Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,608
- 5,269
ha ha ha haaaaaaa, umenifurahisha sana!Nazjaz, umesahau na haya;Zanzibar kabla na baada ya uhuru ilikuwa na njia za reli,Mwalimu (RIP) akazing'oa na kuzihamishia bara.Zanzibar ilikuwa na mbuga za wanyama,Mwalimu akawahamishia Serengeti na Mikumi.Zanzibar ilikuwa na maprofesa waliobobea,Mwalimu akawahamisha wafundishe bara.Zanzibar ilikuwa na vyuo vikuu kadha wa kadha, Mwalimu akavifunga vyote na kuanzisha UDSM.Zanzibar ilikuwa huru chini ya Sultani Rhamshid IbnAbdullah, Mwalimu akafanya njama na kumng'oa.Bahati Wazanzibari wamepata mkombozi mpyaKwa jina Jakaya Mrisho Kiwete na uhuru uko njiani.Lazima tuhakikishe haya yanaingia WikipediaNa historia mpya ya Tanzania inaandikwa, loo !Kaaaaaaaaazi kweeeli kweeeeeeli !