Bandari ya Mombasa haijawahi kupokea mizigo kama wakati huu, meli zinachepuka kutoka Dar

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,657
48,436
Hivi kuna nini bandari ya Dar, je mwarabu aliyepewa kashindwa? Maana meli nyingi zimetamaushwa kwa kusubirishwa Dar hadi zimegeuza na kushushia mizigo Mombasa....
Nakumbuka mwarabu alipewa bandari zote baada ya Wabongo kushindwa, itabidi hatimaye zipewe mzungu maana hata mwarabu ni wale wale, maneno mengi.
====================

Tanzania Ports Authority (TPA) has suspended the bagging of loose cargo inside Dar es Salaam Port to reduce the number of waiting ships and causing congestion in the facility.

TPA officials, in a letter to port stakeholders, explained the move as meant to increasing number of waiting ships, which has reached 40. This affords the port time to evacuate cargo and reduce waiting time for ships at the outer anchorage.

The letter was addressed to major loose cargo operators in Dar port, including Export Trade Group Yara Tanzania Company, Zenj General Merchandise and Premium Agro.

Read: Kenya moves to stem loss of cargo business to Tanzania

“Due to the current line-up (sic) of vessels at the outer anchorage waiting for berthing, we wish to inform you that bagging of cargo inside the port will be temporarily suspended to evacuate and reduce waiting time at outer anchorage,” reads the letter.

The move comes in the wake of massive congestion being experienced in the Dar es Salaam and Djibouti ports.
 
Tafsiri yake ni mpaka Dar ijae pomoni Hadi itapike ndio Mombasa mpatepo.

Kiufupi Mombasa ni kama nguo ya mtumba kama huna pesa za kununua nguo Mpya,second option.

Kuna meli 40 zinasubiria hapo Dar Port kwenye foleni,huko Mombasa Kuna hata meli 5?
 
Uchumi umefunguka, Nchi imefunguka, mwarabu koko hakuna analofanya, Meli zielekezwe tanga,bado Tanzania haijapata kampuni sahihi kwa wakati tulionao!, na kasi tuliyonayo! [Emergency task zichukuliwe]
 
Hawa DPW hawana lolote.

Wamekuja na vifijo vya wafia dini na wafia tumbo na propaganda zao za kuongeza uganisi, eti watapunguza muda wa kusubiri kwa meli. Halafu wanashindwa ku deliver.

Sio Djibouti wala Dar port, manake bandari zote hizi mbili zipo mikononi mwao, lakini ndio kwanza shida zinaanza, ushasikia lini meli zimeshindwa kutia nanga Dar port na kushusha mizigo kwa sababu ya sijui madudu gani? ati meli zishushe mizigo mombasa?

Lakini ndio hivyo tena. bado miaka 99 mingine
 
Tafsiri yake ni mpaka Dar ijae pomoni Hadi itapike ndio Mombasa mpatepo.

Kiufupi Mombasa ni kama nguo ya mtumba kama huna pesa za kununua nguo Mpya,second option.

Kuna meli 40 zinasubiria hapo Dar Port kwenye foleni,huko Mombasa Kuna hata meli 5?

Ukipata fursa kajielimishe takwimu za idadi ya kontena baina bandari zote mbili kwa mwaka, tumia hata data za mwaka jana utajua kuna sehemu Tanzania inachelewa.
Kuna kipindi Kagame aliwahi kusema akipewa hiyo bandari anaweza kitumia kulisha nchi yote, naanza kumuamini ukizingatia hiyo bandari inategemewa na mataifa tisa, msipokua makini Beira ikijiongeza itawatesa sana.
 
We Kwa akili Yako unadhani Kwa nini mnalia Lia na kushangilia?

View: https://youtu.be/61UV06TkFX4?si=dgnXZvvgogluJj_G
 
Screenshot_2023-12-19-13-53-05-765_com.android.chrome.png
 
Mombasa benefits as Dar port deals with congestion...
But mkuu wa mkoa kasema anaeona foleni Dar akalime, wenye meli wameenda shambani Mombasa..joke
 
Hivi kuna nini bandari ya Dar, je mwarabu aliyepewa kashindwa? Maana meli nyingi zimetamaushwa kwa kusubirishwa Dar hadi zimegeuza na kushushia mizigo Mombasa....
Nakumbuka mwarabu alipewa bandari zote baada ya Wabongo kushindwa, itabidi hatimaye zipewe mzungu maana hata mwarabu ni wale wale, maneno mengi.
====================

Tanzania Ports Authority (TPA) has suspended the bagging of loose cargo inside Dar es Salaam Port to reduce the number of waiting ships and causing congestion in the facility.

TPA officials, in a letter to port stakeholders, explained the move as meant to increasing number of waiting ships, which has reached 40. This affords the port time to evacuate cargo and reduce waiting time for ships at the outer anchorage.

The letter was addressed to major loose cargo operators in Dar port, including Export Trade Group Yara Tanzania Company, Zenj General Merchandise and Premium Agro.

Read: Kenya moves to stem loss of cargo business to Tanzania

“Due to the current line-up (sic) of vessels at the outer anchorage waiting for berthing, we wish to inform you that bagging of cargo inside the port will be temporarily suspended to evacuate and reduce waiting time at outer anchorage,” reads the letter.

The move comes in the wake of massive congestion being experienced in the Dar es Salaam and Djibouti ports.
Msee, una uchokozi😂😂😂
 
Actually the reason is because Mombasa has been ranked as the second most efficient port in Africa. Shipping lines have started shunning Durban among other african ports, due to inefficiencies and Mombasa is benefiting mostly from south african inefficiency. Shipping lines avoid inefficient ports due to the service charges they incur while they wait to offload their cargo. Maersk is set to put up their hq for sub-saharan africa in Mombasa same to cosco shipping which has already set up their Africa office in Mombasa

Mombasa port ranked second most efficient facility in Africa​

Business
By Willis Oketch | Dec 31, 2023

cra8K5qYyVxN7edT9yUV8B3RAlDyuRDC7WeeYbjq.jpg
A section of Mombasa Port. [Kelvin Karani, Standard]
Mombasa port beat giant ports in Africa after being voted the second most efficient facility in Africa.
Kenya Ports Authority Managing Director Captain William Ruto said Mombasa port has been ranked the second-best facility in the continent after Tangier port in Morocco.
“According to the latest Africa Ports Productivity 2023, the port of Mombasa is ranked second in Africa pointing to improved efficiency,” said Captain Ruto yesterday.

The KPA boss said the development has resulted in new shipping lines making maiden calls to the port to deliver transhipment cargo destined for other regional ports as a show of confidence in the facility.
“This is a good sign in business and I urge you to uphold the momentum by always giving your best,” he said.
In his New Year message to KPA workers, Ruto thanked them for their unwavering dedication and hard work that has been the driving force behind the success.
“Having captained this ship for the last ten months, I continue to appreciate your individual and collective efforts, your unwavering dedication and hard work that has been the driving force behind success,” he said.
The KPA boss noted that among the achievements was the commencement of night pilotage of oil tankers.

“One of the notable achievements was the successful commencement of night pilotage of oil tankers courtesy of operationalization of the new Kipevu Oil Terminal (KOT),” he said.
Ruto acknowledged that Lamu port was attracting business after being recognized globally owing to aggressive marketing.
The port received its first hinterland-bound cargo from the World Food Programme (WFP) recently followed by cruise ship and naval ship calls.
He said the port had acted as a transhipment facility and expressed optimism that it would continue handling huge trans-shipments in the new year.
Ruto noted that Mombasa port had made strides in capacity expansion including the expansion of container handling berths.
“We have made strides in capacity expansion initiatives that include the expansion of container handling berths, increased automation of services, acquired modern ship and cargo handling equipment and improved partnership with key government agencies and stakeholders,” he said.
He said since KPA has acquired new equipment, productivity at the port is expected to double to reduce the ship's working time.
Ruto is confident that the construction of a new berth to serve the Dongo Kundu Special Economic Zone (SEZ), will spur the economic growth of the country.
“The facility is strategically important in catalyzing the development of Dongo Kundu SEZ which upon completion will boost the economy of the country,” he said.
He noted the rehabilitation of Kisumu port has stimulated trade within the region.
Ruto revealed that KPA was carrying out technical studies for the improvement of navigation channels and rehabilitating other piers.
He said in 2023 the total cargo throughput grew by 1.587 million tonnes recording 35 million between January and December.
Ruto pointed out that whereas bunching arrival of vessels is a common phenomenon in the shipping industry, it may lead to congestion within a port where capacity and efficiency are at the lowest and this may attract vessel delay surcharge because of congestion.
“Port congestion charges is a fee applicable when carrier continues to offer services to its clients while waiting to unload its cargo,” he said.
He explained that the fee in question covers additional vessel costs associated with delays in a ship waiting to berth.
“We do not want the cargo owners to pay shipping lines costs which carriers incur when the ships are delayed from unloading their cargo because these charges are always passed over to the consumers making the cost of imports expensive in the market,” said Ruto.
 
We jamaa unapenda sana kuongelea negative za TZ tuu,but DAR PORT imebadilika ndio maana meli nyingi zinakuja.Analaia Vome ya Cargo waliyo handle ndio utajua sio sababu meli zimekuja Mombasa useme hakuna ufanisi
 
Huyu ni mdini na kisa ni hao waislamu Dp world nilikuwa bandari mpaka wakenya wanataka kulia meli nyingi zinakuja haoa Dar mapato yemaongezeka.

Huyu ni mdini kishenzi hata ukenya wala nn ni mchaga wa migombani .
 
Lakini hii bandari ya Dar ipo eneo sahihi la kijiografia la kuingiza pato kubwa kuliko bandari yoyote afrika kasoro afrika kusini.
Nchi 8 zinapitisha mizigo katika hii bandari tatizo imekosa msimamizi wa uhakika anaejua biashara na upigaji ni mwingi kila mtu anataka kula .
 
Back
Top Bottom