The Ponda Syndrome:- Kama Officially Sio Taifa La Wanafiki Basi We are Almost There!!

Status
Not open for further replies.
Mods uzi huu umetumia lugha ya kuichokoza imani ya Kiislamu. Naomba kwa maslahi ya utulivu wa taifa UFUTWE. Tafadhalini sana! W. J. Malecela amevuka mipaka ya uhuru wa kutoa maoni!
W. J. Malecela mwenyewe ni mod, ingawa alishawahi kupewa ban. Lakini bado nasisitiza, alichosema Le Mutuz baharia nakiunga mkono kwa 100%
 
Wewe kama mwananchi wa kawaida bila kujali ni mtoto wa nani, kimsingi kwa mtu makini na ambaye ni mtaifa na si mdini ni LAZIMA atakubaliana na wewe 100%.
Sikutegemea kama wewe ungeweza kutoa mchango mzito na muhimu kama huu.
Wengi wamejawa udini na ni wavivu wakufikiri mambo wa wakati ujao so hata akipinga mtu ,you have desplayed the reality.
- Nimekuwa nikimfuatilia Sheikh Ponda kwa karibu sana toka wakati wa vurugu za MwembeChai, since then amegeuka kuwa a very mysterious creature almost becoming like John Gotti the once feared New York City's Mafian Don. Baada ya kusoma kwa makini comments nyingi sana between the media na Social Media za Tanzania, za kutoka kwa wananchi mpaka Viongozi wengi wa Siasa wa Taifa toka ashambuliwe majuzi, ninauona unafiki mkubwa sana na wa hali ya juu sana, kweli kama hili Taifa we are not Taifa la Wanafiki, basi we are almost there to become one!. I mean who is Ponda? What does he stand for? Who pays for his bills and WHY?

- I will never support violence, lakini here we have a Muslim Leader preaching violence, every where he talks the man preaches violence sijasikia Kiongozi yoyote wa Taifa akijitokeza kumlaani Ponda na message zake!, leo the very Violence he preaches comes to haunt him, eti tuna Viongozi wa Taifa wanaodai Uchunguzi na maneno mengi ya Siasa ambayo wala hayahusu kabisa. Wanatuambia nini sisi wananchi wengine wa kawaida kwamba ku-preach violence is ok but when that violence comes to haunt you then where is the government? Really? What government? Halafu eti kuna Viongozi wa Taifa hili wanaojaribu kujikomba komba na kuongea maneno ya kinafiki waonekane wapo sawa na hawa wanaomlilia? Please!!

- Amepigwa risasi 20 Biliionea Arusha majuzi mbona hajatokeza Kiongozi hata mmoja wa Siasa kumlilia na kutaka waliompiga wakamatwe haraka sana? Am ememwagiwa tindikali Mfanya biashara maarufu hapa mjini mbona hatujasikia hawa wanasiasa uchwara wakilia lia wakamatwe waliommwagia? Wananchi wangapi wanapigwa Risasi kila siku nchini mbona hatujasikia hawa Viongozi wakilalamika kwamba wahusika wakamatwe? Stop this madness please, Viongozi wote wanaolilia na ishu ya Ponda ni wanafiki wakubwa na ni hatari sana kwa hili Taifa. And yes I said it, ni wanafiki wakubwa they all need to go! I mean what is so special about Ponda kwamba Serikali iache kazi zake za kawaida ianze kuwatafuta waliompiga Risasi? Vipi wananchi wengi walioumizwa na kupoteza maisha yao kutokana na mafundisho ya sumu za Ponda?

