Thanks michuzi blogspot

Status
Not open for further replies.
Membe hawezi kuwa Raisi wa nchi hii
Hana jina kwa watanzania kama alivyokuwa kikwete
watanzania wengi wana tegemea CCM wataweka Magufuli, sitta, mwandosya, mwakyembe au Lowasa nje ya hapo ni kushindwa mbaya bora waweke chenge kuliko membe
Tatizo magamba hata wakimsimamisha Kenge atakuwa rahisi kwakuwa dola ndo hutumika kuibia kula!!wewe unadhani zile shahada zilizokutwa kule Tamesa zilikuwa za uganda??Jibu unalo
 
Viongozi wenye uwezo wa kutupeleka mbele wapo.
Hatuhitaji kumflash huyu lowassa.
Unapozungumzia uongozi,mbona hutaji hulka yake ya wivi?
OTIS.

Ndio maana kama umesoma post yangu, mwanzoni kabisa nimesema tuache negative side yake.
Hapa wengi hata mimi ninampinga EL, but kwa utendaji huyu jamaa alikuwa makini. Alikuwa na mipango mingi sana ya kukuza uchumi.
 
Wapi amechafuliwa na mimi... if you find any post in this thread i will apologize, but if not, i will ask once again, i dont do benders... just stay off my d!ck

na kwa kusisitiza tu... ni siasa chafu za kuanza kutafuta kurithi urais zinaharibu nchi hii.... mko bize mnahangaika wa kurithi wakati hata bei ya kilo ya unga hamjui

tuungane tusolve the pooerst of the poor... come 2012 vikianza vikao vya chama then you can take it inside the party, sio kulazimisha watu kwa kuwaletea images za kuzoeleka

You are just so narrow and you think everything in this world is propaganda and fanatism

we want results and accountability not suits and boarding passes

mentality ya watanzania wengi ni 'kuchagua' personality...
na sio kuchagua most qualified guy kutumikia.....
always utasikia nitafanya hiki au kile...
husikii nilifanya hiki na kile.....
na wananchi wako so easy 'kusamehe' na kukubali to settle for less kwenye politics kuliko kitu kingine
its sad...
 
Ndio maana kama umesoma post yangu, mwanzoni kabisa nimesema tuache negative side yake.
Hapa wengi hata mimi ninampinga EL, but kwa utendaji huyu jamaa alikuwa makini. Alikuwa na mipango mingi sana ya kukuza uchumi.

mipango ya uchumi?????pleaase..
Yeye ndie aliekuwa the 'brain' ya mabilioni ya Kikwete....
ni upuuzi gani ule aiseee.......
waulize wachumi wakwambie 'athari za kugawa pesa'
ovyo kwenye uchumi.....huu ambao still ni 'maandazi economy'...
 
Yes bro the guy has his quality... but i do think wapambe wamemvamia mapema sana, and as always you are what you eat

ukizinguka kutwa na MTM basi watu wataku-judge ki-MTM na jamaa anatakiwa abaki kwanza afanye filtration ya nguvu

waliomuangusha JK si yeye, ni hao waliomzunguka mapema na kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa kulinda viulaji vyao

time will come and time will tell, it is our Hippocratic way of life that ruins nation development, na ukisema ukweli utaona wanavyohangaika

I was in a few embassies miezi michache iliyopita nikauliza "hivi kweli tumefika wakati tunaangalia ajaye huyu kafa".... kila mtu anasema, aaah bwana weh, unadhani tunapenda?? si basi tena tutafanyaje??

OMG
 
Pal

I have no issue na yoyote, naona wote sawa kwani wanahangaikia kugawana urithi na baba hajakata roho... si lowassa, membe, mwandosya, CDM nk...

Ningependa tu-focus kuondoa nchi kwenye shimo refu, tusaidiane kujitoa na tukifanikiwa kila kitu kitakua in place or at least tutajua leaders ni wapi na prakatatumba ni nani

Just tell me tangu tuwe kwenye turmoil ni kiongozi gani amesimama kuhesabiwa??? tunahangaika na kamati za bunge, wamekua ndio mawaziri, wamekua ndio wasemaji, wamekua ndio watendaji, wamekua ndio makatibu wa wizara... SAD!!!

I wouldnt mind chochote as long as tunapunguza shida zilizopo sasa

Imagine senior government officer wa take home ya 500,000 maana yake anapata chini ya dolla 250 kama mshahara!!!!!!!!!!!!! sukari, chumvi, ugali, wali vya mgao, umeme, mafuta, gesi, foleni kila kitu mgao and we are very busy talking up 2015 which is over 1000 days to come meaning over 30,000 hours of suffering fook
I need a gun!!
Nakubaliana na wewe, but kiongozi mkuu wa nchi anatakiwa aandaliwe mapema. Miaka mitano ni michache sana, 2015 its not far. Nchi za wenzetu maraisi huwa wanaandaliwa toka wakiwa wadogo.
Kikwete mwenyewe kaandaliwa for mor than 10 yrz.
Inflation ni kitu cha kawaida, inatokana na forces za demand na supply, sidhani kama kiongozi wa siasa anaweza kusaidia chochote. Tunaona China now wanavyohangaika na inflation pamoja na kuwa wapo vizuri kiuchumi.
 
mipango ya uchumi?????pleaase..
Yeye ndie aliekuwa the 'brain' ya mabilioni ya Kikwete....
ni upuuzi gani ule aiseee.......
waulize wachumi wakwambie 'athari za kugawa pesa'
ovyo kwenye uchumi.....huu ambao still ni 'maandazi economy'...
actually ile pesa imeenda shimoni and kwa sheria ndogo tu zinazosimamia public accounting ile ni issues

kama kawa funika kombe

I worked on some projects with local government, i can bet my head, 40% ya pesa ni losses tu kwa serikali.... na hivi ndio tunavyotaka kiongozi ajae azisimamie, sio kutumia fookign bloggers wasio na uelewa wa nchi zaidi ya kutudanganya

mpuuzi kama OTIS yeye anaangalia things superficially... hebu akasome district evelopment plans, asome ripoti za kamati za ulinzi na usalama, aongee na watendaji

halafu aje hapa na pumba zake na vi-boarding pass vyake akidhani that is what we want

inakera sana aisee

the country is crying and a few morons just think its like fiesta
 
Nakubaliana na wewe, but kiongozi mkuu wa nchi anatakiwa aandaliwe mapema. Miaka mitano ni michache sana, 2015 its not far. Nchi za wenzetu maraisi huwa wanaandaliwa toka wakiwa wadogo.
Kikwete mwenyewe kaandaliwa for mor than 10 yrz.
Inflation ni kitu cha kawaida, inatokana na forces za demand na supply, sidhani kama kiongozi wa siasa anaweza kusaidia chochote. Tunaona China now wanavyohangaika na inflation pamoja na kuwa wapo vizuri kiuchumi.

inflation???
ya China na sisi ni hadithi mbili tofauti...
inflation yetu ina changiwa na mambo mia kidogo
1.dollarization ya uchumi..
2.uchumi wa 'kuagiza bidhaa'
a consumer nation...
3.unregulated industry ,mfano oil industry....na zingine..
4. the list is endless
 
kweli rejao kwenye maandalizi

lakini sio kwa madomo na ubwabwajaji

haandaliwi na bloggers, anaandaliwa majukumu
 
kwa matatizo tuliyonayo, i would prefer a MFA kwani mara nyingi hawajui shida za ndani

I would rather listen to mtu anayejua wizara ya tawala za mikoa, ujenzi, kilimo, mawasiliano, fedha au viwanda na biashara

Tunahangaika na foreign relatioship wakati chumvi ipo uvinza, sukari iko mtibwa uji upo nchi nzima wali upo mbrali

we need basics before we start flying out like nzi
Well said mkuu!
 
mipango ya uchumi?????pleaase..
Yeye ndie aliekuwa the 'brain' ya mabilioni ya Kikwete....
ni upuuzi gani ule aiseee.......
waulize wachumi wakwambie 'athari za kugawa pesa'
ovyo kwenye uchumi.....huu ambao still ni 'maandazi economy'...
The Boss,
Sion kama kitendo cha kutoa zile hela kilikuwa na tatizo. Hazikuwa na madhara cuz ziliamount percentage ndogo sana kwenye circulation ya hela. Zingekuwa na asilimia kubwa kiuchumi zingesababisha madhara kama inflation ambayo ni decrease in purchasing power.Tatizo lilikuwa kwenye mipango mibovu, na namna ya kuzicontrol. Zilifaidisha wachache kinyume na malengo yake.
Dunia hii unategemea upate wapi interest free loan? Watanzania tungetumia vizuri zile hela zingetufikisha mbali. Viongozi wetu walikuwa na nia nzuri but sisi wewnyewe tulishindwa kuitumia fursa tuliyopewa.
 
inflation???
ya China na sisi ni hadithi mbili tofauti...
inflation yetu ina changiwa na mambo mia kidogo
1.dollarization ya uchumi..
2.uchumi wa 'kuagiza bidhaa'
a consumer nation...
3.unregulated industry ,mfano oil industry....na zingine..
4. the list is endless
and poor aacounting system..... dependency yetu kubwa inatokana na corrupt official wanaotushushia thamani

madini na samaki tu vingeweza kupunguza inflation
 
The Boss,
Sion kama kitendo cha kutoa zile hela kilikuwa na tatizo. Hazikuwa na madhara cuz ziliamount percentage ndogo sana kwenye circulation ya hela. Zingekuwa na asilimia kubwa kiuchumi zingesababisha madhara kama inflation ambayo ni decrease in purchasing power.Tatizo lilikuwa kwenye mipango mibovu, na namna ya kuzicontrol. Zilifaidisha wachache kinyume na malengo yake.
Dunia hii unategemea upate wapi interest free loan? Watanzania tungetumia vizuri zile hela zingetufikisha mbali. Viongozi wetu walikuwa na nia nzuri but sisi wewnyewe tulishindwa kuitumia fursa tuliyopewa.

viongozi walikuwa hawana 'brain' ya kuondoa umasikini,period...
tazama data hizi.....
1. mabilioni ya kikwete yalikuwa around 20 bilioni mpaka 200 bilioni hivi,nimesahau excact number..

2.IPO ya NMB peke yake zilirudishwa zaidi ya bilioni 100,baada ya kuwa oversubscribed....

sasa kama una wananchi tayari wana bilioni nyiingi za 'kuivenst' mpaka wanarudishiwa..

busara ni nini????? kuongeza pesa kwenye circulation??au kutafuta namna ya kuelekeza
pesa za wananchi kwenye 'investment zingine' ili nchi ifaidike?????

hivi unajua UTT peke yake wamekusanya zaidi ya bilioni 500 kutoka kwa watanzania?????

hii nchi shida sio pesa kwa wananchi...hii nchi shida ni viwanda na biashara ambazo ni 'new economy'

na hilo ndo hatuna kiongozi mwenye 'maono' nalo so far...
 
and poor aacounting system..... dependency yetu kubwa inatokana na corrupt official wanaotushushia thamani

madini na samaki tu vingeweza kupunguza inflation

hapo kwenye accounting ndo utalia ukipata data...
wakurugenzi wa halmashauri..wote ni mabilionea.....wezi..
ni Mrema peke yake ndo anahangaika nao...sad...
 
viongozi walikuwa hawana 'brain' ya kuondoa umasikini,period...
tazama data hizi.....
1. mabilioni ya kikwete yalikuwa around 20 bilioni mpaka 200 bilioni hivi,nimesahau excact number..

2.IPO ya NMB peke yake zilirudishwa zaidi ya bilioni 100,baada ya kuwa oversubscribed....

sasa kama una wananchi tayari wana bilioni nyiingi za 'kuivenst' mpaka wanarudishiwa..

busara ni nini????? kuongeza pesa kwenye circulation??au kutafuta namna ya kuelekeza
pesa za wananchi kwenye 'investment zingine' ili nchi ifaidike?????

hivi unajua UTT peke yake wamekusanya zaidi ya bilioni 500 kutoka kwa watanzania?????

hii nchi shida sio pesa kwa wananchi...hii nchi shida ni viwanda na biashara ambazo ni 'new economy'

na hilo ndo hatuna kiongozi mwenye 'maono' nalo so far...

Jesus Christ!!! Umenikumbusha UTT

waliitana, tena wengine toka nje, wakakaa na novel idea... kama kawa panya buku walikua wanacheki tu mbao gani za lenta zitawafikisha kwenye siagi

kiko wapi

we are not accountable
 
...................now, where the fook is otis, i she sleeping now?
 
Pasco siamini kabisa kama ni post yako, yaani unamfagilia Membe awe rais wa nchi basi tena.

hamjamuelewa PASCO, ili magamba washindwe vizuri 2015 tuzidi kumpigia chapuo Membe apitishwe na chama chake, jua akipitishwa huyo makundi ya CCM yatazidi maradufu ya makundi ya sasa, CDM kipindi hicho itabeba nchi kilaiiiini.
 
Mkuu MTM binafsi naunga mkono kwa asilimia 100% kuwa 2015 ni zamu ya Membe.

Sababu yangu kuu ya 2015 ni Membe ni moja tuu inaitwa 'trend'. Kama baada ya x inafuata y the z ndio kukamilisha xyz, then Membe ndio z ili kukamilisha trend.

Mkapa ndio alikuwa MFA kipindi cha Mwinyi, na baada ya Mwinyi ndipo Mkapa akawa rais. Wakati Mkapa akiwa rais, JK ndio alikuwa MFA na baada ya Mkapa rais ndio JK.

Kipindi hiki cha JK, Membe ndie MFA hivyo 2015 ni zamu ya Membe.

Natoa wito kwa wanajf wenye mapenzi mema na nch yetu, bila kujalisha ni washabiki wa vyama gani, tuungane mkono kuhakikisha CCM inamsimamisha Mhe. Benard Membe ili kukamilisha trend!.

Tuanze kumzingumzia vizuri ikiwemo kumpigia chapuo la kila aina huku tukimwimbia nyimbo za sifa na mapambio.

Bro, mdomo unaumba eti! Membe ni uchuro kama uliopo, kazi kwenu wananchi, uzeni nchi kwa mara ya 2.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom