This Damned Country!: Nyerere's Forgotten Speech

Semeni tena:

1) In an act of candor in his farewell speech while commenting on his economic policies he declared "I failed. Let's admit it."
Source: nyerere - We are African Youth

2) This ujamaa system failed to boost agricultural output and by 1976, the end of the forced collectivization program, Tanzania went from the largest exporter of agricultural products in Africa to the largest importer of agricultural products in Africa. Chastised for the failure of his ujamaa program to improve the Tanzanian economy, Nyerere decided not to run for reelection in 1985. With unusual frankness for a politician, he stated in his farewell speech, "I failed. Let's admit it."
Source: Julius Nyerere - Definition | WordIQ.com

3) "I failed. Let's admit it.
Source: Julius Nyerere Summary | BookRags.com

4) Read here also its quoted:
[h=1]The Dark Side Of Nyerere’s Legacy, By Ludovick. S. Mwijage[/h]Source: The Dark Side Of Nyerere’s Legacy, By Ludovick. S. Mwijage | My Africa

5) Nyerere accepts failure.

With the realization that the Tanzanian economy did not flourish and being unwilling to lead Tanzania using an economic model he did not believe in, Nyerere willingly announced that he would retire after presidential elections in 1985, leaving the country to enter its free market era under the leadership of Ali Hassan Mwinyi. In an act of candor in his farewell speech while commenting on his economic policies he declared "I failed. Let's admit it".

Source: http://observer.gm/africa/gambia/ar...walimu-julius-nyerere-icon-of-african-freedom

Vipi, wote hao waongo?

Niongeze au mnaikubali kuwa ni kauli ya NYERERE?

Uongo unaponukuliwa mara kwa mara haugeuki ukweli; hotuba yake tumeiweka hapo hutaki sasa? Wote wanasema kwenye 'farewell speech' lakini farewell speech ipi ? maana ile aliyoitoa ipo hapo. Sasa tuamini wanaosema hivyo au tusome na kuamua wenyewe?
 
Wakuu samahani kutoka nje ya mada kidogo.

Nimefanya my own analysis nikagundua kuna members au member wanafanana mno kwa sifa zifuatazo:

1. Hawampendi Nyerere na mambo yake yoote.

2. Hawapendi muungano, kwao Zanzibar is everything.

3. Wako obsessed na JK mpaka inasikitisha, in some terms unaweza kuita unconditional love to mwanasiasa JK hahahaha!

4. Ni seasonal mashabiki wa CCM especially now maana when push come to shove huwa wanadai wao ni CUF.

5. Hawaipendi Chadema.

6. Wanapenda sana kuingiza hoja za kidini kwenye aina tofauti tofauti za mijadala na wanaamini kila kinachofanywa na serikali au viongozi wa serikali regardless ya dini zao kuna motivation ya kidini nyuma yake.

7. Wanaamini Tanzania imeendelea mno sasa more than ever.

8. Wanapenda sana kutumia maneno umaarufu na wivu.

9. Ni watu wa kupenda ligi kwenye kila mjadala na ni mara chache huja na facts.

10. Wamewahi kula ban zaidi ya mara moja.

Kwa mtiriko wa michango mingi niliyoiona kwenye threads mbalimbali inapelekea kuamini is either a single person nayejiimpersonate kwa ID's mbalimbali au ni kakikundi ka watu wenye malengo maalum. This is my opinion and I am entitled to it.
 
Nikikumbuka zile enzi za Mwl Nyerere sina hamu. Maisha yalikuwa magumu sana. Kumbuka uchumi hauanguki siku moja au mwaka mmoja. mambo mengi yalishindwa kipindi cha Mwl. Ana Mazuri yake ila tusipojifunza na wapi alishindwa itakuwa ni Historia mfu.

Mimi ninatatizo kubwa sana, kila nikiangalia list ya mafisadi ni uzao wa Mwl. Kweli serikali yake ingekomalia utawala wa sheria, na ingetenganisha bunge, ikulu na mahakama mapema. Mambo mengi yasingekuwa kama hivi leo. Ni ukweli Mwl alikuwa na kaudiktator na maana yake alipenda sana madaraka. Nchi gani haina historia ya watu wengine?

Swala la kusema eti hakuiba kwangu halina mashiko, hata warioba mnadai hakuiba alifanya nini. Pinda anajiita mtoto wa mkulima angalieni anayotetea. Unaweza usiibe ila ukasababisha hasara kizazi hata kizazi.
Mimi hotuba sizipendi kabisa, nampenda mtendaji na kuona matokeo ya kweli ya utendaji wako maneno mengi mazuri wakati tunakula nyasi yanatusaidia nini?

Maamuzi ya Nyerere ndio yalisababisha deni la taifa kukua au kuanza, kulikuwa hakuna sababu ya kwenda Uganda. Tulitatawanya majeshi Afika nzima kwa kodi za kahawa, pamba, pareto,mkonge. Leo wote wako juu sisi tunalia kama yatima.

Tuanze kujadili mafanikio na kushindwa kwa Nyerere ili tujue wapi tumetoka tulishindwa wapi na tuliweza wapi ili tuweze kuendelea.
 
Uongo unaponukuliwa mara kwa mara haugeuki ukweli; hotuba yake tumeiweka hapo hutaki sasa? Wote wanasema kwenye 'farewell speech' lakini farewell speech ipi ? maana ile aliyoitoa ipo hapo. Sasa tuamini wanaosema hivyo au tusome na kuamua wenyewe?

Na ukweli hubaki kuwa ukweli hata uukane vipi.
 
Hivi hawa wenye kuamisha topic tunazo zichangia hapa wana maana gani, mbona hoja ambazo tumeziandika hapa zimehamishwa kwingine, au ndio mnaendeleza yale aliyo asisi baba yenu wa taifa...! Hii tabia si nzuri kabisa. Mna bore bana. Aah!
 
Wakiona wanashikwa pazuri wanahamisha posts.

Ndio maana haiendelei hii mijitu.
 
He was the great philosopher and icon of motivation why he failed? that has along discussion on his another side. Never mention or ask these before Mwanakijiji he will devour you!

I say this, times and again, Mwl wasn't an angel but a human. More often than not people rant and depict mwl as an evil hence generalizing his performance as failure but never substantiate where he fails with evidence.
Ironically those who believe in mwl have come forward with tangible evidence to defend their position.
In this context I challenge everyone to come forward and tell the success and failure of mwl with specs not general term.

In our society there is a malicious element which spread the seeds of hatred to new generation. Ominously the dot.com generation picks up everything in the media without contemplating, analyzing or questioning.
Every now and then there is something new leveled against mwl without telling the good side of his story.
It has been a mantra for the following:

Nyerere alikuwa mdini, alikuwa mkabila,alikuwa mtusi, alisabababisha vita burundi, alileta azimio kuonea watu fulani, aling'oa reli ya Dar-Mtwara,aliua watu, alikuwa dikteta etc.

Unfortunate no one has ever substantiated the above including the author Mohamed Said. I wonder what the motive is behind.

I'm sure this appalling mentality if left unchecked, soon it will break our social fabric which has bound us together half a century, but most important is to realize that an intellectual discourse must be supported by the facts and not hype or sugar coated words.
 
Unfortunate no one has ever substantiated the above including the author Mohamed Said. I wonder what the motive is behind.

The motivation my dear friend is very clear; our continuously failing ruling and corrupt elite is trying really hard to defend their failures by pointing at the supposedly failures of Nyerere. We have seen very recently when JK himself tried to compare himself with "Mzee Nyerere". It was the first time our President has publicly ridiculed Nyerere. As I said then, this attempt will continue because as long as they are people out there who hold Nyerere as the measuring stick of quality leadership the current corrupt ruling elite will find itself accused and daily indicted in the minds of our people.

By destroying the legacy of Nyerere (watch in this parliament I believe there will be similar attempts) our current rulers believe they will be in a position to govern our nation with absolute impunity.
 
Wakuu samahani kutoka nje ya mada kidogo.Nimefanya my own analysis nikagundua kuna members au member wanafanana mno kwa sifa zifuatazo:1. Hawampendi Nyerere na mambo yake yoote.2. Hawapendi muungano, kwao Zanzibar is everything.3. Wako obsessed na JK mpaka inasikitisha, in some terms unaweza kuita unconditional love to mwanasiasa JK hahahaha!4. Ni seasonal mashabiki wa CCM especially now maana when push come to shove huwa wanadai wao ni CUF.5. Hawaipendi Chadema.6. Wanapenda sana kuingiza hoja za kidini kwenye aina tofauti tofauti za mijadala na wanaamini kila kinachofanywa na serikali au viongozi wa serikali regardless ya dini zao kuna motivation ya kidini nyuma yake.7. Wanaamini Tanzania imeendelea mno sasa more than ever.8. Wanapenda sana kutumia maneno umaarufu na wivu.9. Ni watu wa kupenda ligi kwenye kila mjadala na ni mara chache huja na facts.10. Wamewahi kula ban zaidi ya mara moja.Kwa mtiriko wa michango mingi niliyoiona kwenye threads mbalimbali inapelekea kuamini is either a single person nayejiimpersonate kwa ID's mbalimbali au ni kakikundi ka watu wenye malengo maalum. This is my opinion and I am entitled to it.
Mkuu umeongea vema,Yaani huu ndiyo msingi wa woote wanaompinga mwalimu...kwa kuelezea zaidi ni mawili;Moja, asili za watu na asili za imani zao,kuna imani zinafundisha kuwa mpinge mtu yeyote asiekuwa wa imani yako na muunge mkono yeyote wa imani yako(hata kama ni mpumbavu)...msingi nikugeuza ukweli kuwa uongo naoungo kuwa ukweli na kuutetea kwa nguvu zote ikibidi hata kujilipua!Mbili, wengine wanampinga mwalimu kwa sababu waliishi wakati wake wakasoma wakati wake lakini maisha yamewashinda kwa sababu mwalimu aliwabana mno wasifanye ujinga wao...
 
Kuna wanaomchukia Mwalimu kwa UKRISTO wake.
Kuna wanaomchukia Mwalimu kwa USAFI wake.
Kuna wanaomchukia Mwalimu kwa MSIMAMO wake usioyumba kwa analoamini kuwa ni jema na sahihi.
Kuna wanaomchukia Mwalimu kwa kuwa aliwanyima wao ULAJI au ndugu zao.
Kuna wanaomchukia Mwalimu KIBINADAMU tu.
Maandamano haya ya wanafunzi wa chuo kikuu wakati huo yalipaswa kumshtua Mwalimu aone ni aina gani ya viongozi angetuachia ambao sasa wanatutesa kwa madhila mengi tu. Sasa wanataka mishahara na posho kubwa tu huku huduma za Jamii zikiendelea kudorora. Kwa gharama za sasa za maisha ya kawaida ya MTANZANIA hakuna familia inayomaliza milioni moja kwa mwezi kwa matumizi muhimu. Mishahara na posho za WABUNGE zimeshavuka milioni saba kwa mwezi na bado hazitoshi wanasema. WM Pinda anasema akitoka nje ya ukumbi wa Bunge kuna watu nje wanamsubiri awape nauli kwa hiyo posho ni halali! Hajiulizi ni kwa nini hali iko hivi.
 
The motivation my dear friend is very clear; our continuously failing ruling and corrupt elite is trying really hard to defend their failures by pointing at the supposedly failures of Nyerere. We have seen very recently when JK himself tried to compare himself with "Mzee Nyerere". It was the first time our President has publicly ridiculed Nyerere. As I said then, this attempt will continue because as long as they are people out there who hold Nyerere as the measuring stick of quality leadership the current corrupt ruling elite will find itself accused and daily indicted in the minds of our people.

By destroying the legacy of Nyerere (watch in this parliament I believe there will be similar attempts) our current rulers believe they will be in a position to govern our nation with absolute impunity.
Kakaaa kilichokufanya uhamishe baadhi ya mabandiko ni kitu gani? Au ndio kuendeleza sera zisizo tekelezeka za Julius K Nyerere?
 
Kuna wanaomchukia Mwalimu kwa UKRISTO wake.
Kuna wanaomchukia Mwalimu kwa USAFI wake.
Kuna wanaomchukia Mwalimu kwa MSIMAMO wake usioyumba kwa analoamini kuwa ni jema na sahihi.
Kuna wanaomchukia Mwalimu kwa kuwa aliwanyima wao ULAJI au ndugu zao.
Kuna wanaomchukia Mwalimu KIBINADAMU tu.
Maandamano haya ya wanafunzi wa chuo kikuu wakati huo yalipaswa kumshtua Mwalimu aone ni aina gani ya viongozi angetuachia ambao sasa wanatutesa kwa madhila mengi tu. Sasa wanataka mishahara na posho kubwa tu huku huduma za Jamii zikiendelea kudorora. Kwa gharama za sasa za maisha ya kawaida ya MTANZANIA hakuna familia inayomaliza milioni moja kwa mwezi kwa matumizi muhimu. Mishahara na posho za WABUNGE zimeshavuka milioni saba kwa mwezi na bado hazitoshi wanasema. WM Pinda anasema akitoka nje ya ukumbi wa Bunge kuna watu nje wanamsubiri awape nauli kwa hiyo posho ni halali! Hajiulizi ni kwa nini hali iko hivi.

Na kuna wanaomchukia kwa kuiua nchi, kutesa watu na kushindwa kabisa kuongoza, duhh, tazama wakati wake, sisi tulikuwa wapi na wenzetu wa Kenya walikuwa wapi?
 
Na kuna wanaomchukia kwa kuiua nchi, kutesa watu na kushindwa kabisa kuongoza, duhh, tazama wakati wake, sisi tulikuwa wapi na wenzetu wa Kenya walikuwa wapi?

Ni Afadhali aliua nchi itajijenga lakini hakuua wananchi wake kwa kuwapiga risasi sababu ni kabila tofauti, au dini tofauti au rangi tofauti au tabaka tofauti au elimu tofauti

Angalia hao ndugu zako Wakenya; kuna Maeneo ya Wakikuyu Wajaluo hawaruhusiwi kufika... Angalia Tanganyika ni kubwa zaidi ya Kenya; Ina Makabila mengi zaidi ya kenya; ina Waislamu Wenye Siasa kali zaidi ya Kenya lakini sisi Salama... Labda ni Kule Visiwani wabara tunaweza kupata matatizo sasa hivi

Lani Tu Salama Saaana

Hauoni Faida Mwana Dada?
 
Anayejadiliwa hapa sio Mwalimu bali baadhi ya maamuzi mazito ya kiuongozi aliyowahi kuchukua.
Sawa hatumuongelei Nyerere tunaongelea "maamuzi mazito" aliyochukua nani, Mobutu Seseseko?

... kwa urais kulikuwa na picha ya Mwinyi na kivuli ... kwahiyo asihukumiwe Nyerere peke yake.
tunamkumu Nyerere, hayo ya Mwinyi ni mada ya siku nyingine, hatumuongelei Mwinyi hapa

...Anyhow, kuna members wameshadokezea involvement ya Mwalimu katika kufanikisha kurudi kwa vyama vingi. Ndiyo yaweza kuwa miaka kumi tangu aachie urais, but we all are aware of the existence of leadership by proxy, aren't we?! Involvement yake kwenye CC na NEC mwaka 1995 si tumesimuliwa na kuisoma? Kweli wataka kusema mtu mwenye uwezo wa kumkemea Lowassa hadharani na kushinikiza Mkapa kuchaguliwa asingekuwa na influence yoyote ile kuwezesha vyama vingi sababu tu aliachia urais miaka kumi iliyopita?!
Angewezaje wakati yeye alipokuw madarakani miaka 27 alishindwa? Alivifuta vyama vingi!

...aliyesema kwenye mkutano wa NEC haya maneno..."huyu mtoto amekua, nguo alizokuwa nazo sasa zinambana na anahitaji nguo nyingine...." ni nani.
Kwa nini umpe credit kwa "kuseme," kwa nini hakufanya? Julius Nyerere alikuwa madarakani miaka 27 alikandamiza political pluralism Tanzania, utampaje credit kwa "kusema" blah blah kwenye mkutano wa NEC baada ya kutoka madarakani? Watanzania ni rahisi sana kuwa hoodwink, jitu linaweza kuwa fool kirahisi sana. Mtu amekataa mfumo fulani halafu anaondoka madarakani anawaambia unawafaa mnapiga makofi, duuh!
 
"Kwa nini umpe credit kwa "kuseme," kwa nini hakufanya? Julius Nyerere alikuwa madarakani miaka 27 alikandamiza political pluralism Tanzania, utampaje credit kwa "kusema" blah blah kwenye mkutano wa NEC baada ya kutoka madarakani? Watanzania ni rahisi sana kuwa hoodwink, jitu linaweza kuwa fool kirahisi sana. Mtu amekataa mfumo fulani halafu anaondoka madarakani anawaambia unawafaa mnapiga makofi, duuh!"

kwa kutumia mkono wako wa kulia, hesabu ni nchi ngapi Africa zilikua na vyama vingi, kabla ya 1990.

Sawa hatumuongelei Nyerere tunaongelea "maamuzi mazito" aliyochukua nani, Mobutu Seseseko?

tunamkumu Nyerere, hayo ya Mwinyi ni mada ya siku nyingine, hatumuongelei Mwinyi hapa

Angewezaje wakati yeye alipokuw madarakani miaka 27 alishindwa? Alivifuta vyama vingi!

Kwa nini umpe credit kwa "kuseme," kwa nini hakufanya? Julius Nyerere alikuwa madarakani miaka 27 alikandamiza political pluralism Tanzania, utampaje credit kwa "kusema" blah blah kwenye mkutano wa NEC baada ya kutoka madarakani? Watanzania ni rahisi sana kuwa hoodwink, jitu linaweza kuwa fool kirahisi sana. Mtu amekataa mfumo fulani halafu anaondoka madarakani anawaambia unawafaa mnapiga makofi, duuh!

Miaka 27 tena?
 
“I have accepted what you said. And I am going to revise salaries permanently. And as for you, I am asking you to go home. I’m asking all of you to go home. Rashid! You are responsible to see that they go home.”

These are very strong words, they carries leadership quality, they indicate how a leader should have authority in winding up matters. Wa siku hizi wanaishia kulia lia tu!!! Duh!!

Thanks mkuu for this!!
 
Back
Top Bottom