- I mean it is about time now wale Viongozi wote wanaolilia lia kuhusu waliomrushia risasi Ponda kujiuzulu kwa sababu wote ni infit kuongoza hili Taifa, na Viongozi wa juu wa Serikali acheni kujipendekeza na maneno maneno ya kujifanya kuwatuliza hawa wanao lia lia, na maneno ya tume! Tume my left foot, Ponda ni mwananchi kama wengine wote so tatizo lake lichukuliwe kama mengine na Serikali should get tough na wajinga wajinga kama Ponda, nothing but a coackroach in the cover of religion!, I mean wananchi Millioni 44 tunakaa tunasumbuliwa na mwanachi mmoja kila siku? how could that be? Enough! and yes I said it he is nothing but a coackroach in the cover of religion!!

- MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

Le Mutuz
 
yaani kama CCM mnataka watu kama hawa eti waje kuwa viongozi,mtu ambae hajui umuhimu wa sheria na haki za binadamu THE CAN GO TO HELL ,WALAI NAWAMBIA.
 
Mtani uko sahihi sana kwa ujumbe wako. Ni uzi wa maana na kweli tupu. Nafahamu watu hawatapata muda wa kutafakari na wataleta jazba.Lakini ukweli haupindagi wala haujawahi. Sijawahi kukusupport katika kitu kingine but hapa .akuunga mkono mkuu wa wagogo. Lakini mwa jinsi ilivyo ndo itakuwa kama unavyoona. Tuko kwenye wakati mgumu ever kama taifa. Lets pray guys. Watu wanatafuta terrors kwingine wakati huyu yupo wazi. Ooohh my dogshit!
 
Kuna mgawanyiko kwa upande wa CCM ila kwa upande wa CDM wako pamoja kudhihirisha ukatoliki wao.
CDM hawana dola, na ni victims wa polisi ya CCM, lakini pia hawapendi uchochezi wa Ponda, kwa hiyo kukaa kimya ni busara!
 
- Another Ponda's compromise, nothing but mnafiki mkubwa ulishawahi kuwaomba radhi waliodhurika na maneno ya sumu ya Ponda? Mwembechai wamekufa wangapi kwa sababu ya maneno ya Ponda uliwahi kuwaomba radhi ndugu zao? Please wacheni kutuvuruga hili Taifa, kama kuumia kwa Ponda kunawauma basi mjue kuna waliomia wengi sana kwa sababu ya sumu zake, maneno yako mengi ni ujinga mtupu,

Le Mutuz

Kaka unajua chanzo zha vurugu za Mwembechai ni kipi and how people got killed? Mchango wa Ponda kwenye vurugu za Mwembechai ni upi?

Naamini wewe sio mnafiki kama hawa wengine. Funguka sasa.
 
Kwa kweli, zinahitajika juhudi za makusudi kukaa pamoja na kuzungumza na kupata suluhisho la kudumu, sasa sijui ni vipi pande zote wameshindwa kukaa pamoja na kuzungumza?

Na wafuasi wa pande zote, serikali na Ponda, tusipokuwa makini tutachoshana na kuchukiana mno wakati ni mambo yanayozungumzika
Unajua haya mambo watu wanayachukulia kimhemuko zaidi kuliko uhalisia

Huyu mtu hajawa shida kiasi hiki tunachomchukulia ila tu kwa sababu kuna weakness sehemu sasa imekuwa kama jiwe ndani ya kopo na kila mtu anatingisha mwishowe ndo zooogo hili tunalolipata

Sasa anapotokea mtu na hullucinations na lugha chafu na confidence iliyopitiliza wakati he is nothing before majority hawa ni lazima kuwafunga gavana mapemaaa kabla hawajaota pembe na kuja kutusumbua in the same vein with the same fashion!!!

Vielelezo vya haya ni majibu ya wafuasi wa Ponda na wengine waliokasirishwa na uandishi wake,ni matusi dharau na kejeli tu!!!Hii inajenga nini???

Tulipofikia tunataka problem identification with priorities and strategies to eliminate them by considering resources in hand baaas hakuna blah blah wala mtusi yanayoweza kututoa hapa tulipo.
 
- Another Ponda's compromise, nothing but mnafiki mkubwa ulishawahi kuwaomba radhi waliodhurika na maneno ya sumu ya Ponda? Mwembechai wamekufa wangapi kwa sababu ya maneno ya Ponda uliwahi kuwaomba radhi ndugu zao? Please wacheni kutuvuruga hili Taifa, kama kuumia kwa Ponda kunawauma basi mjue kuna waliomia wengi sana kwa sababu ya sumu zake, maneno yako mengi ni ujinga mtupu,

- Ok Ponda ni katibu wa chama cha Waisilam wanaunga mkono message zake za Violence? Really huna hata aibu, Taifa letu wenyewe mnataka kutufanya tuishi kwa wasi wasi eti kwa sababu ya watu wajinga wajinga kama Ponda, wewe una uchungu naye sana kwa nini hukumwambia mapema kwamba maneno yake ya sumu ni hatari kwa Taifa? Mnafiki mkubwa wewe!!

Le Mutuz

Wacha Uongo ww mshenzi uliyeshibishwa na baba yako kwa jasho la Watanzania!
Weka Ushahidi wa Shk Ponda amechochea!!
Mihadhara yote ya Shk Ponda inardkodiwa na Dvd zipo weka hata clip ya dakika 2 tu!!
Na Tutayachapisha maneno yako haya ktk vipeperushi tugawane miskitini Ijumaa inayofata!
 
Sijawahi kuona post za LeMutuz, hii ndio ya kwanza, na kwahii post nimelazimika kukuhukumu! Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana, sijajua umri wako, lakini nakusikitikia kwa hilo! Kwamba serikali iache kufanya kazi zake ihangaike kutafuta waliompiga risasi ponda?? Kweli??? Kazi ya serikali ni nini kama hiyo sio moja wapo!! Nitasikiika sana nitaposikia kunawatu wamekuamini nakukupa uongozi mahala popote pale!! Hiyo chuki ya ponda imetoka wapi?? Kwanini wasimkamate na kuhakikisha vyombo husika vinadeal nae! Huo utawala wa kupiga watu risasi tena mchana kweupe mmeuanza lini?? Au ni nyie akina Lemutuz na wazazi wenu mnawatuma, kwa nini mtetee upuuzi huu, kwa kujifanya unahasira eti na wanasiasa!!

Mnatufanya tuamini hata mauaji haya yanayoendelea nchini yote yanafanywa na polisi, ama kwa uwazi ama kwa kujificha! Kwahiyo kwa uelewa wako serikali haitakiwi kuwajibika na tukio kama la Ponda kupigwa Risasi??

Pole sana, hii post imekuchafulia taswira yako kwenye jamii!!
 
wangekuwa nayo wangeshaweka,hawana ushahidi ni chuki tu.
 
halafu siku nyingine usitoe hoja huku ukijinasibisha na usomi au watu wenye uwezo wa kufikiri na kutoa maamuzi/ushauri sahihi, kwa sababu huna vigezo hivyo. Manake kichwa chako kilichopata zero hakitaweza kamwe kuja na mchango mzuri kwenye jamii, ww nenda twanga ukatwangwe au subiri mashankupe wenzako wenye tabia za kicameron upige nao picha na vidani vyako vya kukulegeza mwili na akili then upost kwa mashoga zako wengine. Unene tu umekujaa kwa uvivu wa kunya na ndio maana mimavi imehamia kwenye akili yako huwezi hata kufikiri
 
Wacha Uongo ww mshenzi uliyeshibishwa na baba yako kwa jasho la Watanzania!
Weka Ushahidi wa Shk Ponda amechochea!!
Mihadhara yote ya Shk Ponda inardkodiwa na Dvd zipo weka hata clip ya dakika 2 tu!!
Na Tutayachapisha maneno yako haya ktk vipeperushi tugawane miskitini Ijumaa inayofata!

mkimaliza hilo gawaneni na vipeperushi vyenye majina ya mafisadi kama mna hoja ya msingi .na Taifa.
haaaaa.vijamaa nyie bana kujifanyaga vibabe.viongozi wote mnao ila kulialia tu.
 
Kaka unajua chanzo zha vurugu za Mwembechai ni kipi and how people got killed? Mchango wa Ponda kwenye vurugu za Mwembechai ni upi?

Naamini wewe sio mnafiki kama hawa wengine. Funguka sasa.

mawazo ya mwananchi wakawaida
 
Unataka nchi iongozwe kwa style yako, sorry kuna sheria!

Hizo sheria zinasemaje? Unajua Ustaadh alikuwa kwenye kifungo cha nje? unajua alipewa masharti gani? Hakuna anayejua kati yetu tusubiri tusikie vyombo vya sheria vitasemaje na kutoa uamuzi gani kuhusu hili tukio.
Sio sahihi polisi kumpiga mtu risasi, hili nalipinga 100%

Nikukumbushe kitu cha kuzingatia wakati unapambana na polisi. Polisi ni binadamu kama wewe na ukimchanganya vizuri anaweza akasahau sheria zote anazozijua na pia akasahau kuwa yeye ni serikali akafanya vitu ambavyo vitamjia kichwani kwa wakati huo, na kama huwa anavuta bangi au ana akili mbovu au maisha yamemchapa ndio kabisa atakuwasha risasi.

Hata wewe leo hii ukiwa askari na magwanda yako na bunduki, ikitokea tunapambana na nikakutwanga jiwe sehemu likakuingia vizuri, wewe kitu cha kwanza utatumia silaha iliyo mkononi, na utani-shoot baada ya hapo ndio akili itakurudia,then utaona hapa nimekosea, lakini ishakuwa too late.
 
Kwa kweli, zinahitajika juhudi za makusudi kukaa pamoja na kuzungumza na kupata suluhisho la kudumu, sasa sijui ni vipi pande zote wameshindwa kukaa pamoja na kuzungumza?

Na wafuasi wa pande zote, serikali na Ponda, tusipokuwa makini tutachoshana na kuchukiana mno wakati ni mambo yanayozungumzika

Same page mkuu Kongosho
 
Sijawahi kuona post za LeMutuz, hii ndio ya kwanza, na kwahii post nimelazimika kukuhukumu! Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana, sijajua umri wako, lakini nakusikitikia kwa hilo! Kwamba serikali iache kufanya kazi zake ihangaike kutafuta waliompiga risasi ponda?? Kweli??? Kazi ya serikali ni nini kama hiyo sio moja wapo!! Nitasikiika sana nitaposikia kunawatu wamekuamini nakukupa uongozi mahala popote pale!! Hiyo chuki ya ponda imetoka wapi?? Kwanini wasimkamate na kuhakikisha vyombo husika vinadeal nae! Huo utawala wa kupiga watu risasi tena mchana kweupe mmeuanza lini?? Au ni nyie akina Lemutuz na wazazi wenu mnawatuma, kwa nini mtetee upuuzi huu, kwa kujifanya unahasira eti na wanasiasa!!

Mnatufanya tuamini hata mauaji haya yanayoendelea nchini yote yanafanywa na polisi, ama kwa uwazi ama kwa kujificha! Kwahiyo kwa uelewa wako serikali haitakiwi kuwajibika na tukio kama la Ponda kupigwa Risasi??

Pole sana, hii post imekuchafulia taswira yako kwenye jamii!!
ni kijana wa miaka 55.

Mimi kila siku najiuliza,WHAT IS WRONG INSIDE CCM JAMANI?
Kumbe leo jibu nimeanza kupata,ni makada kama huyu jamaa ndo wanakiangusha,mtu kama huyu eti ndo azunguke nchi nzima kuimarisha chama IT IS BULSH*T.
Sema tu ni mbinu ya kuwezesha watoto wa vigogo wapate walau posho za kuwawezesha kuishi mjini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom