Tendwa ona Lema alivyopokewa Arumeru kwa shangwe

Niliwahi kusema na nitaendelea kusema Mheshimiwa Lema anahitaji msaada mkubwa wa wanaCDM wenye akili na wanaojua thamani na dhamana ya uongozi.Kitendo cha Mheshimiwa Lema kukaa juu ya gari ni uvunjifu mkubwa wa sheria za usalama barabarani na ni hatarishi kwa maisha yake na mashabiki wake.

Hii si mara ya kwanza Mheshimiwa Lema kuvunja sheria za usalama barabarani,mwaka jana sikumbuki mwezi alinin'ginia kwenye gari lililokuwa linakwenda mwendo kasi,likiwa limewasha taa na kupiga honi bila sababu za msingi nilipouliza kulikoni nikaambiwa ametoka kwenye mkutano Kijenge wa kuwamaliza madiwani wake waliofukuzwa na uongozi wa CDM.Tulikuwa tumesimama eneo la Metropole watu wazima walibaki na mshangao huku vijana na wapiga debe wakishangilia kana kwamba kitendo cha Lema kilikuwa cha maana sana.

Wengi hapa jamvini wanajua msimamo wangu linapokuja suala la Lema wengi walinipinga wengi walidhani nina chuki binafsi lakini leo wengi wanakubaliana na hoja zangu kwamba Lema anahitaji msaada hasa wa viongozi wa chama chake bahati mbaya viongozi wa chama chake badala ya kumsaidia wamebaki kumsifia hata katika masuala ya kijinga.

Ninachekaje! Kwani we unavyohona kina Malima, Mwigulu, Nape, Chenge, Lowassa...mh! the list is endless hawaitaji ushauri kutoka kwa viongozi wao oops! nimesahau kumbe viongozi nao wako kwenye list.
 
Kama Lema yuko sahihi kwenye hiyo picha, je tunaweza kweli kuimagine Slaa, MBowe, JK, PInda, au wabunge wa kike wako juu ya magari??? ...hapana, lazima tungesema wamerukwa na akili

there is a problem there, a very fine MP portraying himself in a funny way, kesho manyoka wakiwa juu ya magari ngarenaro, sijui polisi watawakamata?

nakubaliana kabisa. Lema anashawishi kundi la vijana wa rika fulani na mawazo fulani - vijana wa vijiweni. Lakini sasa anatakiwa aanze kuwashawishi na watu wenye fikira zaidi ya hapo. wenye upeo mkubwa kwa maana ya kuleta maendeleo.Kujitambulisha kwa namna ya vurugu na sifa hakumfanyi kuwa mbunge bora. Hata wakati ujao 2015 I WOULD SUGGEST CDM TO LOOK FOR ANOTHER CANDIDATE IF WE WANT TO WIN ARUSHA AGAIN.

Huku CDM Kila mtu na majukumu yake Hayo uliyaeleza ni ya Lema Unayoyataka yawe ya Lema anayo mwingine
 
Kama Lema yuko sahihi kwenye hiyo picha, je tunaweza kweli kuimagine Slaa, MBowe, JK, PInda, au wabunge wa kike wako juu ya magari??? ...hapana, lazima tungesema wamerukwa na akili

there is a problem there, a very fine MP portraying himself in a funny way, kesho manyoka wakiwa juu ya magari ngarenaro, sijui polisi watawakamata?

nakubaliana kabisa. Lema anashawishi kundi la vijana wa rika fulani na mawazo fulani - vijana wa vijiweni. Lakini sasa anatakiwa aanze kuwashawishi na watu wenye fikira zaidi ya hapo. wenye upeo mkubwa kwa maana ya kuleta maendeleo.Kujitambulisha kwa namna ya vurugu na sifa hakumfanyi kuwa mbunge bora. Hata wakati ujao 2015 I WOULD SUGGEST CDM TO LOOK FOR ANOTHER CANDIDATE IF WE WANT TO WIN ARUSHA AGAIN.

Kama una candidate wako basi mlete Arusha badala ya Lema kam CDM hawajapoteza jimbo. Hivi alichofanya Lema na JK KUNING'INIA KWENYE BEMBEA TENA UGHAIBUNI upi uhuni na ipi aibu?
 
Kama Lema yuko sahihi kwenye hiyo picha, je tunaweza kweli kuimagine Slaa, MBowe, JK, PInda, au wabunge wa kike wako juu ya magari??? ...hapana, lazima tungesema wamerukwa na akili

there is a problem there, a very fine MP portraying himself in a funny way, kesho manyoka wakiwa juu ya magari ngarenaro, sijui polisi watawakamata?

nakubaliana kabisa. Lema anashawishi kundi la vijana wa rika fulani na mawazo fulani - vijana wa vijiweni. Lakini sasa anatakiwa aanze kuwashawishi na watu wenye fikira zaidi ya hapo. wenye upeo mkubwa kwa maana ya kuleta maendeleo.Kujitambulisha kwa namna ya vurugu na sifa hakumfanyi kuwa mbunge bora. Hata wakati ujao 2015 I WOULD SUGGEST CDM TO LOOK FOR ANOTHER CANDIDATE IF WE WANT TO WIN ARUSHA AGAIN.

You are correct !

The funniest thing is despite Arusha being known of having possession of the vast majority of educated people but they are the ones who voted for him..
There is a Question to ask ourselves here , I know there will be a lot to criticize me over my comments but for the sake of being objective let me continue,

If we acknowledge intelligence as a key factor of decision making and key role In reaching a successful and positive Outcomes , but with politics I came to realize that., IT DOESN'T TAKE AN EDUCATED TO BE A POLITICIAN or AN MP but this is happening Here in Tanzania at ERA very funny.

There should a clear understanding here I'm not saying when you are educated and intelligent you can not mess up or It's a must to deliver, but there is a relationship of the later.

We have people like Mnyika , Zitto , Makamba, Dr kigwangala , Serukamba and Mwigulu some how you can witness the tangible contribution even if is not of a remarkable level since we differ in how we rate some one and I will be suprised if my views and Opinions will be criticized, so I can rate them equal..

But with LEMA , SUGU and Pro MAJI MAREFU , Said NKUMBA I rate them in the same Calibre since I don't make my decision based on grudges and mob influence so I have never been impressed with the 4 MPS and neither liked them so on other Words I feel bad for the people's of respective Areas.

Lets not be fannatical here, the logic is wide open these folks cannot make it.

Na hili tatizo nalipigia kelele sana watu tunashabikia Chama tu tutakuja kuwekewa Taahira na kumchagua siku moja...kwakua tunashabikia Chama tu

heri ya uchizi wa lema kuliko wizi wa rostam, chenge,lowasa na magamba woootye maana chizi anaweza kupona lakini mwisho wa mwizi ni kufungwa ama kunyongwa
 
Ninachekaje! Kwani we unavyohona kina Malima, Mwigulu, Nape, Chenge, Lowassa...mh! the list is endless hawaitaji ushauri kutoka kwa viongozi wao oops! nimesahau kumbe viongozi nao wako kwenye list.

Two wrong cant make it right
Yaani kwakuwa uliowataja wanafanya ndio Lema afanye?
Kwahiyo CDM wakipewa nchi watafanya wanayofanya CCM?
 
Well, kaa ya Lema ina mambo mengi. To be sincere, it is not encouraging for the MP to be what Lema is and doing. Of course to youngsters it doesn't matter. But we are here to evaluate each and everything which a person does especially to a Member of Parliament.

Lema should try to learn through events. He must read signs. I rather assure him that some might judge him preferably but some dis satisfactorily. I wish he could behave like a mature person and a representative of big city and respected one. Lema,if you are visiting this network consider some of advices given, they are of advantage.
 
sisi tupo interested na ujumbe atakao deliver kwa wana Arumeru kwa maendeleo na ustawi wao vaa yake au namna ya kukaa kwenye gari ni meaningless mbona wengine wanakuja wamepiga masuti ya magharibi wanaishia kutembea na wake za watu? wengine wanakuja na magari makali tinted lakini ni mafisadi,. kamanda lema songa mbele mkuu hadi kieleweke!
 
