The Nokia iPhone 5 Killer Phone Has Arrived!

Given Edward

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
850
202
Last month, nilitoa habari kwamba Nokia N9 might be powered by MeeGo instead of Symbian Anna. Likewise, this gave enthusiasts hope that Nokia will still push the MeeGo platform despite the looming trend of its WP7 devices destined for this year.
As of today, Stephen Elop finally confirmed that Nokia N9 is indeed a MeeGo Phone and this would serve as the company's first on the platform. Packing with a 3.9-inch AMOLED screen (854×480 resolution), a 1GHz TI OMAP 3630 processor along with a PowerVR SGX530 GPU – making this device a strong contender against Android's superphones and iPhone 4 in terms of specs. Meanwhile, it has a 16GB or 64GB integrated memory (no microSD slot), 1GB RAM, quad-band GSM and penta-band WCDMA support making it compatible with almost any frequency on Asia, Europe and North American countries. In addition to that, it has an 8 megapixel camera, capable of recording 720p (HD) videos and shoot in low light (aperture set to F2.2).
Other goodies include WiFi / Bluetooth 2.1 support, GPS, NFC for mobile payment purposes, battery can last up to 4.5 hours while playing / 11 hours using GSM; will run MeeGo 1.2 Harmattan (the latest for the OS) and its browser supports HTML5.
nokia_n9_meego_phone_1.jpg
According to engadget, the Nokia N9 is impressive in terms of its performance and how the MeeGo has matured and blossom into a real mobile UI. On the physical aspects, the device "feels good" to the hand eventhough it's surrounded by hard plastic.
Expect the Nokia N9 Meego Phone to hit its release date "later this year" and its price should be available on that timeline as well on your local shops.( I don't know about our country Tanzania maana tupo nyuma sana)

Check out Nokia N9 Video Impressions. As Givenality, personally, I love it!


If you'll ask us, this is the first real Nokia smartphone that's similar with the image and likeness of Android and iPhone. No keyboard, no slideout feature, just plain glory on its 3.9-inch slab of touchscreen goodness.
 
Last edited by a moderator:
mkuu, hii kitu itakuwa imetulia, ila sidhani kama kuna Meego app nyingi.
 
wangeweka android os ingekuwa bomba...halafu walishatoa nokia yenye megapixel 12,leo wanarudi nyuma kuweka 8.sielewi
 
Itachukua mda kubadili fikra za watu when it comes to smartphones. Bado naamini iphone ni superior na katika zunguka zunguka zangu kwenye iphone nimefika.
 
Itachukua mda kubadili fikra za watu when it comes to smartphones. Bado naamini iphone ni superior na katika zunguka zunguka zangu kwenye iphone nimefika.

Nakubaliana na wewe. Apple/iPhone ndio wame-revolutionize smart phones. Wengine wote ni kucopy na kupaste.
Binafsi kwa matumizi ya kikazi=Blackberry
Matumizi yangu personal=iPhone 4
Sitaki kusikia matoy mengine
 
pigeni kelelee weeee! steve jobs anakuja na line moja tu "ladies and gentlemen i give you iPhone5/iCloud"
 
Alright iPhone fans, but remember, there is no free lunch. Nokia wanajaribu kurudi kwenye class yao after fallind heavily in two years consecutively. Let's give them credit for this one. Hebu tuangalie:-

In brief:


Comparison Between Nokia N9 and iPhone 4
• Nokia N9 has a bigger display (3.9 inch) than iPhone 4 (3.5 inch)
• iPhone 4 has a better resolution of screen (640×960 pixels) than N9 (480×854 pixels)
• Nokia N9 runs Meego while iPhone 4 is based on iOS.
• N9 has a more powerful RAM (1 GB) than iPhone 4 (512 MB)
• iPhone 4 is thinner (9.3mm) than N9 (12.1mm)
• N9 has a better camera (8 MP) than iPhone 4 (5 MP)
• The camera of N9 shoots with higher resolution (3264X2448 pixels) than iPhone 4 (2592X1944 pixels)
• N9 has a unique UI that provide 3 home screen that are lacking in iPhone 4

They deserve some appreciation people! Let the facts speak.
 
changanya zote, bado haifikii iCloud!

