This is my future house...Whats yours?

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,610
MAIN LEVEL FLOOR PLAN
<center>
661197-FP.gif
</center>

<tbody>
</tbody>

UPPER LEVEL FLOOR PLAN
<center>
661197-FPU.gif
</center>

<tbody>
</tbody>

FIRST FRONTAL ELEVATION IMAGE
<center>
661197-PH.jpg
</center>

<tbody>
</tbody>

SECOND FRONTAL ELEVATION IMAGE
<center>
661197-PH(nite).jpg
</center>

<tbody>
</tbody>

REAR ELEVATION IMAGE
<center>
661197-PH-rear.jpg
</center>

<tbody>
</tbody>

ADDITIONAL IMAGE
<center>
661197-PH-gallery.jpg
</center>

<tbody>
</tbody>

ADDITIONAL IMAGE
<center>
661197-PH-family.jpg
</center>

<tbody>
</tbody>

ADDITIONAL IMAGE
<center>
661197-PH-kitchen.jpg
</center>

<tbody>
</tbody>

ADDITIONAL IMAGE
<center>
661197-PH-living.jpg
</center>

<tbody>
</tbody>
 
Ha ha haaaa!!! Itajengwa tu mkuu hata kama ikiwa bilioni 100...Maana waswahili wanasema kipandacho roho....

Maisha tunayoishi ni uchaguzi wetu wenyewe ukijiweka chini na utabaki chini kwani kila utakachokuwa unakipanga kinakuwa katika level ya chini lakini ukijiweka wewe ni kichwa na si mkia na itakuwa hivyo, WHERE THERE IS WILL, THERE IS ALWAYS A WAY
 
Ukianza kujenga unipe kazi ya kusimamia mafundi,naamini hadi unamaliza hapo na mimi ntakuwa namalizia tuvibanda twangu,kale ka bonyokwa na kale ka kigogofresh

ha ha haaaaa!!! Ili unichakachulie nyumba yangu...??? Labda kama nikiwa usingizini ndio nitakupa usisimamie.
 
Back
Top Bottom