The fear of mathematics

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
841
175
There’s a popular NYTimes op’ed titled “Is Algebra Necessary?” which questions the need for kids to learn advanced math. The author cites that failing algebra is a large reason why many students drop out of high school and post-secondary school. Moreover, algebra is not really required for most jobs or liberal arts studies.
 
Attachments

  • math_blackboard.jpg
    math_blackboard.jpg
    28.2 KB · Views: 58
ni kweli unaweza usione matumizi ya aljebra lkn kwa waliosoma adv-math watakiri kuwa inakujengea uwezo wa kufahamu hesabu nyingine amabazo zina umuhimu mkubwa.
Mbali na hilo, inapanua ufahamu wa muwezo
 
Mi ni mpya kaka ndani ya jamvi..,nakuunga mkono kwa asilimia zote juu ya uhusiano wa algebra na topic nyingine za maths. Kitu kama partial fractions na series mathalani Taylors na Maclaurins zina umuhimu mkubwa sana in topics za calculus ambazo nazo zinahitajika kwenye phy na chem. Ila hizo nazo ni ngumu kiasi mi sijui wadau wengine mnaonaje?
 
Kipi ambacho akieleweke?Kwasababu hiyo imeambatana na maelezo yake japo ni kwa lugha ya kiingreza lakini kama unaweza kusoma na kuelewa kiingereza hakuna shida ya kufahamu nini kinaendelea baada ya kusoma maelezo na kutizama picha yake.
 
sijakuelewa mkuu...

Back
Top Bottom