Fananisha mwenyewe:-
Nokia-N9-00-cyan.jpg

Nokia N9 ambayo vile vile inajulikana kama Nokia N9-00, Nokia N9 Lankku:-
2G NetworkGSM 850 / 900 / 1800 / 1900
3G NetworkHSDPA 850 / 900 / 1700 / 1900 / 2100
Announced2011, June
StatusComing soon

GENERAL
Dimensions116.5 x 61.2 x 12.1 mm, 76 cc
Weight135 g

SIZE
TypeAMOLED capacitive touchscreen, 16M colors
Size480 x 854 pixels, 3.9 inches
- Gorilla glass display
- Anti-glare polariser
- Multi-touch input method
- Proximity sensor for auto turn-off
- Accelerometer sensor for UI auto-rotate

DISPLAY
Alert typesVibration; MP3, WAV ringtones
LoudspeakerYes
3.5mm jackYes
Dolby Mobile sound enhancement; Dolby Headphone support

SOUND
PhonebookPractically unlimited entries and fields, Photocall
Call recordsYes
Internal16/64 GB storage, 1 GB RAM
Card slotNo

MEMORY
GPRSClass 33
EDGEClass 33
3GHSDPA, 14.4 Mbps; HSUPA, 5.7 Mbps
WLANWi-Fi 802.11 a/b/g/n
BluetoothYes, v2.1 with A2DP, EDR
Infrared portNo
USBYes, microUSB v2.0, USB On-the-go support

DATA
Primary8 MP, 3264x2448 pixels, Carl Zeiss optics, autofocus, dual LED flash
FeaturesGeo-tagging, face detection, touch-focus
VideoYes, 720p@30fps
SecondaryYes

CAMERA
OSMeeGo OS, v1.2 Harmattan
CPU1GHz Cortex A8 CPU, PowerVR SGX530 GPU, TI OMAP 3630 chipset
MessagingSMS (threaded view), MMS, Email, Push Email, IM
BrowserWAP 2.0/xHTML, HTML, RSS feeds
RadioNo
GamesAngry Birds Magic (NFC), Galaxy on Fire 2, Real Golf 2011; downloadable
ColorsBlack, Cian, Magenta
GPSYes, with A-GPS support; Ovi Maps
JavaYes, MIDP 2.1
- MicroSIM card support only
- SNS integration
- Active noise cancellation with dedicated mic
- Digital compass
- TV-out (720p video) via HDMI and composite
- NFC support
- Dolby Digital Plus via HDMI
- MP3/WAV/eAAC+/WMA/FLAC player
- MP4/H.264/H.263/WMV player
- Document editor (Word, Excel, PowerPoint), PDF viewer
- Video/photo editor
- Voice memo/command/dial
- Predictive text input (Swype)

FEATURES
Standard battery, Li-Ion 1450 mAh (BV-5JW)
Stand-byUp to 380 h (2G) / Up to 450 h (3G)
Talk timeUp to 11 h (2G) / Up to 7 h (3G)
Music playUp to 50 h

BATTERY

Halafu angalia na iPhone 4
apple-iphone-4-ofic-final.jpg

2G NetworkGSM 850 / 900 / 1800 / 1900
3G NetworkHSDPA 850 / 900 / 1900 / 2100
Announced2010, June
StatusAvailable. Released 2010, June

GENERAL
Dimensions115.2 x 58.6 x 9.3 mm
Weight137 g

SIZE
TypeLED-backlit IPS TFT, capacitive touchscreen, 16M colors
Size640 x 960 pixels, 3.5 inches
- Scratch-resistant oleophobic surface
- Multi-touch input method
- Accelerometer sensor for auto-rotate
- Three-axis gyro sensor
- Proximity sensor for auto turn-off

DISPLAY
Alert typesVibration, MP3 ringtones
LoudspeakerYes
3.5mm jackYes, check quality

SOUND
PhonebookPractically unlimited entries and fields, Photocall
Call records100 received, dialed and missed calls
Internal16/32 GB storage, 512 MB RAM
Card slotNo

MEMORY
GPRSClass 10 (4+1/3+2 slots), 32 - 48 kbps
EDGEClass 10, 236.8 kbps
3GHSDPA, 7.2 Mbps; HSUPA, 5.76 Mbps
WLANWi-Fi 802.11 b/g/n, Wi-Fi hotspot
BluetoothYes, v2.1 with A2DP
Infrared portNo
USBYes, v2.0

DATA
Primary5 MP, 2592 x 1944 pixels, autofocus, LED flash,check quality
FeaturesTouch focus, geo-tagging
VideoYes, 720p@30fps, LED video light, geo-tagging,check quality
SecondaryYes, videocalling over Wi-Fi only

CAMERA
OSiOS 4
CPU1 GHz ARM Cortex-A8 processor, PowerVR SGX535GPU, Apple A4 chipset
MessagingSMS (threaded view), MMS, Email, Push Email
BrowserHTML (Safari)
RadioNo
GamesDownloadable, incl. motion-based
ColorsBlack, White
GPSYes, with A-GPS support
JavaNo
- MicroSIM card support only
- Scratch-resistant glass back panel
- Active noise cancellation with dedicated mic
- Digital compass
- Google Maps
- Audio/video player and editor
- Voice command/dial
- TV-out

FEATURES
Standard battery, Li-Po 1420mAh
Stand-byUp to 300 h (2G) / Up to 300 h (3G)
Talk timeUp to 14 h (2G) / Up to 7 h (3G)
Music playUp to 40 h

BATTERY
 
hahahahahaa dah! jamaa kweli huwapendi apple!
angalia release dates basi za hizo simu unazocompare, subiri iPhone5 itoke. With iCloud, utakimbiaaaa..
 
[h=1]Nokia N9 [/h]
Also known as Nokia N9-00, Nokia N9 Lankku



2G NetworkGSM 850 / 900 / 1800 / 1900
3G NetworkHSDPA 850 / 900 / 1700 / 1900 / 2100
Announced2011, June
StatusComing soon

General
Dimensions116.5 x 61.2 x 12.1 mm, 76 cc
Weight135 g

Size
TypeAMOLED capacitive touchscreen, 16M colors
Size480 x 854 pixels, 3.9 inches
- Gorilla glass display
- Anti-glare polariser
- Multi-touch input method
- Proximity sensor for auto turn-off
- Accelerometer sensor for UI auto-rotate

Display
Alert typesVibration; MP3, WAV ringtones
Loudspeaker Yes
3.5mm jack Yes
Dolby Mobile sound enhancement; Dolby Headphone support

Sound
PhonebookPractically unlimited entries and fields, Photocall
Call recordsYes
Internal16/64 GB storage, 1 GB RAM
Card slotNo

Memory
GPRSClass 33
EDGEClass 33
3GHSDPA, 14.4 Mbps; HSUPA, 5.7 Mbps
WLANWi-Fi 802.11 a/b/g/n
BluetoothYes, v2.1 with A2DP, EDR
Infrared portNo
USBYes, microUSB v2.0, USB On-the-go support

Data
Primary8 MP, 3264x2448 pixels, Carl Zeiss optics, autofocus, dual LED flash
FeaturesGeo-tagging, face detection, touch-focus
VideoYes, 720p@30fps
SecondaryYes

Camera
OSMeeGo OS, v1.2 Harmattan
CPU1GHz Cortex A8 CPU, PowerVR SGX530 GPU, TI OMAP 3630 chipset
MessagingSMS (threaded view), MMS, Email, Push Email, IM
BrowserWAP 2.0/xHTML, HTML, RSS feeds
RadioNo
GamesAngry Birds Magic (NFC), Galaxy on Fire 2, Real Golf 2011; downloadable
ColorsBlack, Cian, Magenta
GPSYes, with A-GPS support; Ovi Maps
JavaYes, MIDP 2.1
- MicroSIM card support only
- SNS integration
- Active noise cancellation with dedicated mic
- Digital compass
- TV-out (720p video) via HDMI and composite
- NFC support
- Dolby Digital Plus via HDMI
- MP3/WAV/eAAC+/WMA/FLAC player
- MP4/H.264/H.263/WMV player
- Document editor (Word, Excel, PowerPoint), PDF viewer
- Video/photo editor
- Voice memo/command/dial
- Predictive text input (Swype)

Features
Standard battery, Li-Ion 1450 mAh (BV-5JW)
Stand-byUp to 380 h (2G) / Up to 450 h (3G)
Talk timeUp to 11 h (2G) / Up to 7 h (3G)
Music playUp to 50 h

Battery

RAM 1GB, ni nzuri sana ila kwenye CPU, kuna wajinga kama Samsung Galaxy S II (Dual-core 1.2Ghz), wameshavuka hapo kwenye 1Ghz na si tu kuwa wamevuka ila tayari wanatumia DUAL-CORE ambayo kama CPU haihitajiki sana, kinatumika tu kipande kimoja na hiyo kupungza matumizi ya umeme wa Betry.

