Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,127
Wahusika mliofikwa na maafa hayo poleni sana.Watanzania mliopo india vipi usalama wenu mana naona mahotel ndio yamelipuliwa sana na najua wabongo kwa kujirusha mumepona kweli huko?Mliokaribu na maeneo ya matukio endeleeni kutupa yaliyojiri
NIMEONGEA NA UBALOZI SASA HIVI WAMESEMA WATANZANIA WOTE WAKO SALAMA.
Ila tatizo mara nyingi linakua pale ambaapo watanzania na hasa wafanyabiashara wanapofika huku bila kujiandikisha au kuacha taarifa ubalozini.Pia kuna watanzania ambao wanafanya biashara China au Pakistani unakuta wapo india kinyemela,sasa mambo kama haya ni hatari mno