Temeke na athari za madawa ya kulevya

Kama wewe umeona basi tambua vyombo vya Dola vimeona zaid yako, rushwa ndo tazo,na ujinga ndo chanzo
Mimi sio mkazi wa Temeke ila kutokana na shughuli zangu kuna wakati nashinda sana eneo hilo.katika utafiti wangu usio rasim nimegundua vijana wengi wa eneo hilo wanajihusisha na uzaji wa madawa ya kulevya(unga).

Mbaya zaidi vijana wengi wemeshaathirika na matumizi yake.wamechoka sana na kudhoofika miili.eneo ambalo linaoongoza kuwa na suppliers wengi ni mtaa wa wailes.naomba niongee jambo moja hapa hata kama litawakera wengine.

Ni hivi wauza unga wengi wa eneo hilo ni vijana wa kipemba,zaramo na wandengereko (wazawa) hata watumiaji pia. Asilimia kubwa ni vijana wa jamii hizo hizo.

Sijapata jibu kwanini inakuwa hivyo.serikali ipo wapi!!?

Wadau vijana wenzetu wanaangamia Temeke mtaa Wailes.
 
Kwanini hakuna omba omba? Wengi kipato ni cha chini? Kijichi,yale mabangaloo mbona yana tishia masaki na kinondoni? Au sehemu ndogo tu ya wakazi wake ndio wako vizuri?

actually sio tu Kijichi.chango'mbe pia kuna viwanda viingi tu na watu middle class wengi...
moja ya tatizo ni kuwa wilaya ya temeke ina watu wengi mno na wengi ni masikini..
mbagala peke yake ni zaidi ya watu milioni moja....asilimia zaidi 60 ya wanaotoka mikoani kuja
kutafuta maisha wanafikia wilaya ya Temeke.....
 
Niliwahi kufanya utafiti wa kitaaluma kuhusu kuongezeka kwa matumizi ya ulevi na niliichagua Temeke kuendesha zoezi hili, nakubaliana na TB, huku kuna umaskini mkubwa japo utajiri wa TMK ni mkubwa ukilinganisha na rasilimali zinazopatikana wilaya nyingine za dsm, vijana hawana ajira za maana na msongo walionao unawafanya wakimbilie ulevi, japo nilijikita katika ulevi wa pombe zaidi niligundua kuwa umaskini unasababisha wengi kujiingiza katika vitendo vya ulevi, wakipata kibarua malipo wanayatumia zaidi kwa ulevi na si kujihusisha katika mipango ya ujasiriamali
 
Kila siku huwa naumiza kichwa kuhusu selikali inavopiga kelele na madawa ya kulevya huku madawa yakiendelea kuingia na watu wakiendelea kutumia kama wanamaanisha wanachokisema kwa nini wasianze na watumizi kama mateja ukimaliza mateja bila shaka watataja wauzaji wote ukiwapata wauzaji utawapata waingizaji wamadawa si mchézo si ndo unakuwa umekwisha. au tunashindwa kwa maslahi ya nani?.
 
Temeke ni sehemu ya kawaida ila kwa dar es salaam nzima hakuna sehemu balaa kama manzese huu ni mji hatari kuliko yote dar.....naufananisha kama baghadad
 
Temeke ni sehemu ya kawaida ila kwa dar es salaam nzima hakuna sehemu balaa kama manzese huu ni mji hatari kuliko yote dar.....naufananisha kama baghadad
kwa waliotembelea U.S.A,kuna mji unaitwa brooklyn.sasa hii ni kama brooklyn ya bongo.
 
Nami nakuungamkono, tMK ni wilaya yenye maeneo mengi yanayoweza kutoa ajira kwa semiskilled wengi kuliko Ilala na kinondoni: tazama; bandari na viwanda na maghala ya bidhaa yako temeke kwa wingi kuliko wilaya nyingine zote, nadhani kuna sababu nyingine zaidi...... Serikali inalo la kujibu la sivyo bomu hili litailipukia.
Kwanini hakuna omba omba? Wengi kipato ni cha chini? Kijichi,yale mabangaloo mbona yana tishia masaki na kinondoni? Au sehemu ndogo tu ya wakazi wake ndio wako vizuri?
 
Hivi ile National Task Force Against Drug iliyoundwa mwaka 2006 na Raisi imetoa matokeo ya kazi yake? je bado ipo? ama imebadilika kuwa chombo kipya? Tunahitaji kupata uelewa wa ndani - juu ya dawa za kulevya. Hakika hii ni biashara kubwa sana, na kuipunguza inahitaji nguvu ya hali ya juu sana. Yawezekana isiishe, ila unaweza kupunguza matumizi kwa kasi hasa crack ambayo inamaliza afya haraka
 
handasi babkubwa ipo kwenye gomba tu mtu asikudanganye sio pombe wala huo unga
vijana wa kabila la warangi imewaharibu sana hiyo kitu.mmoja aliniambia kuna siku alishindwa kumtimizia haja GF wake kisa abdla kichwa wazi wake alipo lala alilala 1 kwa 1.hiyo ni sehem ndogo 2 ya madhara ya ku2mia gomba(mirungi/miraa.....)
 
Wailes kubwa funguka
maeneo ya pile,taifa,temeke mwisho au wapi?
Mimi sio mkazi wa Temeke ila kutokana na shughuli zangu kuna wakati nashinda sana eneo hilo.katika utafiti wangu usio rasim nimegundua vijana wengi wa eneo hilo wanajihusisha na uzaji wa madawa ya kulevya(unga).

Mbaya zaidi vijana wengi wemeshaathirika na matumizi yake.wamechoka sana na kudhoofika miili.eneo ambalo linaoongoza kuwa na suppliers wengi ni mtaa wa wailes.naomba niongee jambo moja hapa hata kama litawakera wengine.

Ni hivi wauza unga wengi wa eneo hilo ni vijana wa kipemba,zaramo na wandengereko (wazawa) hata watumiaji pia. Asilimia kubwa ni vijana wa jamii hizo hizo.

Sijapata jibu kwanini inakuwa hivyo.serikali ipo wapi!!?

Wadau vijana wenzetu wanaangamia Temeke mtaa Wailes.
 
Pamoja na mazoezi yote hayo Temeke bado inaongoza kwa vitendo vya uhalifu, achilia bangi, dawa za kulevya hata vibaka ndio kwenyewe huko. Labda mazingira yake nayaweza kuwa source ya tabia zao.

Nafikiri wewe huijui Dar kabisa, labda umehamia Dar ulipokuja kusoma ukanogewa na kusahau kwenu "SITIMBI" kwa mwenyekujua Dar huwezi kusema Temeke inaongoza kwa madawa ya kulevya kuliko Ilala na Kinondoni, fanya utafiti utaona
 
kwa wazungu wakubwa wanaotuma vijana kwenda kubeba mzigo wanapatikana ilala hasa magomeni.ila mapusha wengi wanapatikana temeke hasa mtaa wa wailes.
 
Back
Top Bottom