Noor
Senior Member
- Feb 5, 2012
- 146
- 49
- Thread starter
- #21
We kanafiki tu na ka Uzi kako, yaaani kweli Leo jk unamuanika kuwa ni kiongozi bora bila aibu? Ni bora Mungu awaadhibu maana nyie ni sawa na masheitwani hamnaga soni kabisa,
Rushwa, ubabe wa kifedha, na ukandamizaji wa maskini, na dharau za mafisadi ( rejea vijisenti), sasa umekinga kifua kuchapisha pumba kama hzi, hahaaaa!! Ni mda tena wa kumsafisha jk tena kwa shower jelly!! Kama mzee lowasa mlivyomsafisha!!
Bahati nzuri sinaga muda wa kujibizana na mtu anaekuja kwa lugha isiyo na staha. Lugha ya vijisenti haijaanza leo labda nikukumbushe wakati wa Mkapa tulisikia wananchi ikiwezekana wale nyasi lakini ndege lazima inunuliwe. So hizo ni lugha za kisiasa. Na sisi tuliopo kwenye siasa haitupi shida.