daaah kazi hipo under one government!
Lazima mjue kuwa New World Oder lazima ije kutokea, na itatawala hapa duniani, even Daniel alitabiri hivyo. Na tayari imeanza kutawala. Cha kufanya ni kupambana kwa kutetea nafsi yako. Hakuna atakayeweza kupingana nayo, hata hivi sasa ipo na satanic works zipo mpaka hapa TZ. Tetea nafsi yako kwa Mungu, ndio kilichobaki.
Mkuu hiyo avatar yako tu ni kimeo..maana moja ya aina ya music under satan government ni Rock Music...