Muda sio mrefu majira ya saa tano na robo saa za Afrika Mashariki kumetokea tetemeko la Ardhi mjini Dodoma japo halikuleta madhara ya moja kwa moja kama uharibifu nk.
duh!Najua wapinzani wataanza oooh! uongozi umeshindwa kabisa kuzuia matetemeko hapa nchini
kawaida sana kwa dom......likitokea unasimamia mguu mmoja likipita unaendelea na shughuli zako