The funniest thing is despite Arusha being known of having possession of the vast majority of educated people but they are the ones who voted for him.

There is a Question to ask ourselves here , I know there will be a lot to criticize me over my comments but for the sake of being objective let me continue,

If we acknowledge intelligence as a key factor of decision making and key role In reaching a successful and positive Outcomes , but with politics I came to realize that., IT DOESN'T TAKE AN EDUCATED TO BE A POLITICIAN or AN MP but this is happening Here in Tanzania at ERA very funny.

There should a clear understanding here I'm not saying when you are educated and intelligent you can not mess up or It's a must to deliver, but there is a relationship of the later.

We have people like Mnyika , Zitto , Makamba, Dr kigwangala , Serukamba and Mwigulu some how you can witness the tangible contribution even if is not of a remarkable level since we differ in how we rate some one and I will be suprised if my views and Opinions will be criticized, so I can rate them equal..

But with LEMA , SUGU and Pro MAJI MAREFU , Said NKUMBA I rate them in the same Calibre since I don't make my decision based on grudges and mob influence so I have never been impressed with the 4 MPS and neither liked them so on other Words I feel bad for the people's of respective Areas.

Lets not be fannatical here, the logic is wide open these folks cannot make it.

Na hili tatizo nalipigia kelele sana watu tunashabikia Chama tu tutakuja kuwekewa Taahira na kumchagua siku moja...kwakua tunashabikia Chama tu

Mimi nakushangaa mkuu, mbona tunao wengi tuu ndiyo wanongoza nchi?? Au hufahamu hilo?
Hivi kusaini mikataba isiyokuwa na faida kwa Taifa siyo utaahira huo? Hivi Waziri kutembea na SMG huo ni unini? Tena kuiita mtaji.
Nadhani ndiyo umefunguka macho na moja, endelea kutazama na kutafakari halafu urudi.
 
Lemonade nahisi ugonjwa wa limonia unakusumbua nenda ukatibiwe kwanza ndo uje humu,ungekua wa maana kutuambia nani mmilikiwa richmond aliyefuja pesa zetu,epa kuliko kumshupalia kamanda aliye juu ya gari
 
Ni mbunge wa vijana so ata Pozi lazima liwe ivyoooooooooooooo.
Na ukichukulia wapiga kura wengi ni vijana!
 
Niliwahi kusema na nitaendelea kusema Mheshimiwa Lema anahitaji msaada mkubwa wa wanaCDM wenye akili na wanaojua thamani na dhamana ya uongozi.Kitendo cha Mheshimiwa Lema kukaa juu ya gari ni uvunjifu mkubwa wa sheria za usalama barabarani na ni hatarishi kwa maisha yake na mashabiki wake.

Hii si mara ya kwanza Mheshimiwa Lema kuvunja sheria za usalama barabarani,mwaka jana sikumbuki mwezi alinin'ginia kwenye gari lililokuwa linakwenda mwendo kasi,likiwa limewasha taa na kupiga honi bila sababu za msingi nilipouliza kulikoni nikaambiwa ametoka kwenye mkutano Kijenge wa kuwamaliza madiwani wake waliofukuzwa na uongozi wa CDM.Tulikuwa tumesimama eneo la Metropole watu wazima walibaki na mshangao huku vijana na wapiga debe wakishangilia kana kwamba kitendo cha Lema kilikuwa cha maana sana.

Wengi hapa jamvini wanajua msimamo wangu linapokuja suala la Lema wengi walinipinga wengi walidhani nina chuki binafsi lakini leo wengi wanakubaliana na hoja zangu kwamba Lema anahitaji msaada hasa wa viongozi wa chama chake bahati mbaya viongozi wa chama chake badala ya kumsaidia wamebaki kumsifia hata katika masuala ya kijinga.
Huyu aliyesimama juu ya pikipiki utasemaje si afadhali mara mia aliyekaa juu ya gari.

122.jpg
 
Back
Top Bottom