Tetesi: Hatimaye posho za wabunge kutolipwa

Wana JF habari za ndani za Idara ya fedha za Bunge zinasema zile posho nono za wabunge zimeshindikana kulipika kutokana na kelele za wananchi na hali halisi ya fedha serikalini,pia kiasi fulani kilichotengwa kitaenda Afya ili kupunguza migongano japo wabunge hawajataarifiwa na hadi leo hawajapata saeating allowance ila ni perdieem tu ya 1200000 ndo zimelipwa jana kwenye akaunti zao...

Mkuu ni typing error au ni kweli wanalipwa perdieem mil1.2
I wish it is the typing error Mungu wangu!
 
washukuru mungu mie Idala yangu mpaka sasa pesa ya january ndo tumelipwa jana.Sijui ya mwezi wa pili italipwa lini.
 
Wana JF habari za ndani za Idara ya fedha za Bunge zinasema zile posho nono za wabunge zimeshindikana kulipika kutokana na kelele za wananchi na hali halisi ya fedha serikalini,pia kiasi fulani kilichotengwa kitaenda Afya ili kupunguza migongano japo wabunge hawajataarifiwa na hadi leo hawajapata saeating allowance ila ni perdieem tu ya 1200000 ndo zimelipwa jana kwenye akaunti zao...

Mgeni wetu your very smart mkuu'post zako zinaheshimika sana!nakumbuka wewe ndiye uliyetuletea taarifa za Kamanda Regia Mtema RIP''big up mkuu!
 
Mgeni wetu your very smart mkuu'post zako zinaheshimika sana!nakumbuka wewe ndiye uliyetuletea taarifa za Kamanda Regia Mtema RIP''big up mkuu!
pamoja mkuu,huwa lazma nipate uhakika wa kutosha na kujiridhisha vilivyo ndo napost pia nina vyanzo vingi na vya kuaminika
 
Du ndani ya siku 5 washalipwa 1.2m duuuu kweli siasa nomaaa ngoja nirudi kijijini nikaanze na ujumbe wa nyumba kumi kwanza then nipande pande hadi huko mjengoni
 
napenda kuhuhakikishia umma kwamba siwajui dowans wala wamiliki wake,hakika akutukanae hakuchagulii tusi-jk huyo,Utakumbuka nilishaamua kuvunja mkataba wa richmond nilpokupgia cm ukiwa nje ya nchi ukasema umepata ushauri wa makatbu wakuu-lowasa hyo,File la kuhusu posho liko kwangu na rais ameridhia malpo ya posho za wabunge -pinda,taarifa tka ikulu inasema rais hajaidhinisha posho mpya za wabunge,loooh,SERIKALI YA KISANII HII SIJAWAHI ONA,

Usanii mtupu B. Mramba Waziri--- Ndege ya Raisi Lazima Inunuliwe ikiwezekana hata Wananchi Wale Nyasi..Ben Mkapa Raisi -- Ununuzi wa Migodi kwa Njia Za Ajabu na Watu wana Wivu wa Kijinga!*Magufuri -- Pigeni mbizi kama mkiona nauli ni Kubwa*Jk-- Huyu naona ajali kitu tumuache kesi zake ni kubwa tuiachie mahakama kuu- Kelele zenu hazinifanyi nishindwe kulala!*Mkulo -- Kila mwananchi atabeba Msalaba Wake... Serikali haimo*Jk; sisitaki kura za wafanyakazi**Sofia Simba- Wanawake Wanyimeni Waume zenu! ''xoxoxoxo'' Wakiwapigia kura Wapinzani*Mwantumu Mahiza - Waliomaliza vyuo na kukosa ajira waanzishe miradi ya kufuga kuku inalipa sana.*Nape - Tutawashikisha ukuta.*Masaburi - Wabunge wa DSM wanafikiria kwa Makalio**Wassira - Mnaulizia mvua kwani nani kawaambia mimi ni waziri wa mvua?*Riz1 Mtoto wa Kiongozi - Mimi si Fisadi Naishi Kimjini mjini Nina kipande kidoogo cha Uwanja wa Urithi na Toyota Collola Hayo ma Vogue mnayoniona nayo si yangu Bongo tunaishi kijini mjini.. Lake Oil sio Yetu.*Mkapa:waandishi wa tz upeo wao mdogo ndio maana nafanya mahojiano na waandishi wa nje*Pinda: vihela vyenyewe vidogo vinaishia kuwapa wapiga kura wetu wanapokuja dodoma*Kikwete: foleni dar es salaam ni ishara ya maisha bora***. OCD Arusha - Wakazi wa Arusha ni mapanya.**"suala la Lowassa ni ajali ya kisiasa tu" -JK*Kilavu Akiwaambia Wanachadema -- Mmemuachia Nyani alinde Mahindi yenu...Mimi na Kikwete hatukukutana Barabarani" LowassaNendeni kuzimu ndiko hakuna SHIDA-JS Malecela (J4)*Ukitaka biashara yako ifanikiwe UJIUNGE NA CCM, kauli ya waziri mkuu Sumaye.*Msuya alisema kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe
 
Back
Top Bottom