Tetemeko la Ardhi Bukoba: Rais Uhuru Kenyatta atoa Salaam za Rambirambi na Misaada kwa wahanga

nkanga chief

JF-Expert Member
May 31, 2016
2,084
1,620
RAIS WA KENYA ATOA MSAADA KWA WAHANGA WA TATIZO LA TETEMEKO LA ARDHI KANDA YA ZIWA BUKOBA NA MWANZA.

ASANTE WAKENYA KWA MDAA WENU

Yesterday, President Uhuru Kenyatta phoned President John Pombe Magufuli to express solidarity and sympathy to the Government and the people of the United Republic of Tanzania following the loss of lives, injuries and destruction of property resulting from the earthquake that affected the region on Saturday.

“I have learnt with deep sorrow and regret the loss of sixteen precious lives, injury to hundreds of our Tanzanian brothers and sisters, as well massive destruction of property and livelihoods following the devastating earthquake in Bukoba District, in North Western Tanzania,” President Kenyatta said.

He added: “On behalf of the Government and the people of Kenya, and on my own behalf, I extend heartfelt condolences and sympathies to Your Excellency, the Government and people of Tanzania, and particularly to the grieving families.”

The Head of State wished those injured quick recovery and prayed to God to comfort the bereaved families.

President Kenyatta said Kenya will send a donation of iron sheets, blankets and mattresses that will be airlifted by the Kenya Defence Forces on Tuesday to assist those affected by the disaster in Tanzania.

Manoah Esipisu, MBS

State House Spokesperson

12th September, 2016


CHANZO: President Kenyatta calls President Magufuli to console him following devastating earthquake – Presidency

Meanwhile, KDF kusafirisha msaada kwa wahanga wa tetemeko la ardhi Tanzania
 
Wakati huo sisi wazawa hatujapeleka hata mablanketi wala shuka aibu kweli..pongezi kwa Kenyata
Kweli mkuu wazawa sijui wamemsusia mkuu.Hivi kwenye bajeti hakuna fedha zilizotengwa kwa ajili ya maafa?
 
Kweli mkuu wazawa sijui wamemsusia mkuu.Hivi kwenye bajeti hakuna fedha zilizotengwa kwa ajili ya maafa?
Huwa zinakuwepo ndomana kuna kitengo cha dharula kwa ajili ya maafa sa sijui nacho kimepatwa na jua au vipi toka asubuhi nyuzi kama 4 watu wanalalamika hakuna msaada uliopelekwa na wazawa eneo la tukio si maajabu hayo
 
Ukiachilia mipaka iliochorwa ktk mkutano wa Berlin,Waafrika tu wamoja,ndugu,jamaa na marafiki...wakoloni walitubagua kwa mipaka ili kuiba rasilimali zetu /utajiri wetu nasi tukarithi kubaguana..

Mungu ni wa ajabu sana..makabila yetu yanaingiliana mpaka kesho na mipaka si kizuizi kudhihirisha undugu wetu tangu enzi na enzi..Wajaluo,Wamasai{Kenya/Tanzania},Wanyamwanga {Tanzania/Zambia},Wanyakyusa {Malawi/Tanzania},Wangoni {Malawi/Tanzania},Wahaya {Uganda/Tanzania/Rwanda},Wanyantuzu {Rwanda/Tanzania/Uganda},Waha {Tanzania/DRC}...

Upendo na udumu kati yetu,tu wamoja ..tuijenge Afrika yetu..
 
Huwa zinakuwepo ndomana kuna kitengo cha dharula kwa ajili ya maafa sa sijui nacho kimepatwa na jua au vipi toka asubuhi nyuzi kama 4 watu wanalalamika hakuna msaada uliopelekwa na wazawa eneo la tukio si maajabu hayo
Jamani sasa mbona wanabana matumizi pesa hazionekani.Hivi waafrika tunalaana au tunajilaani wenyewe.
 
JKT wawajengee nyumba hao wahanga za matofali ya kuchoma na cement au kwa kutumia vibrated block na sisi wengine tuchangie mabati na chakula etc!hii nchi yetu sote,leo kwako kesho kwangu!Tanzania kwanza#prayforbukoba!
UMEONGEA VIZURI SANA
 
Back
Top Bottom