Kafanya vyema kivipi? Bukoba kawakilishwa na PM, Zambia kawakilishwa, hata haelezi kuwa amefanya hivo ili afanye nini. Maafa yalitokea, what we saw ni press release ya ikulu kutoa pole. Watu wameswgwa kweney floor za hospital bila msaada wowote, IKULU inakazana kutoa press release, REALLY??Amefanya vyema
Kapata sababu?Ni afadhali ashughulikie suala la waathirika wa tetemeko la ardhi kwa sababu lugha kuu ya mawasiliano pale Zambia ni Kiingereza.
Kwan alimtuma hajali wananchi wake??Hongera mheshimiwa Rais..unajali wananchi wako..mungu awape afya njema waliokumbwa na tetemeko.
Mchochozi utaitwa muda si mrefu...tKafanya vyema kivipi? Bukoba kawakilishwa na PM, Zambia kawakilishwa, hata haelezi kuwa amefanya hivo ili afanye nini. Maafa yalitokea, what we saw ni press release ya ikulu kutoa pole. Watu wameswgwa kweney floor za hospital bila msaada wowote, IKULU inakazana kutoa press release, REALLY??
Kitengo cha maafa kiko chini ya Waziri Mkuu, that is perfect person to handle it. Maafa hayo ni makubwa, kuna video imezunguka huku ikionyesha wahanga wakiwa kwenye floor za hospital bila huduma yoyote. So kwa Raisi kusema ameacha kwenda Zambia ili kushughulikia tatizo hilo sijui hata ana maana gani. Naomba kujuzwa
Kitendo cha Rais kuahirisha safari kwasababu ya madhara yaliyotokea kutokana na tetemeko la ardhi ni kitendo cha kuigwa na wa Tanzania wote.
Kwamba katika vipindi vya matatizo watanzania na viongozi wote tuguswe na kushikamana ili kudumisha umoja na mshikamano wa kindugu tulioachiwa na waasisi wa taifa letu.
Viva Mh. Rais wetu.
ahaha ahaaa aahaaa mi nilitaka aende ili aka prove wrong kuwa ki-ENGLISH sio tatizo...ila all in all safi sana u taifa kwanza...Mungu awaepushe na maafa zaidi huko bukobaKwa mara ya kwanza amesikiliza ushauri.
MIE NILITAKA HII HABARI ISEME MAKAMU WA RAISI AMEAHISHA KWENDA BUKOBA AKIMBILIA ZAMBIA MAANA OFISI YAKE INAYULE WAZIRI ALIYESTUKIZA NA TETEMEKO MAGOMENI SASA AKAJENGE NYUMBA ZA BUKOBAahaha ahaaa aahaaa mi nilitaka aende ili aka prove wrong kuwa ki-ENGLISH sio tatizo...ila all in all safi sana u taifa kwanza...Mungu awaepushe na maafa zaidi huko bukoba
MIE NILITAKA HII HABARI ISEME MAKAMU WA RAISI AMEAHISHA KWENDA BUKOBA AKIMBILIA ZAMBIA MAANA OFISI YAKE INAYULE WAZIRI ALIYESTUKIZA NA TETEMEKO MAGOMENI SASA AKAJENGE NYUMBA ZA BUKOBAahaha ahaaa aahaaa mi nilitaka aende ili aka prove wrong kuwa ki-ENGLISH sio tatizo...ila all in all safi sana u taifa kwanza...Mungu awaepushe na maafa zaidi huko bukoba
Habari za hivi punde ni kwamba Rais Magufuli ameahirisha kwenda Zambia badala yake kuungana na watanzania katika kipindi hiki kigumu baada ya mikoa ya Kagera na Mwanza kukumbwa na tetemeko la ardhi lililosababisha vifo na majeruhi pamoja na kuharibu mali.
Rais atawakilishwa na Makamu Samia Suluhu
View attachment 398334
aahhahaa haaaaaMIE NILITAKA HII HABARI ISEME MAKAMU WA RAISI AMEAHISHA KWENDA BUKOBA AKIMBILIA ZAMBIA MAANA OFISI YAKE INAYULE WAZIRI ALIYESTUKIZA NA TETEMEKO MAGOMENI SASA AKAJENGE NYUMBA ZA BUKOBA