KAKA A TAIFA
JF-Expert Member
- Apr 27, 2011
- 566
- 80
Hizi ndio picha wanazopeleka duniani ili Africa ionekane shida tupu while kila siku wanamiminika kuja kuvuna utajiri wetu, kumbafu zao!!!!
Lazima tulaumiwe. Hivi sasa Ulaya na Marekani janga la ukame na njaa kwenye 'Horn of Africa' inaongelewa sana. Hakuna kiongozi yeyotewa Afrika anayesumbuliwa nalo hili. Na wala hawaoni aibu kwa sababu u-Matonya imekuwa kama hulka yetu.Mkuu ila hii ipo africa.....tunapaswa kusaidiana ili isifike huku!
poleni sana, ila Arica msaada na huruma ya ziada inahitajika.
Lazima tulaumiwe. Hivi sasa Ulaya na Marekani janga la ukame na njaa kwenye 'Horn of Africa' inaongelewa sana. Hakuna kiongozi yeyotewa Afrika anayesumbuliwa nalo hili. Na wala hawaoni aibu kwa sababu u-Matonya imekuwa kama hulka yetu.
poleni sana, ila Arica msaada na huruma ya ziada inahitajika.