This is my future house...Whats yours?

ORNATE%20CHILDS%20GRAVE.JPG

Dah!! All the best mkuu...make your dream come true.
 
Poa mkuu, tatizo ni kwamba hiyo future house yangu sina option, na siijengi mimi. Ila nimependa ndoto zako mkuu kwa sababu afikiriavyo mtu ndivyo alivyo, huwezi kufanya zaidi ya uwazavyo. Ni muhimu sana kuaim high na kuamini kwamba unaweza fanya chochote kama nia ipo. Thank God umepona na tumejumuika tena JF.
 
Kwa maombi yako mkuu nimeweza kupona japo sina raha siku ya leo.
 
Ha ha haaa!!! Kwa nini niite fisadi mkuu...kwani nimeiba au kufuja mali ya mtu au umma?

ilishakuwa notion hapa Bongo kila mtu akifanikiwa mtizamo wa kwanza wa sisi wa-Tz ni kwamba jamaa ni fisadi. hatufikiri kwanza njia zipi jamaa amepitia hadi kufika alipofika!
 
Naaam usemayo ni kweli kabisa mkuu...na hii ni kwa sababu ya hali halisi ya yanayojiri nchini kwetu.
 
Back
Top Bottom