This Damned Country!: Nyerere's Forgotten Speech

Hebu mshaurini Dr Slaa akate "posho" yake anayopata pale CHADEMA sasa.

Some people tried to compare Slaa and Nyerere...they are doing that simply because they hate CCM.

However, you can not compare Slaa and Nyerere....Nyerere developed theories and concepts he lived on his own ideology. I know Slaa and his team, I don't know his ideology.Nyerere is million times far better than Slaa. If he can hide his money not to be taxed in the name of allowance, do you think he is able to cut his 'salary' like Nyerere did?? never!!!

Tunavyosema taifa lina Ombwe la uongozi ni kuwa mtu wa aina ya Nyerere ambaye atakuja kitofauti tofauti lakini with the same caliber kama Mzee yule hayupo...lets be clear on this first.

The questions that disturb me is why is like this???
 
Kwangu mimi kosa moja kubwa la Nyerere ni katika transition ya kutoka chama kimoja hadi vingi. There and only then, a level bar would have been set. i.e. CCM should have been dissolved. Kila chama kingeanza na moja, kuanzia wanachama hadi vitega uchumi vya chama. Aliruhusu au kukubali la vyama vingi na papo hapo akajing'atua!
Kwakweli hata kuruhusu vyama vingi ilikuwa ni radical change. Mwandishi mmoja aliwahi kusema wakati pekee ambapo mwalimu Nyerere alikuwa anahutubia na watu wakaguna, tena kwa sauti, ilikuwa Karimjee wakati akiwashawishi wana-CCM (ilikuwa NEC au CC kama sikosei) wakubali vyama vingi. Haikuwa kitu rahisi, hasa ukichukulia kwamba wananchi walikuwa 'wamekataa' kwa asilimia 80 mambo ya vyama vingi. Pia sioni kama nchi ingekuwa stable kama vyama vyote vingevunjwa na kuanza kwa nguvu sawa, naamini bado CCM inge-prevail ktk short run.
Kwa maoni yangu, upinzani wa dhati(stable) ni huu wa sasa, huu unaokua taratibu, maana unaendana na kuimarika kwa elimu ya uraia kwa waTZ. Tutakapokuja kufika kilele cha mageuzi, hatutaweza kurudi nyuma tena. Mbinu na rafu za CCM zina mwisho, si umeona mambo ya ubunge wa Mwanza 2010?
 
Kwanza maandamano yale ya akina Sitta yakitaka kufanyika sasa, wakati huu wa mfumo wa vyama vingi yataruhusiwa? Watafika Ikulu? JK wetu atawapokea? Atakuwa na majibu yenye maamuzi ya palepale kama alivyokuwa Mwalimu? Taabu ni kuwa hata vyuoni sasa hawajadili masuala ya kitaifa kwa upana na uzito unaostahili. Wanahangaikia mikopo yao, posho zao za vitabu basi. Wamewageuza baadhi ya viongozi wa upinzani kuwa celebrities wao.
 
Uchaguzi huo wa kwanza wa kina Mrema ulikuwa 1995, miaka kumi baada ya Nyerere kuacha urais 1985. Huwezi uka make observations worth your name about Tanzanian political history and miss such fact by ten years, I mean you just can't be serious. Nyerere alikataa, alikandamiza, vyama vingi and political pluralism in Tanzania.

Generation ya hapa jamvini wachache sana walioona chaguzi za Nyerere, wa mwisho ulikuwa 1980. Ambao hawakuwa na legal voting age tunasikia kwenye oral history (historia ya Mwafrika ni simulizi, haiandikwi) tunasikia ballot box zilikuwa na picha ya Nyerere against a blank box, za wabunge zilikuwa zina nembo ya CCM against jembe na nyundo, za udiwani zilikuwa na picha ya CCM against picha ya jogoo.
And that was the democratic proclivity of Nyerere. Chagua CCM au kuku!

Tumetoka mbali. Bahati mbaya historia haziandikwi, hakuna anae bother, au anaejua, au mwenye balls za kuandika objective history of the man and his conscience, his
terribly hideous autocratic inclinations and such. Alifanya mengine, lakini Nyerere sie aliyeruhusu vyama vingi.

Samahani, labda unataka kujenga hoja fulani ambayo bado sijaielewa. Naomba niongezee hili, nakumbuka uchaguzi wa Rais Mwinyi na wabunge mwaka 1990, karatasi za kura nazikumbuka-mfano kwa urais kulikuwa na picha ya Mwinyi na kivuli, unapiga kura ya ndio au hapana. Lengo ni kutaka ieleweke kwamba, kwa mfumo wa chama kimoja hali ilikuwa hivyo, kwahiyo asihukumiwe Nyerere peke yake.

Hatuwezi kuzungumzia vyama vingi bila kumzungumzia Nyerere, pamoja na mambo mengine, maana alikuwa nje ya system, wananchi 'walikataa' kwa asilimia 80 na viongozi wengine wa CCM hawakuafiki wazo hilo, lakini bado alikuwa na ujasiri wa kushawishi wanaCCM waukubali mfumo wa vyama vingi kwa "misingi ya wengi wasikilizwe na wachache wapewe". Tumlaumu kwa kutuacha na katiba hii, ingawa bado nafikiri it could have been too much to ask for that. Bado nafikiri, upinzani stabe ni ule unaochipua wenyewe kuliko kutengenezwa! Upinzani lazima uendane na elimu ya uraia ya wananchi na kwa sasa kulifikia hilo ni suala la muda tu-tena mfupi!
 
Labda ungeuliza, baada ya ile referendum ambayo 80% walitaka kuendelea na chama kimoja, na 20% walitaka vyama vingi, aliyesema kwenye mkutano wa NEC haya maneno..."huyu mtoto amekua, nguo alizokuwa nazo sasa zinambana na anahitaji nguo nyingine...." ni nani.
 
Samahani, labda unataka kujenga hoja fulani ambayo bado sijaielewa. Naomba niongezee hili, nakumbuka uchaguzi wa Rais Mwinyi na wabunge mwaka 1990, karatasi za kura nazikumbuka-mfano kwa urais kulikuwa na picha ya Mwinyi na kivuli, unapiga kura ya ndio au hapana. Lengo ni kutaka ieleweke kwamba, kwa mfumo wa chama kimoja hali ilikuwa hivyo, kwahiyo asihukumiwe Nyerere peke yake.

Hatuwezi kuzungumzia vyama vingi bila kumzungumzia Nyerere, pamoja na mambo mengine, maana alikuwa nje ya system, wananchi 'walikataa' kwa asilimia 80 na viongozi wengine wa CCM hawakuafiki wazo hilo, lakini bado alikuwa na ujasiri wa kushawishi wanaCCM waukubali mfumo wa vyama vingi kwa "misingi ya wengi wasikilizwe na wachache wapewe". Tumlaumu kwa kutuacha na katiba hii, ingawa bado nafikiri it could have been too much to ask for that. Bado nafikiri, upinzani stabe ni ule unaochipua wenyewe kuliko kutengenezwa! Upinzani lazima uendane na elimu ya uraia ya wananchi na kwa sasa kulifikia hilo ni suala la muda tu-tena mfupi!

Huu wetu umechipuka wenyewe au umetengenezwa? interesting!
 
Mzee hii post kwakweli imenisisimua, thanx, sidhani kama JK wa sasa anaweza kusimama na kusema hayo, angeanza yeye kukataa hizo posho hakuna mtu chini yake angeipokea, nyerere alitangaza kupunguza salary kwa 20 percent hawa viongozi kuondoa posho tu na wabaki na mishahara yao tatizo, kweli tumekosa viongozi wa kuongoza kwa mifano mizuri, mifano wanayotuonesha ni ya ufisadi na kutetea vitu ambavyo wanaona kabisa taifa halina uwezo navyo kwa sasa. Serikali inawezaje kulipa mishahara na maposho juu kwa hela za msaada na kukopa?
 
Hotuba hii inatudokeza tu what leadership is all about...
What do we know now about leadership?? Tunafikiri uongozi mzuri ni kujua namna ya kudanya na kuongea maneno mengi yasiyo na tija....uongozi wa sasa unaenda kihuni huni utafikri ni group la mafia au ni serikali ya Italia....hii nchi imekuwaje???????????
 
Hotuba hii inatudokeza tu what leadership is all about...

Thanks a lot for sharing this very inspirational speech of the days. I think as we are lacking the part in red and I have a clue of how it started..the story goes like..Once upon the time the leaders came out of those who could lead in basic activity it being hunting, fishing etc. Then the 'wazungu' came and leaders came from the one who went to school like it was for mwalimu and some other guys like Kambona. After Mwalimu had got into the healm he started "picking" leaders out of his personel volition and that is when we started to bougie down and by this I mean if you don't have a criterion for "picking" people to lead you end up with what we have....I stand to be corrected though I belive in my short story.
 
Leadership by example is what was and will remain one of the leadership traits on this earth. Listening (being able to here from a spokesman & the eager to respond on the spot), critical thinking (assessing what went wrong with the government decision, but at the same time being able to think quickly how to address it-great thinker), openness (a leader never hide things, which are for the interest of the public), ready to take full responsibility (he said, we made a mistake) and the being ready to demonstrate commitment to what you believe is for the interest of the public (salary cut) are some of the key thinks a leader must possess (at least even through learning by experience). Unfortunately, we never & may be will never get the type of Nyerere once again! I am proud of the dead man who is alive in spirit (he still addresses us).
 
Some people tried to compare Slaa and Nyerere...they are doing that simply because they hate CCM.

However, you can not compare Slaa and Nyerere....Nyerere developed theories and concepts he lived on his own ideology. I know Slaa and his team, I don't know his ideology.Nyerere is million times far better than Slaa. If he can hide his money not to be taxed in the name of allowance, do you think he is able to cut his 'salary' like Nyerere did?? never!!!

Tunavyosema taifa lina Ombwe la uongozi ni kuwa mtu wa aina ya Nyerere ambaye atakuja kitofauti tofauti lakini with the same caliber kama Mzee yule hayupo...lets be clear on this first.

The questions that disturb me is why is like this???
And he is a trillion times far better than JK.
 
Mzee hii post kwakweli imenisisimua, thanx, sidhani kama JK wa sasa anaweza kusimama na kusema hayo, angeanza yeye kukataa hizo posho hakuna mtu chini yake angeipokea, nyerere alitangaza kupunguza salary kwa 20 percent hawa viongozi kuondoa posho tu na wabaki na mishahara yao tatizo, kweli tumekosa viongozi wa kuongoza kwa mifano mizuri, mifano wanayotuonesha ni ya ufisadi na kutetea vitu ambavyo wanaona kabisa taifa halina uwezo navyo kwa sasa. Serikali inawezaje kulipa mishahara na maposho juu kwa hela za msaada na kukopa?
Wakati mwingine ni bora kuogelea kwa kuelekea kule mkondo wa maji unapo elekea (swim against the tide or current ni kijisumbua na kuangaika bure), hii mambo ya kila kukicha kuzungumzia ilikuwa hivi ilikuwa vile wakati mwingine inakatisha tamaa. Najuwa wakati mwingine ni nzuri kujikumbusha yaliyopita, lakini hayo yaliopita tukiyazungumza bila ya kuchukua hatua mwafaka wa kutatua yale yanayotusibu sasa, hakuna wa kuja wala kufufuka na kutuelekeza wapi pa kupita, hao waliokuwepo miaka hiyo, wamefanya waliyo yafanya, na muda wao wa kuwepo duniani umepita, na sisi tuliobaiki kama tunataka kuwaenzi basi tufuate nyayo zao na si kila leo kulalamika tu.

Hii yote kwasababu watu wanafikiria serikali ndio yenye uwezo wa kila kitu kwenye maendeleo ya mtu na watu kwa ujumla, Watanzania tukibadilika basi tutaweza kufika kule tunapo taka kufika.

Yaliopita si ndwele, tugange yajayo.
 
The Genius at his Best..., Charisma, Good Communication Skills, Leading By Example and not curving in to anybody...
A MARK OF A TRUE LEADER
 
Manakijiji nakuunga mkono sana, Ukichukua thamani ya madini yote ambayo Tanzania tumejaliwa Thamani yake haifikii ya Nyerere kwetu sisi kama taifa.
Wapo wanaoamini kuwa Nyerere alukuwa kiongozi mbaya na kuendeza uzushi huu, they are very wrong, shame be upon them. Nyerere was one of the greatest leaders we ever had, na angezaliwa kwenye Nchi kubwa ndio mngeelwa vizuri, cause nadhani we are not acknowledging and appreciating that enough.

Alikuwa ana majibu ya maswali yote, alijua analolifanya na lina impact gani, angalia kwa namna jinsi alivyotoa majibu kwa waandamanaji, lazima mfyate mkia na kuondoka kimya kimya kwa aibu kubwa.

Mimi ni moja ya wale wanaoamini kupitiliza ile Sera ya Ujamaa, mwalimu was very rational on that, na bila uzandiki na ifitini wa mataifa ya kibepari Tanzania ingekuwa ni one of the worlds example that Africa can!

Leo hii wazungu wanatulazimisha tuamini kwamba ujamaa was wrong, na ni chanzo cha matatizo ya leo, Majuha wachache wanacopy paste na kuamini hivyo. useless Kabisa.

I don't only get inspired by Mwalimu I worship him!
 
Tom You are very wrong my brother! It will take me years to explain Nyerere and why he was failed.

Nyerere bwana alikua na idea alizoziamini kwa ubora na zinasikika vizuri kwa watu wengi, sasa kua na idea nzuri na kujenga tokana na idea uliyonayo ili iwe kweli hapo ndio ugumu uliopo. Hata hakujua namna ya kutafuta watendaji wazuri wa kumsaidi kujenga tokana idea zake.
Alikata mshahara wake 20% papo kwa papo, sasa laweza kua jambo zuri lakini yaonyesha zaidi alivyokua anaamua mambo kwa kukurupuka na kua power zote alijiwekea yeye mwenyewe - majibu yote kwa wanachuo alikua nayo na yalikua ni final bila mjadala wa ziada - he was a dictator sort of.

Alijipa power zote, nashangaa bado hakujenga TZ imara - wakati huo hata KOREA karibu tulifanana kiuchumi.

Hawa viongozi tulionao chini ya CCM, hawalipizi kitu ila wanafanya mambo tokana na culture ya CCM iliyojengeka toka enzi za Nyerere.
 
Mwl.Nyerere,a Tanzanian legend....his wisdom changed the world considerably!
 
Mkuu Kushindwa kwa idea za ujamaa (sio idea za nyerere because he was not the founder...) ni kutokana na ugumu wa policy za kijamaa kufanya kazi practically..., not because they are bad ideas but because of human nature....

Kuhusu kukata mshahara wake papo kwa papo..., thats what we call leading by example...., "Kama mimi nimefanya.., kwanini wewe usifanye"..., Thats the mark of a true leader.., kazi ya kiongozi ni kuwatoa from point A to B na kufanya what he thinks necessary ange-curve in sijui tungefika wapi...., "Give Them an Inch, They Take a Mile...."
 
Back
Top Bottom