The problem with MUHIDINI ISSA MICHUZI

Status
Not open for further replies.
Vekesheni Za Nanihii Zapigwa Vita!!
WADAU KUNRADHI,
KULE MTAA WA PILI (JAMII FORUM) KUNA MADA AMBAYO IMERUSHWA KWA MDAU ANAYEDAI KUUMIZWA SANA NA VEKESHENI ZA NANIHII, NA KUMSHAMBULIA SANA SANA. WADAU NAOMBA MCHANGIE HOJA HIYO BAADA YA KUISOMA KWENYE LINKI HIYO HAPO CHINI.
KWA UPANDE WANGU MSIKONDE WALA NINI. LIBENEKE LA VEKESHENI LITAENDELEA KAMA KAWA. MIE NARUDI MWEZI UJAO. HIVI SASA NAELEKEA UJERUMANI KISHA NTAENDA AUSTRALIA NA KUMALIZIA JAPAN.
-MICHUZI
https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/29662-issa-michuzi-na-vekesheni.html
Kama mwana JF family nimeona isiwe taabu bure...huyu bwana Issa Michuzi kaanzisha thread kwenye blog yake kisa? JF watu wamequestion gharama za yeye kusafiria huko USA. Huyu anafanya kazi gazeti la serikali na analipwa pesa za walalahoi hivyo wana JF tunayo kila sababu ya kuquestion kila anacho kifanya na picha anazopiga.

Michuzi akiwa kazini na picha hii mwenyewe aliiposti kwenye blog yake...huhitaji kufanya vetting kumpa kazi ikulu...unaingia JF ukishaona hii picha tu bas!

Huyu huyu kuna kipindi aliahidiwa angepewa kazi ya kuwa mpiga picha mkuu ofisi kubwa (IKULU) lakini baada ya vetting akaonekana huwa hafai na huhitaji kujua kwa nini hakupita kwenye hiyo vetting...ushahidi ni huo hapo juu...alipokwenda London kwenye ziara ya JK nadhani ilikuwa ni 2007 hivi aliona muhimu kwake kwenda wanakouza malaya (SOHO) na kupiga picha ma DILDO kisha mwenyewe bila kushinikizwa au kulazimishwa na mtu aliamua kuweka hizo picha kwenye BLOG yake sasa juzi jamaa wa JF kuuliza kuhusu matumizi yake amekuwa mkali kama mbogo

Yes tunazo differences zetu humu lakini once tukiwa attacked then we all know what to do kama JF famili...na hii itabaki humu kwenye siasa ili wapapmbe wake wanaoitukana JF waje kuisoma kwa makini na vizuri zaidi...by the way wachangiaji kule wako bent on kuwamaliza wana JF na maneno yao ya kejeli kejeli tuuu

Ombi kwa Michuzikwanza tupumzishe na we wont back down mpaka ufute ile thread kwenye blog yako ama sivyo sisi tutaunleash CSI team yetu ikisaidiwa na KA NZI ketu ohooooo

JAMII FORUMS WHERE WE DARE TALK OPENLY
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom