Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,317
- 11,181
Sasa wewe ulitaka dawa ya marginalization iwe nini?.Unataka masheikh walie lie tu.Ni kusema na vijana wakielewa siku ikifika kama juzi wafanye kama vile.Dawa ninayoijua mimi ni kuwacha hiyo marginalization.Ndio unafiki tunaozungumzia maana hao vijana huhudhuria ibada misikitini chini ya uongozi wa wahubiri hao.
La msingi ni kuwa uislamu kama madini mengine yameshindwa kujitenga na magaidi haswa MSA. Ile doctrine ya KAFIR na mabikira kumi na wanne ndio vijana wadogo wanaelimishwa mpaka ambapo watakapozeeka.... wapi uislamu wa kale? Hata MYC ikabanduliwa, makundi mengine yataibuka na malengo yale yale ya ugaidi. Kutaja Alshababu kama ndugu najua Muislamu mwenye imani Halisi hawezi akajihusisha nalo...lakini Uislamu umechukua mkondo mpya ya kutohubiri amani na uvuguvugu huo ndio unafanya magaidi kupata kivuli chini ya waislamu wenye haki. Na wao walimu wa dini wanaona dawa ya kusuluhisha marginalization ni kuwaachia vijana kuzua vurugu huku wao wakiwa na pahali pengi na nchi za kutorokea.
Halafu wewe unajidanganya bure.Miaka hii hakuna kukimbia mkituchokoza ni kupigana tu.Mkijenga baa pembezoni pa misikiti tutasali hapo hapo na siku ikifika tutachoma moto.
Nje tunakwenda wapi ?.Syria ndio hiyo na Saudia ndio hiyo.Kote huko Israel na Mosad na CIA wako kuchochea wenyeji kufanyiziana dhulma na kupigana wenyewe kwa wenyewe.Hivyo mkikubali kufuata maelekezo yao matatizo yakitokea ni nyinyi na sisi!.Juzi tulipomzika sheikh Aboud tulimuomba Mungu atuletee mwengine badili yake,na wako wengi watakuja tu.