The Cerebrity Show:Helen Kazimoto.

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,614
68,543
TBC1:kila J2 saa 3:30PM,Never miseeee!! Ukitaka ku-hang na selebu unayempenda ebu kodolea macho hicho kipindi na uweze jua jinsi ya kushiriki.
 
Upuuz mtupu,nilikitupia jicho hicho kipindi hakina mvuto,production ni ya ovyo sana,mbaya zaidi mtangazaji mwenyewe anatuletea usalama jabir,wajipange upya na huo umarekani wao. Na mabodigurd wao wa kukodi wakati maceleb bongo tunapanda nao daladala.no reality.
 
nimecheka mmmh!
 
bongo ubunifu umeisha nadhan, siku hizi vipivndi vya tv vinafanana sa hicho kipindi na host wake anamuiga jabir na hakina tofauti na mikasi. Nikiangalia mpangilio na mahost wa vipindi vya television vinafanana wanaigana yani kila kitu.
Hicho kipindi nimeangalia host anaiga swaga za u tommy boy ka wa salama yani inakera tu sana
 
Host wa kipindi Bi hellen kazimoto anahitaji Training ya hali ya juu. Kuongea kwake anarudia sentensi sana, Costume designer wao nadhani ni maduka ya kinondoni studio inabidi wamvishe vizuri, kuvuta sigara on cam sio kitu kizuri sana ukizingatia ile ni TV ya Umma. Launching party yake ilipigwa shots vibaya sana Pale Sheesha N lounge kwa mwinyi. Kwa ufupi wanahitaji mchango wa Pesa ili wakae sawa.
 
Kipindi cha kipuuzi sana wanajifanya wako marekani kila saa wanakunywa wine. Huyo mwanamke kajitoboa anajifanya anavaa kata kei.
 
TBC1:kila J2 saa 3:30PM,Never miseeee!! Ukitaka ku-hang na selebu unayempenda ebu kodolea macho hicho kipindi na uweze jua jinsi ya kushiriki.

Kipindi chenyewe wanatelezea tu kwenye tiles baada ya kumwaga mapovu na mlenda.. Wame copy na ku paste kipindi kinaitwa ''Played by Fame'' cha BET
 
labda Morry Kante, George weah,Didi drogba pia wamo P square hayati Ummy kulthm Na raisi wa kwanza wa Ghana Nkurumah hawa ndio nilipotembelea mabara manne tafouti na yote wanawajuwa
 
|Ghana wana kipindi kama hicho nilikuwa nakifuatilia thru You tube...

Nikawa najiuliza Bongo hawaja kinyaka tu...

Ila hapa kwetu kuna celeb mwenye kudatisha watu mpaka waone dili kutoka nae out????
Siwezi jua labda hawa vijana wetu teens wanaona ma celeb wetu wana umaana.

TBC1:kila J2 saa 3:30PM,Never miseeee!! Ukitaka ku-hang na selebu unayempenda ebu kodolea macho hicho kipindi na uweze jua jinsi ya kushiriki.
 
Hata Ghana wana kipindi kama hicho kinarushwa You tube...; ila ndio hivyo wanaotafuta hizo chance za kutoka na wasanii ni vianafunzi vya chuo. Lol...tena wengi ni wasichana.

Kipindi chenyewe wanatelezea tu kwenye tiles baada ya kumwaga mapovu na mlenda.. Wame copy na ku paste kipindi kinaitwa ''Played by Fame'' cha BET
 
Back
Top Bottom