Tetesi : CHENGE ANYWA SUMU??!

Status
Not open for further replies.
Hivi kuna habari yoyote inayomhusu karamagi, ati kuna mtu kaniambia ameaga dunia asubuhi hii huko bukoba, can anyone confirm if it is true or just a rumor?
 
Mh, mzee hii imekaa vipi??? wacha mimi nijaribu kutafuta habari kuna ndugu yangu yuko huko! lakini sina hakika kana anafuatilia mambo haya!
 
makubwa, madogo yana nafuu,
WaTZ dawa yetu nini? hata kujua uongo na ukweli inakuwa shida, hakuna tunayemwamini, sasa kwa mfano hii habari imekaa kimiujiza, tiuamini?
Inawezekana kweli kuwa wamekufa? inawezekana mtu mzima kuzusha haya mambo?


Hivi kweli Makamu wa Rais wa Mkapa aletangulia mbele ya sheria, naye pia??? .......... tuweke ????????? manake asijekuwa alijidai kuleta masimamo? wakati watu wanachota vyao.
 
This thread is now open; please feel free to responsibly post your comments. Thank you for your cooperation and hope you have a good day !
 
Akifa haitasaidia kwani tutashitaki mifupa yake.

Ole wao wanamiliki makaburi ya wala mafisadi
 
Haya mambo naona ni sawa na yale "mtoto kadondoka kanisani na Ungo" mala Ohh!"Mtoto yule yule kachinja cha Mtoto mwenzie"mala mpya nyingine "Mtoto wakike akutwa akitaka kuiba mtoto hospital"
Nadhani kati yetu kuna wanaolipwa kucheza na akiri zetu......
Tafadhalini jamani,embu tupeni Break sisi bado tupo na nyinyi tu MAFISADI hata mkitumia techniques zipi nini Chenge anywe sumu afe kabisa.....hatuta acha kufukua mengine na wengine........
Jueni hapa ISSUE sio CHENGE,ROSTAM,KALAMAGI wala nani... ISSUE hapa ni hela zetu walizo kwiba nakupola uchumi wetu,wao wacha wafe tu hamana tatizo........

kama vipi anzisheni thread mpya "Sanda Matuta kakamatwa yupo Segerea"
Hiyo mnaionaje!!!???
 
kama kweli kafanya hivyo ni sawa tu, maana hata Japan ukijiona umekosea na kiongozi wa jamii ni kujimaliza tu.

kwa hio amefata huko ili kuondoa zogo mjini
 
kuna taarifa zinatumwa kwenye SMS kwamba chenge kajiua. mimi sijawa na uhakika nayo.,.,. kuna mtu ana habari za uhakika kama ni kweli au la?
 
Jamani wandugu wapendwa kwa taarifa zisizo rasmi inasemekana Chenge a.k.a "Mzee wa Vijisenti" hatunaye tena....taarifa za kikachero inahitajika kuthibitisha hili...... inasemekana jamaa ka-commit suicide but other source inasema jamaa kanyweshwa sumu....ukachero pleaseeeeeeeeeeeee
 
Jamani habari nyepesi nyepesi zilizo nifikia muda huu ni kwamba Mh. Chenge ameshaaga duni.

Je kuna mwenye habari zaidi????
 
Jana nilibanwa na mihangaiko ya kazi na sikusoma JF tokea mchana mpaka leo
saa nne asubuhi.

Kumbe mungu aliniokoa na hili balaa.

Poleni kwa wote ambao hamkulala mkisubiri ukweli. Pamoja na matatizo ya Chenge na mafisadi wengine lakini ni jambo lingine kumwombea binadamu mwenzako apate madhara hata kama ni adui.

Huenda Chenge mwenyewe alianzisha hili ili kupata huruma ya Watanzania.


Itabidi tuwe makini zaidi maana sasa Watanzania wamekuwa mahiri wa kuenezo uwongo.
 
Jamani habari nyepesi nyepesi zilizo nifikia muda huu ni kwamba Mh. Chenge ameshaaga duni.

Je kuna mwenye habari zaidi????

Domokaya,

Naona na wewe ulijifungia sehemu sehemu kama mimi maana masaa 14 yamepita toka hii habari ilivyoingia JF.

Angalia kule kwenye nyepese nyepesi.
 
Mods pelekeni hii kwenye udaku!! its been confirmed kuwa ni mzima, wana JF tusiwe tunatoka nje ya njia kiasi hiki.

Source:michuzi.blogspot.com
 
Duh, sasa kama ndiyo hivi basi JF inashusha credibility yake!! Please guys huu umbeya wa mtaani msituletee humu watu wengene wanakazi zao!!!
 
Mimi Nimepigiwa Simu Kuulizwa Habari Hizo Kama Ni Kweli Au La Mashushushu Wametumwa Watawaletea Habari Zaidi Baadaye Kidogo

Lakini Kuna Watoto Wake 2 Walipelekwa Afrika Kusini Wiki Iliyopita Haijulikani Ni Kwa Sababu Gani
 
Baada ya kimya kirefu kutokana na kashfa ya Radar aliyekuwa waziri Mh Andrew Chenge ameripotiwa kufariki dunia lakini bado haijajulikana amefariki kwa sababu gani haswa habari hizi zilianza kuvuma toka jana mchana usiku na mpaka leo mchana huu

Wanahabari wengi na waandishi wengi wa blogu walioulizwa walishindwa kuongea chochote kuhusu habari hii wengine wakasema wanatuma wanahabari wao kwenda katika sehemu husika ili kupata habari

Lakini ndugu zake wamekanusha habari hizo soma ujumbe hapo juu uliotoka kwa ndugu wa karibu wa mh change bila kutoa habari zozote zile .

Mchana mwema


HABARI NDIYO HIYO

fAMILIA YA MBUNGE WA BARIADI MH. ANDREW CHENGE IMEKANUSHA UVUMI ULIOENEA KILA MAHALI KWAMBA WAZIRI HUYO WA ZAMANI WA MIUNDOMBINU KABWIA SUMU NA KUFA.


MAI WAIFU WA MH. CHENGE, MAMA TINA CHENGE (AKIWA NA MUMEWE PICHANI) , AMELONGA NA GLOBU HII DAKIKA CHACHE ZILIZOPITA NA KUSEMA KWAMBA HABARI HIZO AMBAZO HATA YEYE AMEANZA KUZISIKIA TOKA JANA KWA KUPIGIWA SIMU KILA DAKIKA KUPEWA POLE SI ZA KWELI NA KWAMBA MAI HAZBENDI WAKE YUPO HAI NA ANAENDELEA NA SHUGHULI ZAKE ZA KILA SIKU KAMA KAWAIDA.




NAOMBA KUWASILISHA, HABARI NDIO HIYO...








"MZEE YUPO DAR NA YU BUHERI WA AFYA NA LEO KENDA MJINI KWENYE SHUGHULI ZAKE" AMESEMA MAMA CHENGE.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom