Nadal atachukua hili kombe kwa wanaume sidhani kama atawapa nafasi wapinzani wake waende zaidi ya seti 3The French Open is renowned for being one of the toughest grand slams to win. The unique properties of the clay surface contributes to long rallies and mens' singles matches routinely go to 5 sets
Rafael Nadal beat Roger Federer 6-4 7-6 (7-5) to win the Madrid Masters and make himself red hot favourite for the French Open, which starts next week.Wadau wa tennis tupo.. kwa kweli mwaka huu naona Mtu mzima Fed anawakati mgumu kweli kutetea taji..Karata yangu inaangukia kwa Nadal niliona game yao ya final ile ya masters naona Shughuli ipo...Kwa wakina dada wabelgium wapo fit sana kwenye clay court.