The Cerebrity Show:Helen Kazimoto.

Kama Kawaida Leo Selebu ni Mrisho Mpoto aka Mjomba---#NW


Mavi matupu.
Huyo Mrisho mpoto nilimfuma anakula sambusa za nyama wakati ye anadai ni Rasta asiekula nyama.

Bongo selebu ni Amri Athuman peke yake...
Wengine woote hao ni sawa na mkia wa Mbuzi, haustiri uchi wala haufukuzi Nzi
 
peleka huko tupa mbalini tanzania hakuna Celeb sio Tanzania tu Africa nzima ukiacha Mandela,Koffi anan na Hayati Muammary Ghaddaf


Vipi kuhusu mchezaji wa zamani wa AC Milan ambaye alipata kuwa mwanasoka bora wa Dunia, Ulaya na Africa hapa namzungumzia Opong George Wear?
 
no uhalisia kbs yan.................kipindi kibovu! WAJIPANGE!
 
Back
Top Bottom