There is a race i must run...

ninaomba kuipata cd yake .niko moshi please niagizieni nitapataje?

Mh!! hata mimi sijui inapatikana kwenye collection ipi ya the joyous celebration... ila jaribu kuangalia hizo collecttion za joyous au ulizia maduka makubwa ya CD kama wana CD za Jabu hlongwane
 
Ndo nimeuona hapa nimeupenda pia asante.
Habari ya wikiendi yako
vipi kipindi cha kuabudu na kusifu kanisani wiki hii
have you enjoyed?
Mwenyewe nilipouona tu mara ya kwanza niliupenda, na nilipokuja kujua maana yake niliupenda zaidi....

Week end was nice, though nilikuwa na kihoma kidogo, and niliingia kanisani nimechelewa kidogo jana... but i enjoyed a fellowship with other members and Experienced God's love in a tremendous way, how was it on your side?
 
kwa kweli upande wangu kila kitu was fine
niliweza kufanya huduma zote za kiroho na za kimwili pia

fellowship huwa siendi siku hizi kwa kuwa niliona kama wengi wanaokuwepo
ni very vijana na hawajaijua hata bibilia vizuri so huwa baada ya ibada narejea home
kwenye mambo mengine ya kijamii pia.

Mwenyewe nilipouona tu mara ya kwanza niliupenda, na nilipokuja kujua maana yake niliupenda zaidi....

Week end was nice, though nilikuwa na kihoma kidogo, and niliingia kanisani nimechelewa kidogo jana... but i enjoyed a fellowship with other members and Experienced God's love in a tremendous way, how was it on your side?
 
amen for sure there victory to be won
naupenda sana huu wimbo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom