Kuna habari kwamba yule CEO jeuri sana wa Dawasco (Alex Kaaya) ameng'olewa na kupewa barua ya kuripoti haraka sana katika Mamlaka ya maji Musoma. Hata hivyo kwa mujibu wa tetesi hizo, ni kwamba kutokana na jeuri ya pesa nyingi alizochuma ndani ya Dawasco kwa kipindi kifupi amekataa kwenda Musoma na hivyo ameandika barua ya kujiuzuru kazi.
Mwenye taarifa kamili amwage hapa.
Mwenye taarifa kamili amwage hapa.