Europe na USA kwa sasa wanakuwa na matatizo sana na hawa Wakorea. Ukiangalia hata LG, anafanya fujo sana ila sema quality ya LG huwa ina mashaka sana. Samsung kwa sasa kashamziba mdomo SONY na mtu kuwa na SAMSUNG siyo aibu tena. Kwanza bei zao ni kubwa sana ila sema na wao wanakuwa wakati mwingine na tudude twa bei nafuu sana. Ningelikuwa mie ni BOSS, ningelitenga Samsung ziwe katika vitengo viwili kama walivyofanya TOYOTA kwa kuanzisha Lexus. Leo kuna tofauti sana kwani ukisema una Toyota, watu hata hawafikiriii ila ukisema una Lexus, watu wanashtuka kidogo.......

Nokia itabidi aanze kwenda na mienendo ya vijana wa sasa. Kujifanya mbishi na kuigomea Android huku akibaki na hizi program zake, itakula kwake. Ni kosa hilohilo wakubwa wengi huanguka. Kujiamini huwa kuna wajenga na kuwabomoa mwishoni. Tunamkumbuka Ericksson akitawala dunia na wakati huo NOKIA ni aibu kuwa nayo. Wakaja juu na sasa Ericksson mambo ya simu naona hata hafanyi sana. Nokia katamba sana ila na yeye naona muda wake utakuwa unasoea. Iphone ni kama Ferrari kwenye simu. Tatizo lake ni kuwa, masikini hawawezi kununua. YETU MACHO.
 
Samahani mkuu Givenality..umeshawahi kuitumia iphone esp iphone 3GS au 4?
Apple wapo dunia ya kwanza na itachukua miaka mingi nokia kuwasogelea...ni bora uizungumzie samsung kwani wanajitahidi tofauti na nokia.
Nokia wakianza kutumia android nitaanza kuwafikiria
 
Huyu sasa anaanza kuzeeka Mazee. Kuna vijana wanaingia kwa kumzidi.

Hebu tembelea GSM ARENA uone vijana wapya kama akina Droid Incredible 2 au HTC HD7S. HTC Sensation with CPU 1.2 Ghz ndiyo wameingia uwanjani sansa. Speed zao ni kama ki-computer kidogo.

Sema na yeye anaweza kukumbukwa kama akina Nokia N97 au N900 ambao walianzisha mabadiliko makubwa.

IMHO HTC HD2 is the best smartphone ever made.
 
Nice, ila Meego is a dead platform maana hiyo ndo simu ya mwisho ya Meego from Nokia so hakuna atakayetaka kutengeneza Apps kw ajili ya hiyo kitu, ila watakapoweka Windows Phone 7 kwenye hardware kama hiyo mwishoni wa mwaka nadhani watafanikiwa.
 
Itakuwaje Best Ever made mean while we have now phones which can beat him in almost every aspect?

Sasa hivi kuna vioo vinavyoitwa Gorilla Glass ingawa kinachotamba sasa hivi ni AMOLED na hiyo yako HAINA.

Sasa hivi watu wameshavuka 1Ghz CPU na tayari hadi DUAL-CORE zipo kwenye simu. Hii yako ina 448 MB RAM na wakati nyingi sasa zinaingia kwenye 1GB RAM. Battery ina 1230 mAh na wakati wengi sasa wanakwenda kwenye 1500mAh.......

Kuna haja gani ku-decode jambo lililo wazi? Kama Mazee ulinunua hii na ukadhani utatamba nayo milele, my condolence. Ulipoteza hela za bure kwa jambo litakalodumu kwa miezi kadhaa. Lisimu lililotolewa sokoni November 2009 na leo tunaongelea June 2011?

Vitu vipya vikitoka, baada ya miezi 3, huwa vinatoka vingine vipya zaidi na chako tayari kinaanza kuwa kikongwe. Pole sana Mazee kwa kuwa simu yako imeshaanza kuzeeka. Utake usitake huo ndiyo ukweli hata kama utakuuma wewe na hiyo HTC HD 2 yako.
 
meego wnt evn see the light of the day....hz smartphones kwa sasa zinaendeshwa na apps,more apps more sales more popularity n that is wat ios n droid r doing....hakuna platform yyte itakayofikia ios kwa apps,ios haiko bugy na ipo stable vzr..m a nokia diehard fan bt i guec we'll have to wait until the end of this year 4 their 1st WP7...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom