They want me to marry, but where are the men?

My dear Lizzy,umemsahau huyu mama,naomba usimjibu,ni wale wenye fikra kuwa tunapaswa kufuata kama yeye.....kwa kuwa yeye kaolewa,kila mwanamke aolewe,reasoning capacity yake imetekwa na ndoa,nahisi aliisubiri au hata kuiendea bagamoyo,inaonyesha asingeolewa angekuwa kuzimu anaungua,mpotezee,mi sina time nae......Great thinker gani ana assumption kuwa lazima kama hukuolewa utakuwa hawara ya mtu??? simlaumu,wote anaowajua wasioolewa ni mahawara......so generally nawe utakuwa una dream ya kuwa hawara kama si tayari,achana nae.........

Asante mami....maana alivyotukomalia utadhani ametumwa!!!:twitch:
 
My dear Lizzy,umemsahau huyu mama,naomba usimjibu,ni wale wenye fikra kuwa tunapaswa kufuata kama yeye.....kwa kuwa yeye kaolewa,kila mwanamke aolewe,reasoning capacity yake imetekwa na ndoa,nahisi aliisubiri au hata kuiendea bagamoyo,inaonyesha asingeolewa angekuwa kuzimu anaungua,mpotezee,mi sina time nae......Great thinker gani ana assumption kuwa lazima kama hukuolewa utakuwa hawara ya mtu??? simlaumu,wote anaowajua wasioolewa ni mahawara......so generally nawe utakuwa una dream ya kuwa hawara kama si tayari,achana nae.........

Reaction yako tu inaonyesha you are frustrated! Mke mwema hutoka kwa Mungu na si Bagamoyo bwana
 
Michelle na Lizzy, nasikitika sana kwa kuwakera kama sio kuwakwaza nadhani mkikuwa mtaacha, bye!
 
una uhakika na unachokisema au unalipuka kama Makamba,kiroho kiniume kisa nini,kwani ntapungukiwa nini au nikishaolewa kinaongezeka nini?
Ukiolewa utakuwa na mume, usipoolewa huna mume. Vipi hakuna tofauti??
 
una uhakika na unachokisema au unalipuka kama Makamba,kiroho kiniume kisa nini,kwani ntapungukiwa nini au nikishaolewa kinaongezeka nini?

acha kujipotezea ukiona hivyo nawewe hujolewa na kiroho kinakuuma kila unapopewa kadi ya kuchangia harusi , jamani mwanamke kuolewa anaweka kaheshma acha kuwadanganya mashosti wako .alaaaaaaaaaaa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom