Thanks michuzi blogspot

Status
Not open for further replies.
Membe bado uwezo wake wa kuongoza ni mdogo, namfananisha na JK wote wanamvuto yaani ma HB lakini uwezo wa kwa kuwa rais NO, isipokuwa JK ambaye udini ulimbeba sana baada ya Mkapa aliyeongoza kwa muda wa miaka kumi muda wake kwisha.

membe HB? Na pua lake lile kama skonzi au hb unamaana nyingine?
 
Kwani Michuzi mwenyewe si gamba tu. Ni msanii wa kawaida ambaye shule ilimpiga chenga lakini akaja kuokolewa na utawala wa kifisadi wa Kikwete. Hakuna mtu wa hovyo kama Michuzi ambaye mara nyingi hundamana na viongozi kwa nafasi sijui ya upiga picha sijui upishi God knows. Blog ya Michuzi ni sawa na Mzalendo na Uhuru believe ye me. Luck enough haina uchambuzi zaidi ya picha vinginevyo ingekuwa hatari.
 
I am still coming to terms with rationale ya kwamba trend yetu ni rais atoke foreign ministry au awe wa kaskazini bla blah...

I am trying to check other countries... sioni hiyo kitu kama factor kabisa... Pasco you gave me a homework and after 2 hours bado nimeshindwa kuelewa upeo wako au undani wa hoja yako!!!

I have only one question kwako ili nipate akili kidogo: what is our foreign policy???
 
Hivi kwanini kila anapoongelewa VIP ndani ya CCM, CHADEMA wanarukia kuhusianisha usafi wa VIP huyo kuwa umetokana na mmoja kuchafuliwa. Sasa watanzania tushike lipi? Kwamba wanaodaiwa kuwa mafisadi ndani ya CCM wamesingiziwa na wengine ili wao waonekane wasafi au ni kweli ni Mafisadi?. Jamani hapa nifafanulieni, Hivi kweli CHADEMA huu ndiyo mgongo wa kupitia ili kushika dola? Naogopa, naona kama hizi mpropanga hata zikiwafikisha huko Watanzania tutashindwa kuwahukumu pale mtakaposhindwa kutekeleza majukumu yenu? Nasema hivyo kwa sababu, ok mmeshika nchi na kwa maana hiyo Mafisadi hawana nafasi tena. Lakini nini kitafuata maanake kwa kipindi chote mlikuwa mnaimba wimbo wa mafisadi. Hayo mengine mnayoyasema ya shule bure, hospitali bure, kima cha chini cha mshahara 350000 nini mtafanya kuyafikia hayo hamsemi, na kwa uhakika hayawezekani kutokana na mabadiliko ya kiuchumi, sayansi na technolojia duniani, lakini kwa kwa vile KWA mjibu wa reseaRch za CHADEMA zinazosema "WANANCHI WANASIKILIZA KILA LIOSEMWALO NA CHADEMA HATA KAMA NI LA UONGO" tutabaki kuamini myasemayo lakini, watakaojuta ni wajukuu zangu kwa vile mimi sitakuwepo siku hizo na siwezi kudanganyika kwa maneno yenu kwa sasa.
 
Mkuu Pasco,

Tuweke record sahihi, Mkapa amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje 1977-80 under Nyerere, then 1984 - 1990. Baada hapo alikuwa Balozi Diria (RIP). Kwa kufuata hiyo mantiki yako, then Rais angekuwa Marehemu Diria. Maana kipindi cha 1990 - 1992, Mkapa alikuwa Habari na Utangazaji, then 1992 - 1995 akaenda Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia.

Kuhusu Membe, naomba usijenge hoja kwa kutumia Wizara ya Mambo ya Nje, maana itakuwa haina mashiko. Kutumia kigezo cha Kikwete kukaa MFA kwa miaka 10, bado Membe atakuwa hajafikisha miaka 10, maana kuna miaka 2 ya mwanzo alikuwepo Bibie Asha-Rose Mtengeti-Migiro.

Bottom line ni kwamba it is too early kuanza kuongelea mitandao ya kumuweka mtu kwenye hiyo nafasi. Sana sana kwa mtu kama Michuzi ni kujiwekea maadui bure na siasa za Bongo siku hizi ni za visasi. Waulizeni waliokuwa wapambe wa Sumaye leo hii wako wapi na wanafanya nini? Hiyo ndio siasa ya Bongo.

Pia siasa za CCM hazieleweki, leo hii watu wanaweza kuhisi kwamba JK yuko upande wa Membe na ukaja kushangaa dakika za majeruhi 2014 kuelekea 2015 jamaa anahamisha kambi kama ilivyokuwa kwa Mkapa ambaye alibadilisha mawazo dakika za majeruhi. Ni Mkapa huyu huyu na Philip Mangula ambao walisema wamestaafu siasa, ujio wao kwenye kampeni za Igunga should be a signal kwamba they are up to something. Uchaguzi wa CCM wa 2007, Mangula aliambulia patupu akaamua kuendelea na kilimo cha viazi huko kwao. Ilikuwaje juzi kule Igunga akakumbukwa na ni nani aliyemwita aende kupiga kampeni? Hali halisi ndani ya chama iko slippery hakuna ambaye ana uhakika na kitakachotokea 2015 on mgombea wa chama. Lakini uchaguzi wa ndani ya chama wa mwakani unaweza kutoa mwanga wa mwelekeo.

kwa matatizo tuliyonayo, i wouldnt prefer a MFA kwani mara nyingi hawajui shida za ndani

I would rather listen to mtu anayejua wizara ya tawala za mikoa, ujenzi, kilimo, mawasiliano, fedha au viwanda na biashara

Tunahangaika na foreign relatioship wakati chumvi ipo uvinza, sukari iko mtibwa uji upo nchi nzima wali upo mbrali

we need basics before we start flying out like nzi
 
Mkuu Pasco,

Tuweke record sahihi, Mkapa amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje 1977-80 under Nyerere, then 1984 - 1990. Baada hapo alikuwa Balozi Diria (RIP). Kwa kufuata hiyo mantiki yako, then Rais angekuwa Marehemu Diria. Maana kipindi cha 1990 - 1992, Mkapa alikuwa Habari na Utangazaji, then 1992 - 1995 akaenda Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia.

Kuhusu Membe, naomba usijenge hoja kwa kutumia Wizara ya Mambo ya Nje, maana itakuwa haina mashiko. Kutumia kigezo cha Kikwete kukaa MFA kwa miaka 10, bado Membe atakuwa hajafikisha miaka 10, maana kuna miaka 2 ya mwanzo alikuwepo Bibie Asha-Rose Mtengeti-Migiro.

Bottom line ni kwamba it is too early kuanza kuongelea mitandao ya kumuweka mtu kwenye hiyo nafasi. Sana sana kwa mtu kama Michuzi ni kujiwekea maadui bure na siasa za Bongo siku hizi ni za visasi. Waulizeni waliokuwa wapambe wa Sumaye leo hii wako wapi na wanafanya nini? Hiyo ndio siasa ya Bongo.

Pia siasa za CCM hazieleweki, leo hii watu wanaweza kuhisi kwamba JK yuko upande wa Membe na ukaja kushangaa dakika za majeruhi 2014 kuelekea 2015 jamaa anahamisha kambi kama ilivyokuwa kwa Mkapa ambaye alibadilisha mawazo dakika za majeruhi. Ni Mkapa huyu huyu na Philip Mangula ambao walisema wamestaafu siasa, ujio wao kwenye kampeni za Igunga should be a signal kwamba they are up to something. Uchaguzi wa CCM wa 2007, Mangula aliambulia patupu akaamua kuendelea na kilimo cha viazi huko kwao. Ilikuwaje juzi kule Igunga akakumbukwa na ni nani aliyemwita aende kupiga kampeni? Hali halisi ndani ya chama iko slippery hakuna ambaye ana uhakika na kitakachotokea 2015 on mgombea wa chama. Lakini uchaguzi wa ndani ya chama wa mwakani unaweza kutoa mwanga wa mwelekeo.
.......sure! Michuzi angalia hiyo red usipukutike nywele na ngozi kutoa vumbi baba
 
lowassa naona anafaa kuwa raisi wa nchi hii kuliko wooote mnaowaongea

Sasa nimeelewa kwanini baadhi ya wale member woote wanapoona umemtetea mtu wanaona sio bure na wanakutuhumu kua sio bure wee ndo mhusika.... i.e hii ID ya Lowassa OR other wise.... Dah!
 
Mkuu MTM binafsi naunga mkono kwa asilimia 100% kuwa 2015 ni zamu ya Membe.

Sababu yangu kuu ya 2015 ni Membe ni moja tuu inaitwa 'trend'. Kama baada ya x inafuata y the z ndio kukamilisha xyz, then Membe ndio z ili kukamilisha trend.

Mkapa ndio alikuwa MFA kipindi cha Mwinyi, na baada ya Mwinyi ndipo Mkapa akawa rais. Wakati Mkapa akiwa rais, JK ndio alikuwa MFA na baada ya Mkapa rais ndio JK.

Kipindi hiki cha JK, Membe ndie MFA hivyo 2015 ni zamu ya Membe.

Natoa wito kwa wanajf wenye mapenzi mema na nch yetu, bila kujalisha ni washabiki wa vyama gani, tuungane mkono kuhakikisha CCM inamsimamisha Mhe. Benard Membe ili kukamilisha trend!.

Tuanze kumzingumzia vizuri ikiwemo kumpigia chapuo la kila aina huku tukimwimbia nyimbo za sifa na mapambio.

Trend? Mwinyi alikuwa waziri wa mambo ya nje wa nchi gani kabla hajawa rais?
 
Sasa nimeelewa kwanini baadhi ya wale member woote wanapoona umemtetea mtu wanaona sio bure na wanakutuhumu kua sio bure wee ndo mhusika.... i.e hii ID ya Lowassa OR other wise.... Dah!
Thanks AshaDii... i just wanted to stir this up coz tumepoteza rationale yote ya maendeleo ya taifa, mahitaji ya wananchi policies za ndani na nje, development program, leadership for a good course na kuhamia kwenye ZAMU, KUSINI, KASKAZINI, FOREIGN ETC
 
At least umeamua kuwa muwazi na kupeperusha bendera ya Membe mapema, it is vivid but my advice to ya all, it is too early kufanya hivyo. You are just showing too much kupita hata rais wako aliyekusaidia kusogea sogea hapo na uwzo wako tata

at at least mna common interest now na game theory....

Thread ya kutunga sebuleni kwa padre ili kuchafua waadilifu ndani ya CCM.
Membe is clean na mwajua ndio tishio kwenye chama chenu.
OTIS.
 
Thread ya kutunga sebuleni kwa padre ili kuchafua waadilifu ndani ya CCM.
Membe is clean na mwajua ndio tishio kwenye chama chenu.
OTIS.
sijasema Membe mchafu wala sijaonyesha lengo lolote against, nimeonyesha jinsi political bias inavyoharibu our focus

we need to sort out economy, food security, health, infrastructure nk. watu wako bize ku-endorse zonal, historical, political and all teh trash

Sorry kama imekuuma lakini if you take time kunisoma utaelewa...

BTW, siamini kama nina chembe ya udini.. na FYI nimesoma tarbiya til islamiya, nikasoma mafundisho ya sabato, na pia nikasoma St. teresa kipaimara... so dont think kila unayeweza kudhani unavyojua basi yupo hivyo

I am expressing my passion for the country rationally and not being any partisan crap

kakojoe ulale
 
Thanks AshaDii... i just wanted to stir this up coz tumepoteza rationale yote ya maendeleo ya taifa, mahitaji ya wananchi policies za ndani na nje, development program, leadership for a good course na kuhamia kwenye ZAMU, KUSINI, KASKAZINI, FOREIGN ETC
MTM,
Tuachane na other side ya Lowassa.
Tuongelee utendaji wake. Katika watu ambao wapo strong in leadership, wanaoweza kufanya maamuzi, wenye hekima na busara naona Lowasa anaongoza. Ukifuatilia utendaji wake kwenye wizara alizofanya kazi, unaona kabisa alikuwa na nguvu na alikuwa anasimamia anachokiamini.
Simpigii kampain kwa nafasi ijayo ya uraisi, but tunahitaji kuwa na rais mwenye sifa za Lowassa katika uongozi!
 
Pal

I have no issue na yoyote, naona wote sawa kwani wanahangaikia kugawana urithi na baba hajakata roho... si lowassa, membe, mwandosya, CDM nk...

Ningependa tu-focus kuondoa nchi kwenye shimo refu, tusaidiane kujitoa na tukifanikiwa kila kitu kitakua in place or at least tutajua leaders ni wapi na prakatatumba ni nani

Just tell me tangu tuwe kwenye turmoil ni kiongozi gani amesimama kuhesabiwa??? tunahangaika na kamati za bunge, wamekua ndio mawaziri, wamekua ndio wasemaji, wamekua ndio watendaji, wamekua ndio makatibu wa wizara... SAD!!!

I wouldnt mind chochote as long as tunapunguza shida zilizopo sasa

Imagine senior government officer wa take home ya 500,000 maana yake anapata chini ya dolla 250 kama mshahara!!!!!!!!!!!!! sukari, chumvi, ugali, wali vya mgao, umeme, mafuta, gesi, foleni kila kitu mgao and we are very busy talking up 2015 which is over 1000 days to come meaning over 30,000 hours of suffering fook
I need a gun!!
 
mtm,
tuachane na other side ya lowassa.
Tuongelee utendaji wake. Katika watu ambao wapo strong in leadership, wanaoweza kufanya maamuzi, wenye hekima na busara naona lowasa anaongoza. Ukifuatilia utendaji wake kwenye wizara alizofanya kazi, unaona kabisa alikuwa na nguvu na alikuwa anasimamia anachokiamini.
Simpigii kampain kwa nafasi ijayo ya uraisi, but tunahitaji kuwa na rais mwenye sifa za lowassa katika uongozi!

mimi hapa ndo nabaki mdomo wazi na watanzania.......nahisi nimezaliwa nchi kwa makosa
 
sijasema Membe mchafu wala sijaonyesha lengo lolote against, nimeonyesha jinsi political bias inavyoharibu our focus

we need to sort out economy, food security, health, infrastructure nk. watu wako bize ku-endorse zonal, historical, political and all teh trash

Sorry kama imekuuma lakini if you take time kunisoma utaelewa...

BTW, siamini kama nina chembe ya udini.. na FYI nimesoma tarbiya til islamiya, nikasoma mafundisho ya sabato, na pia nikasoma St. teresa kipaimara... so dont think kila unayeweza kudhani unavyojua basi yupo hivyo

I am expressing my passion for the country rationally and not being any partisan crap

kakojoe ulale

Umeanza kwa kumshambulia Michuzi kuwa anamsapoti Membe.
Huna ushahidi wa tuhuma zako ulizotoa na inaonesha kuna siri nyuma ya tuhuma hizi.
Kakojoe ulalwe.
OTIS.

MTM,
Tuachane na other side ya Lowassa.
Tuongelee utendaji wake. Katika watu ambao wapo strong in leadership, wanaoweza kufanya maamuzi, wenye hekima na busara naona Lowasa anaongoza. Ukifuatilia utendaji wake kwenye wizara alizofanya kazi, unaona kabisa alikuwa na nguvu na alikuwa anasimamia anachokiamini.
Simpigii kampain kwa nafasi ijayo ya uraisi, but tunahitaji kuwa na rais mwenye sifa za Lowassa katika uongozi!

Viongozi wenye uwezo wa kutupeleka mbele wapo.
Hatuhitaji kumflash huyu lowassa.
Unapozungumzia uongozi,mbona hutaji hulka yake ya wivi?
OTIS.
 
Umeanza kwa kumshambulia Michuzi kuwa anamsapoti Membe.
Huna ushahidi wa tuhuma zako ulizotoa na inaonesha kuna siri nyuma ya tuhuma hizi.
Kakojoe ulalwe.
OTIS.

Mkuu, huhitaji kuona kuulizia mkun*u wa mbwa wakati mkia unauona... na haihitaji povu kujua agenda ya yule kijana> and i went to read again the post na sijaona shambulizi

Just stay off my dick!! I dont do benders
 
Unarusha mate mkubwa.
Target yako kumchafua membe na michuzi kama njia tu.
Acha kutumika kijana.
OTIS.
 
Unarusha mate mkubwa.
Target yako kumchafua membe na michuzi kama njia tu.
Acha kutumika kijana.
OTIS.
Wapi amechafuliwa na mimi... if you find any post in this thread i will apologize, but if not, i will ask once again, i dont do benders... just stay off my d!ck

na kwa kusisitiza tu... ni siasa chafu za kuanza kutafuta kurithi urais zinaharibu nchi hii.... mko bize mnahangaika wa kurithi wakati hata bei ya kilo ya unga hamjui

tuungane tusolve the pooerst of the poor... come 2012 vikianza vikao vya chama then you can take it inside the party, sio kulazimisha watu kwa kuwaletea images za kuzoeleka

You are just so narrow and you think everything in this world is propaganda and fanatism

we want results and accountability not suits and boarding passes
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom