Tetemeko la Ardhi Bukoba: Rais Uhuru Kenyatta atoa Salaam za Rambirambi na Misaada kwa wahanga

Huyu jamaa uwa sio mnafiki hata kidogo sema mfumo wa Kenya unaribiwa na watu waliomzunguka !!
Hata Rafiki wa mkuu ajasema chochote hapo ndio ujue Nani mnafiki kati ya Raila na Uhuru
 

Attachments

  • Screen Shot 2016-09-12 at 5.21.17 PM.png
    Screen Shot 2016-09-12 at 5.21.17 PM.png
    45.7 KB · Views: 40
RAIS WA KENYA ATOA MSAADA KWA WAHANGA WA TATIZO LA TETEMEKO LA ARDHI KANDA YA ZIWA BUKOBA NA MWANZA.

ASANTE WAKENYA KWA MDAA WENU

Yesterday, President Uhuru Kenyatta phoned President John Pombe Magufuli to express solidarity and sympathy to the Government and the people of the United Republic of Tanzania following the loss of lives, injuries and destruction of property resulting from the earthquake that affected the region on Saturday.

“I have learnt with deep sorrow and regret the loss of sixteen precious lives, injury to hundreds of our Tanzanian brothers and sisters, as well massive destruction of property and livelihoods following the devastating earthquake in Bukoba District, in North Western Tanzania,” President Kenyatta said.

He added: “On behalf of the Government and the people of Kenya, and on my own behalf, I extend heartfelt condolences and sympathies to Your Excellency, the Government and people of Tanzania, and particularly to the grieving families.”

The Head of State wished those injured quick recovery and prayed to God to comfort the bereaved families.

President Kenyatta said Kenya will send a donation of iron sheets, blankets and mattresses that will be airlifted by the Kenya Defence Forces on Tuesday to assist those affected by the disaster in Tanzania.

Manoah Esipisu, MBS

State House Spokesperson

12th September, 2016


CHANZO: President Kenyatta calls President Magufuli to console him following devastating earthquake – Presidency

Meanwhile, KDF kusafirisha msaada kwa wahanga wa tetemeko la ardhi Tanzania
Uhuru mutoto ya mujini bana. hanaga ule ushambaushamba!
 
Asante Rais Kenyatta na wakenya wote kwa ujumla...tunawatakia kila la kheri kwa taifa lenu.
 
Msimamo wa jamaa uko wazi, hakutakuwa na msaada wa chakula kwa waanha wa njaa, that means hata kitengo cha maafa sidhani kama kipo.

Waziri mkuu ndio mwenye kitengo cha maafa na alikuwa Bukoba lakini sijasikia lolote.
 
Hata mimi mkuu hanashida na mtu.His Excellency is very social.
Kuna siku alikuwa uwanjani ukapigwa wimbo wa piga deki kidogo... akaimba kwa furaha sana... very cool, intelligent.... hana chuki na wapinzani.... ndo maisha hapa Duniani....
 
Ila ajali na vifo mfululizo vimetupa usugu wa kuzoea na kuona ni kawaida. Tunapaswa kujua kila uhai unaopotea si kitu kidogo na tunapaswa kujiuliza kama taifa ili yasijirudie.
 
Back
Top Bottom