klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,648
- 5,140
kamanda, namimi nina pointi yangu nataka kumuandikia jamaa lakini acha niangalie wewe kwanza kama utatoka salama. hiyo rungu hapo pembeni inatisha hata kuiquote.mkuu hawa dada zetu nao wamezidi......ukisema kitu chochote kuhusu wao hata kama sio against wao, wanakuja juu kama moto wa crude oil!
Na wana kashfa hawa!!! utasikia oooh kibamia, ooh, mwanaume sarawili, ooh halipi bills, oooh ana nanihii inatoboa kama mshale...kwani aliniona mi swala.....sasa hivi wameanza na eti wanaume hawajui vesi......hahahaha! wataanza kututongoza....hii ni kashfa bana.