The Ponda Syndrome:- Kama Officially Sio Taifa La Wanafiki Basi We are Almost There!!

Status
Not open for further replies.
Mkuu Willy,
Ponda kama ni mhalifu anatakiwa ashugulikiwe kama mhalifu mwingine yeyote, na pia ana haki ya kuishi na ni jukumu la serikali kumhakikishia usalama wake na kisha afikishwe kwenye vyombo vya sheria na sheria ichukuwe mkondo wake tatizo kwenye hili saga na mengine mengi ni kitendo cha polisi walinda usalama kuamua kupiga watu risasi hovyo na juzi si umesikia wanasema walifyatua risasi kisha wanasema hatukumpiga risasi Ponda, what a none sense statement. Ninyi ccm mkiendelea kuwaangalia polisi kwa namna hiyo kuna siku watafanya unthinkable! Hivi kweli Ponda yule mzee ni wa kutumia nguvu kumkamata?? Yule mzee!!!!!!!!! shit give me a break
 
Tatizo unatukanaaaa tu hivi unakumbuka kuwa hao unaowalalamikia ni pamoja na wazee wako??!!!Au wao walitoa karipio kwa maovu hayo??!!
We unakumbushwa unakuja na matusi, who cares kuwa wewe ni mtoto wa nani na kuita watu hawana direction??!!At your age kuwa na lugha isiyopendeza is next to insult!!!

Anyway it is not personal ila kama unamaanisha hata wazazi wako ni wanafiki ok umeeleweka! !!!!

- Kama huna hoja mnafiki mkubwa wewe, mambo yenu ya kijinga jinga tumechoka nayo liwalo na liwe enough!!, wazazi wako hawapo hapa kama wapo they need to take side ya ujinga wa Ponda au amani ya taifa!

Le Mutuz
 
1098270_10151774271048069_853552448_n.jpg

W. J. Malecela, umesema kuwa umekua ukimfuatilia Ponda kwa muda mrefu. unajiita msomi na mtafiti, nakuomba utuwekee angalau video clip ya Ponda inayoonesha kuhatarisha amani au uchochezi. unapofikia kumuita mtu mende na kuhalalisha yeye kupigwa risasi, lazima una ushahidi wa uhatari wa mtu huyo kwa amani ya nchi. ni vizuri umesema umekua ukimfuatilia kwa muda mrefu. sitaki maneno kwa sababu lolote linaweza kubuniwa. naomba video ya maneno yake yakiashiria uvunjifu wa amani

- Yaani wewe mtumzima nikutafutie kila kitu, nikupe maoni yangu ahalafu nikutafutie clips!! really? nenda utafute mwenyewe!!

Le Mutuz
 
William nimetofautiana nawe sana mambo mengi ila kwa leo wacha nikuunge mkono! Mtu mmoja hawezi kuipeleka nchi puta kama anavyotaka,apewe kabisa mamlaka kamili tujue!

tupe mifano hai uliyoifanyia utafiti. au unafuata mkumbo?
 
ujumbe wako ulianza vizuri na tukakusoma ...!! Eehe naona umebadilika na kuonyesha yaliyomo kifuani mwako, ukaanza kuramba matapishi yako mwenyewe au ukala kinyesi chako mwenyewe.
what is your problem be fair.
 
- Nimekuwa nikimfuatilia Sheikh Ponda kwa karibu sana toka wakati wa vurugu za MwembeChai, since then amegeuka kuwa a very mysterious creature almost becoming like John Gotti the once feared New York City's Mafian Don. Baada ya kusoma kwa makini comments nyingi sana between the media na Social Media za Tanzania, za kutoka kwa wananchi mpaka Viongozi wengi wa Siasa wa Taifa toka ashambuliwe majuzi, ninauona unafiki mkubwa sana na wa hali ya juu sana, kweli kama hili Taifa we are not Taifa la Wanafiki, basi we are almost there to become one!. I mean who is Ponda? What does he stand for? Who pays for his bills and WHY?
- MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
Le Mutuz
Ndugu @W.J.MALECELA,ninavyojua mimi shekh Ponda ni Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania,hivyo huyu ni kiongozi miongoni mwa viongozi wa Tanzania,Kumwita ''Cockroach'' si sawa hata kidogo. Kuna documented procedures za kumkamata mtu aliyefanya uhalifu hapa nchini. Kama umesoma maoni ya wananchi na viongozi wengi,wanacholalamikia ni namna weledi unavyokosekana katika kukabiliana na uhalifu. Tunahitaji viongozi wenye uwezo wa kutumia holistic approach ili kutatua changamoto mbali mbali zinazolikabili taifa letu hivi sasa,
 
- Angalia nisije nikakukuna wewe mamen, wacha kutishia nyau mtumzima, it is a bout time sasa tuambiane ukweli mnavuruga amani ya taifa kwa ujinga ujinga wenu!!

Le Mutuz

dume zima una maneno ya kike, jikaze wewe! Au hvyo vidani unavyovaa ndio vinakulainisha mwili, maneno, matendo na hata akili yako? Sio lazima uanzishe mada kama huna la kuongea kaa kimya upige picha na washamba wenzako uweke kwenye blog zenu za kike, sio unakurupuka mbele ya wanaume unaanza kuhashukwa, ukisema hvyo mbele ya mashababi utashughulikiwa
 
Mheshimiwa, naunga mkono hoja hii 100%. Who is Ponda anyway? Wengine wanadhani kuwa Prof. Lipumba hakuwa anajua anachokisema aliposema tena kwa msisitizo; Alikuwa anenda kuswali msikitini, swalaa... Ndugu zangu, acheni unafiki. Yote hayo ni kutafuta tu huruma fulani. Niijuavyo dini, huwa inahubiri Amani na upendo. Mtu anayehubiri vurugu kwa mgongo wa dini, kafilisika kimawazo na kimoyo pia. Tena kuna methali isemayo; Ndege wa mbawa moja huruka pamoja. Yaani kunguru na kunguru mwenzie, Ponda na IL ni wamoja tuuu. Huyu aliambiwa kalianzishe, nilisukume.
 
- Nimekuwa nikimfuatilia Sheikh Ponda kwa karibu sana toka wakati wa vurugu za MwembeChai, since then amegeuka kuwa a very mysterious creature almost becoming like John Gotti the once feared New York City's Mafian Don. Baada ya kusoma kwa makini comments nyingi sana between the media na Social Media za Tanzania, za kutoka kwa wananchi mpaka Viongozi wengi wa Siasa wa Taifa toka ashambuliwe majuzi, ninauona unafiki mkubwa sana na wa hali ya juu sana, kweli kama hili Taifa we are not Taifa la Wanafiki, basi we are almost there to become one!. I mean who is Ponda? What does he stand for? Who pays for his bills and WHY?

- I will never support violence, lakini here we have a Muslim Leader preaching violence, every where he talks the man preaches violence sijasikia Kiongozi yoyote wa Taifa akijitokeza kumlaani Ponda na message zake!, leo the very Violence he preaches comes to haunt him, eti tuna Viongozi wa Taifa wanaodai Uchunguzi na maneno mengi ya Siasa ambayo wala hayahusu kabisa. Wanatuambia nini sisi wananchi wengine wa kawaida kwamba ku-preach violence is ok but when that violence comes to haunt you then where is the government? Really? What government? Halafu eti kuna Viongozi wa Taifa hili wanaojaribu kujikomba komba na kuongea maneno ya kinafiki waonekane wapo sawa na hawa wanaomlilia? Please!!

- Amepigwa risasi 20 Biliionea Arusha majuzi mbona hajatokeza Kiongozi hata mmoja wa Siasa kumlilia na kutaka waliompiga wakamatwe haraka sana? Am ememwagiwa tindikali Mfanya biashara maarufu hapa mjini mbona hatujasikia hawa wanasiasa uchwara wakilia lia wakamatwe waliommwagia? Wananchi wangapi wanapigwa Risasi kila siku nchini mbona hatujasikia hawa Viongozi wakilalamika kwamba wahusika wakamatwe? Stop this madness please, Viongozi wote wanaolilia na ishu ya Ponda ni wanafiki wakubwa na ni hatari sana kwa hili Taifa. And yes I said it, ni wanafiki wakubwa they all need to go! I mean what is so special about Ponda kwamba Serikali iache kazi zake za kawaida ianze kuwatafuta waliompiga Risasi? Vipi wananchi wengi walioumizwa na kupoteza maisha yao kutokana na mafundisho ya sumu za Ponda?

- I mean it is about time now wale Viongozi wote wanaolilia lia kuhusu waliomrushia risasi Ponda kujiuzulu kwa sababu wote ni infit kuongoza hili Taifa, na Viongozi wa juu wa Serikali acheni kujipendekeza na maneno maneno ya kujifanya kuwatuliza hawa wanao lia lia, na maneno ya tume! Tume my left foot, Ponda ni mwananchi kama wengine wote so tatizo lake lichukuliwe kama mengine na Serikali should get tough na wajinga wajinga kama Ponda, nothing but a coackroach in the cover of religion!, I mean wananchi Millioni 44 tunakaa tunasumbuliwa na mwanachi mmoja kila siku? how could that be? Enough! and yes I said it he is nothing but a coackroach in the cover of religion!!

- MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

Le Mutuz

UHARO MTUPU. Hivi ulishawahi kuugua wewe?
 
Nionacho hapa ni mgawanyiko mkubwa sana wa wana-CCM kuhusu suala la Ponda. Kuna wanaCCM humu JF watakuwa wamekasirishwa na kauli kama za Le Mutuz, just kwa kuwa tu ni waisilamu! Kwa mara ya kwanza naunga hoja ya Le Mutuz aka baharia
 
Tena akiachwa aendelee kuhubiri chuki zake atasababisha maafa makubwa sana, ingelikuwa enzi za Mkapa tungeisha msahau huyu punda na hizo chokochoko zake.
 
- Yaani wewe mtumzima nikutafutie kila kitu, nikupe maoni yangu ahalafu nikutafutie clips!! really? nenda utafute mwenyewe!!

Le Mutuz

nilidhani naongea na msomi na mtafiti alie tafiti kuhusu Ponda, kumbe siyo..... NAPITA YAISHE. huwa napenda hoja kuliko maneno ya vijiweni. mi nilidhani umejiandaa kumbe ni yaleyale! NAPITA! umeshinda
 
- Nimekuwa nikimfuatilia Sheikh Ponda kwa karibu sana toka wakati wa vurugu za MwembeChai, since then amegeuka kuwa a very mysterious creature almost becoming like John Gotti the once feared New York City's Mafian Don. Baada ya kusoma kwa makini comments nyingi sana between the media na Social Media za Tanzania, za kutoka kwa wananchi mpaka Viongozi wengi wa Siasa wa Taifa toka ashambuliwe majuzi, ninauona unafiki mkubwa sana na wa hali ya juu sana, kweli kama hili Taifa we are not Taifa la Wanafiki, basi we are almost there to become one!. I mean who is Ponda? What does he stand for? Who pays for his bills and WHY?

- I will never support violence, lakini here we have a Muslim Leader preaching violence, every where he talks the man preaches violence sijasikia Kiongozi yoyote wa Taifa akijitokeza kumlaani Ponda na message zake!, leo the very Violence he preaches comes to haunt him, eti tuna Viongozi wa Taifa wanaodai Uchunguzi na maneno mengi ya Siasa ambayo wala hayahusu kabisa. Wanatuambia nini sisi wananchi wengine wa kawaida kwamba ku-preach violence is ok but when that violence comes to haunt you then where is the government? Really? What government? Halafu eti kuna Viongozi wa Taifa hili wanaojaribu kujikomba komba na kuongea maneno ya kinafiki waonekane wapo sawa na hawa wanaomlilia? Please!!

- Amepigwa risasi 20 Biliionea Arusha majuzi mbona hajatokeza Kiongozi hata mmoja wa Siasa kumlilia na kutaka waliompiga wakamatwe haraka sana? Am ememwagiwa tindikali Mfanya biashara maarufu hapa mjini mbona hatujasikia hawa wanasiasa uchwara wakilia lia wakamatwe waliommwagia? Wananchi wangapi wanapigwa Risasi kila siku nchini mbona hatujasikia hawa Viongozi wakilalamika kwamba wahusika wakamatwe? Stop this madness please, Viongozi wote wanaolilia na ishu ya Ponda ni wanafiki wakubwa na ni hatari sana kwa hili Taifa. And yes I said it, ni wanafiki wakubwa they all need to go! I mean what is so special about Ponda kwamba Serikali iache kazi zake za kawaida ianze kuwatafuta waliompiga Risasi? Vipi wananchi wengi walioumizwa na kupoteza maisha yao kutokana na mafundisho ya sumu za Ponda?

- I mean it is about time now wale Viongozi wote wanaolilia lia kuhusu waliomrushia risasi Ponda kujiuzulu kwa sababu wote ni infit kuongoza hili Taifa, na Viongozi wa juu wa Serikali acheni kujipendekeza na maneno maneno ya kujifanya kuwatuliza hawa wanao lia lia, na maneno ya tume! Tume my left foot, Ponda ni mwananchi kama wengine wote so tatizo lake lichukuliwe kama mengine na Serikali should get tough na wajinga wajinga kama Ponda, nothing but a coackroach in the cover of religion!, I mean wananchi Millioni 44 tunakaa tunasumbuliwa na mwanachi mmoja kila siku? how could that be? Enough! and yes I said it he is nothing but a coackroach in the cover of religion!!

- MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

Le Mutuz

Kwa hili nakubaliana nawe sana ila sasa Mwenyekiti wako wa CCM Taifa mh ndiyo mwenye mambo yote hapa mwambieni huko huko si mko naye ?
 
Mtu yeyote anayetumia udini kuhamasisha uvunjifu wa amani ashughulikiwe mara moja awe ni mkristu au muislamu.Sitajali njia gani itakayotumika kuwashughulikia ila kuwashughulikia ni suala la lazima.Tukicheka cheka na hawa watu tutakuja kujuta siku moja wakati haya mambo yapo ndani ya uwezo wetu kuyakomesha.Hii Serikali inaonekana kuwalea sana wavunjifu wa amani,sijui kwanini wanashindwa.
 
- Kama huna hoja mnafiki mkubwa wewe, mambo yenu ya kijinga jinga tumechoka nayo liwalo na liwe enough!!, wazazi wako hawapo hapa kama wapo they need to take side ya ujinga wa Ponda au amani ya taifa!

Le Mutuz

kumbe hata nyie huwa mnajazba
 
W. J. Malecela, umesema kuwa umekua ukimfuatilia Ponda kwa muda mrefu. unajiita msomi na mtafiti, nakuomba utuwekee angalau video clip ya Ponda inayoonesha kuhatarisha amani au uchochezi. unapofikia kumuita mtu mende na kuhalalisha yeye kupigwa risasi, lazima una ushahidi wa uhatari wa mtu huyo kwa amani ya nchi. ni vizuri umesema umekua ukimfuatilia kwa muda mrefu. sitaki maneno kwa sababu lolote linaweza kubuniwa. naomba video ya maneno yake yakiashiria uvunjifu wa amani

Msomi gani ali yepata sifuri sekondari. Huyu kama ingekuwa si baba yake kuwa Waziri Mkuu angekuwa anaomba omba tu kama wagogo wenzake kina Matonya hapa mjini. Ovyo kabisa bichwa kubwa kumbe makamasi matupu tu! ptuuuu!!!
 
Pande zote zina mapufungu yake kati ya serikali na Ponda

Lakini, bila kuwa makini hii ishu ya Ponda na wafuasi wake itatufikisha pabaya, he has a point labda jinsi ya kuwakilisha ndio haijakaa poa kwa wengine.

Hapana!!! Achague maneno ya kusema

Huyu ni mtoto wa Waziri mkuu mstaafu na mtu mwenye heshima na ni mmoja wa viongozi wa nchi hii come rain come shine!!!!

Step mom wake ni mbunge!!!

Au ndio kaamua kufunguka ukisikia yalaaa limempata!!!!

Au mi ndio sijasikia matamko yao ya kulaani hayo aliyoyataja...akiba ya maneno kwenye siasa ni kitu cha muhimu!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom