledge'....

Mbowe alikosea lakini dogo unataka kutukoroga watu wazima hivi unajua maana ya civil case na criminal offence. Labda jaribu kujifunza maandamano yapo upande gani wa mashtaka (tip not a criminal offence) 'privilage act' ina state clearly on what grounds would the MP be arrested.

Hila jamaa aliharibu nae kutokueshimu mahakama, for that he deserves it.
 
Kitu wasichoelewa watu wengi, ukiwamo wewew, ni kwamba maandamano yalikuwa na kibali rasmi. CHADEMA wamefanyiwa vurugu tu.
 
mimi sijaongelea hilo kabisa! Whether kibali kilikuwa rasmi or not...is not the point here! And i guess ndio purpose ya current proceedings! jaribu kusoma kwa makini zaidi maana hata sijatumia lugha ngumu.
 
Mbowe alikosea lakini dogo unataka kutukoroga watu wazima hivi unajua maana ya civil case na criminal offence. Labda jaribu kujifunza maandamano yapo upande gani wa mashtaka (tip not a criminal offence) 'privilage act' ina state clearly on what grounds would the MP be arrested.

Hila jamaa aliharibu nae kutokueshimu mahakama, for that he deserves it.

Kwanza umejichanganya!!! Breach of a court order (contempt of court)...sio an offence?? Kasome hiyo sheria kwanza. By the way...hiyo ndio issue at hand, na ndio iliyoleta kukamatwa kwa Mbowe!

Pili...turudi kwenye maandamano, kufanya maandamano bila kibali sio an offence? I guess ni civil matter ndio maana polisi walihusika...
Note: A criminal offence doesn't have to be found in the Penal Code ndugu yangu.
 
Kwanza umejichanganya!!! Breach of a court order (contempt of court)...sio an offence?? Kasome hiyo sheria kwanza. By the way...hiyo ndio issue at hand, na ndio iliyoleta kukamatwa kwa Mbowe!

Pili...turudi kwenye maandamano, kufanya maandamano bila kibali sio an offence? I guess ni civil matter ndio maana polisi walihusika...hahahaha! Umesoma sheria wewe?

No mimi si mwanasheria but then i can handle an empty can, kama polisi hawakuhusika ulitaka nani afanye kazi ya kumkamata wakati wafungua mashtaka ni serikali. Tatizo lako unakariri sana bila kujaribu ku interpret at different angles umeshaambiwa kibali cha kuandamana walipata au ruhusa sijui waliomba?

From there on hayo maandamano yanatoka kwenye kanuni za kuvunja sheria kwa kuwa yalipewa baraka in the first place. Ndipo hapo sasa hii kesi tena uwezi kusema ina elements za criminal offence na ina amia kuwa civil offence. Sasa jaribu kuangalia what else lies on this side apart from the normal cliche unazo google.

Mwisho halafu hata sijui kama siku hizi wanashule za pumba maana hiyo paragraph yako ya kwanza is full of it, sasa nani alieota arrest warrant?
 
Lord have mercy....

hahaha...an empty can ehhe? Haya bwana....i guess my time in law school was a waste!!
Yani kesi imehama kutoka a criminal matter na kuwa a civil procedure? embu tueleze imehamaje basi? Na parties wa hiyo kesi ni nani?
Kasome Laws101, au nenda ka-google (not a bad source for a beginner) maana sina muda wa kukueleza tofauti ya criminal proceedings na civil proceedings. How the different proceeds are brought to court, etc, etc...
Jaribu kuelewa hilo kabla ya kufungua bakuli lako hapa au omba uelimishwe!
I guess serikali imeamua kuwafungulia mashtaka kwa sababu inaichukia Chadema na hawakuvunja sheria yeyote. Ohh...by the way...usisahau kuwa serikali ni ccm which makes the argument even stronger!hahahaha

N.B: Ivi unajua kwa nini serikali inashtaki mtu?
 
Back
Top Bottom