Una swali lingine bro ?!Bila shaka utakuwa muislamu..au sio.?

Haya ndiyo yalikua maalizo yako ya awali kwanguEmbu niambie ni sifa zipi ambazo anazo Mila muumba ni kama za binadamu au ni sifa za binadamu.
Na itakuwa vizuri sana ukitoa ulingano wa sifa,mathalani,ukizungumzia sifa ya kusikia pia uonyeshe ulingano wa kusikia wa Mola mlezi unafanana vipi na kusikia kwa binadamu. Ukifanya hivyo utakuwa umetusaidia sana hasa hasa mimi.
Naona unajibi swali ambalo sikukuuliza.Haya ndiyo yalikua maalizo yako ya awali kwangu
Na niliacha kujibu kwa kutaka kupata mtazamo wako kwanza
Labda tu niweke bayana kidogo
Sina shida juu ya ufananisho wa milango ya fahamu ya Mungu wako na binadamu
Yeye hata akiwa na ya ziada kwangu si tatizo
Ila shida ni yule Mungu anayehubiriwa kwenye vitabu vyenu
Ana Haiba ya kibinadamu kama
Hasira wivu kisasi n.k
Sifa mahususi kabisa kwa binadamu na viumbe wengine
Sasa hoja ni kwamba sijaona sababu ya yeye kuwa Mungu katika utukufu ule mnaompa
Kwa sifa dhaifu kama hizo zinazopelekea aonekane kama hana kazi ya kufanya na anayejitekenya kwa raha zake mwenyewe
Sijui umeelewa.....?
Inaonekana unapoteza kumbukimbu haraka sana. Unakumbuka kwanini nilikupa maelezo yaliyopita huko juu.Haya ndiyo yalikua maalizo yako ya awali kwangu
Na niliacha kujibu kwa kutaka kupata mtazamo wako kwanza
Labda tu niweke bayana kidogo
Sina shida juu ya ufananisho wa milango ya fahamu ya Mungu wako na binadamu
Yeye hata akiwa na ya ziada kwangu si tatizo
Ila shida ni yule Mungu anayehubiriwa kwenye vitabu vyenu
Ana Haiba ya kibinadamu kama
Hasira wivu kisasi n.k
Sifa mahususi kabisa kwa binadamu na viumbe wengine
Sasa hoja ni kwamba sijaona sababu ya yeye kuwa Mungu katika utukufu ule mnaompa
Kwa sifa dhaifu kama hizo zinazopelekea aonekane kama hana kazi ya kufanya na anayejitekenya kwa raha zake mwenyewe
Sijui umeelewa.....?
Nyie watu huwa mnafanana sana aisee,na Mola wetu mlezi amewapa mtihani wa ufahamu kwa kujitakia wenyewe,sasa inakuwaje unajibu swali ambalo hujalielewa ?Haya ndiyo yalikua maalizo yako ya awali kwangu
Na niliacha kujibu kwa kutaka kupata mtazamo wako kwanza
Labda tu niweke bayana kidogo
Sina shida juu ya ufananisho wa milango ya fahamu ya Mungu wako na binadamu
Yeye hata akiwa na ya ziada kwangu si tatizo
Ila shida ni yule Mungu anayehubiriwa kwenye vitabu vyenu
Ana Haiba ya kibinadamu kama
Hasira wivu kisasi n.k
Sifa mahususi kabisa kwa binadamu na viumbe wengine
Sasa hoja ni kwamba sijaona sababu ya yeye kuwa Mungu katika utukufu ule mnaompa
Kwa sifa dhaifu kama hizo zinazopelekea aonekane kama hana kazi ya kufanya na anayejitekenya kwa raha zake mwenyewe
Sijui umeelewa.....?
Kunywa maji kidogo halafu tulia ili tuendelee....Nyie watu huwa mnafanana sana aisee,na Mola wetu mlezi amewapa mtihani wa ufahamu kwa kujitakia wenyewe,sasa inakuwaje unajibu swali ambalo hujalielewa ?
Huu utoto ndio huwa siutaki aisee.Kunywa maji kidogo halafu tulia ili tuendelee....
Unaweza weka iyo hiyo palagraph ya maulizo yako au ukabold hiyo sehemu ya ulizo lako
Au yote ya yote ukalirudia ili twende sawa
Maana yawezakua ulilijenga kichwani ukasahau kutype.!
Ila naomba uliza kwa mpangilio mzuri basi
Rejea post yako # 904 na usome post yangu # 909 .Kunywa maji kidogo halafu tulia ili tuendelee....
Unaweza weka iyo hiyo palagraph ya maulizo yako au ukabold hiyo sehemu ya ulizo lako
Au yote ya yote ukalirudia ili twende sawa
Maana yawezakua ulilijenga kichwani ukasahau kutype.!
Ila naomba uliza kwa mpangilio mzuri basi
Iyo ndiyo niliyoitumia kujengea hoja ya Mungu mwenye sifa za kibinadamu_ tatizo lipo wapi.!?Rejea post yako # 904
hii ndiyo niliyokujibu kupitia #922.. tatizo lipo wapi.?na usome post yangu # 909 .
Sasa kama huna tatizo kwanini unaleta ulingano huku ukiwa elimu ya kung'amua uyasemayo huna ?Iyo ndiyo niliyoitumia kujengea hoja ya Mungu mwenye sifa za kibinadamu_ tatizo lipo wapi.!?
hii ndiyo niliyokujibu kupitia #922.. tatizo lipo wapi.?
Nimekwambia sina tatizo na milango ya fahamu
Au milango ya fahamu huijui ya binadamu.!?
Tatizo ni haiba yake inayojidhihirisha kupitia vitabu ugumu uko wapi.!?
Sasa kama huna tatizo kwanini unaleta ulingano huku ukiwa elimu ya kung'amua uyasemayo huna ?
Tatizo lipo sababu hujajibu swali na kwanini unajichanganya na kujikana ?
Unaijua milango ya fahamu ya Mola wetu ? Tuliza akili usome kilichoandikwa na kama hujaelewa sema upewe maelezo.
Wewe ulikiri Mola mwenye sifa za kibinadamu kisha wewe ukasema na ukakana ya kuwa huna tatizo na sifa hizo.
Sasa nikakuuliza ni upi usawa wa sifa za Mola na sifa za kibinadamu mpaka wewe ukaamua kumnasibisha kwazo Mola wetu. Hapa nazungumzia ulingano sasa kama hukuelewa tamko "ulingano" nimelitoa na kuweka tamko "usawa".
Ukizungumzia haiba ujue tunazungumzia sifa,ndio maana nikasema au huwa nasema nyinyi mna matatizo ya kurithishana ujinga.
walimu walipata tabu sana kukuza ufahamu wakoSasa kama huna tatizo kwanini unaleta ulingano huku ukiwa elimu ya kung'amua uyasemayo huna ?
Nakujibu ila tatizo Mvivu..Tatizo lipo sababu hujajibu swali na kwanini unajichanganya na kujikana ?
NishakujibuUnaijua milango ya fahamu ya Mola wetu ?
kilichoandikwa kama kipi cha ajabu zaidi ya Contradiction kibao_huna jipyaTuliza akili usome kilichoandikwa na kama hujaelewa sema upewe maelezo.
Wapi nimekiri izo sifa za Mola wako wa kwenye kitabu..!?Wewe ulikiri Mola mwenye sifa za kibinadamu kisha wewe ukasema na ukakana ya kuwa huna tatizo na sifa hizo.
Nimelizungumzia hilo kama hujaelewa tatizo ni lako si languSasa nikakuuliza ni upi usawa wa sifa za Mola na sifa za kibinadamu mpaka wewe ukaamua kumnasibisha kwazo Mola wetu. Hapa nazungumzia ulingano sasa kama hukuelewa tamko "ulingano" nimelitoa na kuweka tamko "usawa".
Wewe na ndugu zako mliokaririshwa na kumezeshwa ndio wenye MatatizoUkizungumzia haiba ujue tunazungumzia sifa,ndio maana nikasema au huwa nasema nyinyi mna matatizo ya kurithishana ujinga.
Nikisem hujibu swali langu ujue nina maanisha bro. Kati yangu mimi na wewe nani aliyeleta ulingano kati ya binadamu na Mola muumba ?walimu walipata tabu sana kukuza ufahamu wako
Nina maanisha hivi..sina tatizo kama Mungu wako anaona au anasikia au anaonja pia kama unagusa na vitu vikagusika na kunusa pia Sina tatizo na hivyo
Na ndio maana yangu ya milango ya fahamu
Na nilijibu kulingana na muktadha wa swali lako la kuhoji ulinganifu kwenye post yako ya #909 kuhusu kusikiliza
ILa wewe ulitaka niweke viwango vya decibell anavyotumia Mungu wako kusikiliza sala za waumini wake
Vinafananaje na wanavyotumia Ngumbaru kusikiliza hotuba za viongozi wao
Nakujibu ila tatizo Mvivu..
Onesha nilipo jichanganya na kujikana
Nishakujibu
kilichoandikwa kama kipi cha ajabu zaidi ya Contradiction kibao_huna jipya
Wapi nimekiri izo sifa za Mola wako wa kwenye kitabu..!?
Na sijui kama unachokiandika unakijua naona mauzauza Tu.!
Nimelizungumzia hilo kama hujaelewa tatizo ni lako si langu
Kabla sijazungumzi ni sifa zipi kupitia post yangu ya #904 ukarukia gari kwa mbele kwa swali la kuhoji ulilolijenga kimakosa
Wewe na ndugu zako mliokaririshwa na kumezeshwa ndio wenye Matatizo
Tukiwaambia vitabu vyenu ni Madogoli ya Alien(exraterrestial being) hamtaki...!
Bro mimi sijakamilika ila huna uwezo wa kukosoa hoja yangu hata kwa bahati mbaya katika hili tunalolijadili.walimu walipata tabu sana kukuza ufahamu wako
Nina maanisha hivi..sina tatizo kama Mungu wako anaona au anasikia au anaonja pia kama unagusa na vitu vikagusika na kunusa pia Sina tatizo na hivyo
Na ndio maana yangu ya milango ya fahamu
Na nilijibu kulingana na muktadha wa swali lako la kuhoji ulinganifu kwenye post yako ya #909 kuhusu kusikiliza
ILa wewe ulitaka niweke viwango vya decibell anavyotumia Mungu wako kusikiliza sala za waumini wake
Vinafananaje na wanavyotumia Ngumbaru kusikiliza hotuba za viongozi wao
Nakujibu ila tatizo Mvivu..
Onesha nilipo jichanganya na kujikana
Nishakujibu
kilichoandikwa kama kipi cha ajabu zaidi ya Contradiction kibao_huna jipya
Wapi nimekiri izo sifa za Mola wako wa kwenye kitabu..!?
Na sijui kama unachokiandika unakijua naona mauzauza Tu.!
Nimelizungumzia hilo kama hujaelewa tatizo ni lako si langu
Kabla sijazungumzi ni sifa zipi kupitia post yangu ya #904 ukarukia gari kwa mbele kwa swali la kuhoji ulilolijenga kimakosa
Wewe na ndugu zako mliokaririshwa na kumezeshwa ndio wenye Matatizo
Tukiwaambia vitabu vyenu ni Madogoli ya Alien(exraterrestial being) hamtaki...!
Bro nimekariri mara ngapi juu ya suala la sifa na umembwela kujibu,ukawa unaleta dibaji tu.walimu walipata tabu sana kukuza ufahamu wako
Nina maanisha hivi..sina tatizo kama Mungu wako anaona au anasikia au anaonja pia kama unagusa na vitu vikagusika na kunusa pia Sina tatizo na hivyo
Na ndio maana yangu ya milango ya fahamu
Na nilijibu kulingana na muktadha wa swali lako la kuhoji ulinganifu kwenye post yako ya #909 kuhusu kusikiliza
ILa wewe ulitaka niweke viwango vya decibell anavyotumia Mungu wako kusikiliza sala za waumini wake
Vinafananaje na wanavyotumia Ngumbaru kusikiliza hotuba za viongozi wao
Nakujibu ila tatizo Mvivu..
Onesha nilipo jichanganya na kujikana
Nishakujibu
kilichoandikwa kama kipi cha ajabu zaidi ya Contradiction kibao_huna jipya
Wapi nimekiri izo sifa za Mola wako wa kwenye kitabu..!?
Na sijui kama unachokiandika unakijua naona mauzauza Tu.!
Nimelizungumzia hilo kama hujaelewa tatizo ni lako si langu
Kabla sijazungumzi ni sifa zipi kupitia post yangu ya #904 ukarukia gari kwa mbele kwa swali la kuhoji ulilolijenga kimakosa
Wewe na ndugu zako mliokaririshwa na kumezeshwa ndio wenye Matatizo
Tukiwaambia vitabu vyenu ni Madogoli ya Alien(exraterrestial being) hamtaki...!
Hiwa nasema inabidi muwe mnafundishwa jinsi ya kuhoji,kujibu na kuuliza maswali kama hujui hizi ni elimu pweke zenye kujitegemea sio mnakaririshwa ma nadharia ya wajinga wakubwa wa kale na wa sasa. Lazima mchelewe kufika kwenye kilele cha umakinifu wa hojaji.walimu walipata tabu sana kukuza ufahamu wako
Nina maanisha hivi..sina tatizo kama Mungu wako anaona au anasikia au anaonja pia kama unagusa na vitu vikagusika na kunusa pia Sina tatizo na hivyo
Na ndio maana yangu ya milango ya fahamu
Na nilijibu kulingana na muktadha wa swali lako la kuhoji ulinganifu kwenye post yako ya #909 kuhusu kusikiliza
ILa wewe ulitaka niweke viwango vya decibell anavyotumia Mungu wako kusikiliza sala za waumini wake
Vinafananaje na wanavyotumia Ngumbaru kusikiliza hotuba za viongozi wao
Nakujibu ila tatizo Mvivu..
Onesha nilipo jichanganya na kujikana
Nishakujibu
kilichoandikwa kama kipi cha ajabu zaidi ya Contradiction kibao_huna jipya
Wapi nimekiri izo sifa za Mola wako wa kwenye kitabu..!?
Na sijui kama unachokiandika unakijua naona mauzauza Tu.!
Nimelizungumzia hilo kama hujaelewa tatizo ni lako si langu
Kabla sijazungumzi ni sifa zipi kupitia post yangu ya #904 ukarukia gari kwa mbele kwa swali la kuhoji ulilolijenga kimakosa
Wewe na ndugu zako mliokaririshwa na kumezeshwa ndio wenye Matatizo
Tukiwaambia vitabu vyenu ni Madogoli ya Alien(exraterrestial being) hamtaki...!
Unanivumilia kwa lipi..!? We kama nani kwanza.!Nikisem hujibu swali langu ujue nina maanisha bro. Kati yangu mimi na wewe nani aliyeleta ulingano kati ya binadamu na Mola muumba ?
Bro ujue nakuvumilia sana aisee. Thamini muda wako na muda wangu pia.