Tembocard Visa na Tembocard Mastercard!!

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,702
Hivi hizi huduma zinazotolewa na crdb za visacard na mastercard zina tofauti gani, na nini faida yake kwa watu kama sisi tusio wafanyabiashara!
 
haieleweki, yaweza kuwa ni yaleyale tu ya kutimiza unabii wa "aliyenacho ....na asiyenacho hata hicho kidogo kitachukuliwa"! Kwanza ukitaka kujua 'vision' ya hiyo product, sikiliza advert yao kwenye radio (jamaa anayechumbia..)!!!
 
Niliwauliza.....
Kimsingi ukitaka kuwa na VISA na MASTERCARD kwa pamoja inabidi uwe na kadi mbili....mastercard ina 'option' ya kubadili 'password' ila VISA huwezi kubadili....
Otherwise, faida ya wazi ni kwa wale wasafiri wa nchi mbalimbali...
 
Hapana. VISA unabadili password vile vile.
 
Visa kwa nchi za nje faida yake ni kwamba unaweza kua na credit hivyo hata kama huna pesa bado unaweza kufanya mambo yako na kulipa baadae...Mastercard unaweza kutumia ulichonacho tu.Kwa hapa kwetu sijui maana mi bado pesa zangu naficha chini ya kitanda!
 
Visa kwa nchi za nje faida yake ni kwamba unaweza kua na credit hivyo hata kama huna pesa bado unaweza kufanya mambo yako na kulipa baadae...Mastercard unaweza kutumia ulichonacho tu.Kwa hapa kwetu sijui maana mi bado pesa zangu naficha chini ya kitanda![/QUOTE]

Well said Lizzy, yaani wewe kama mimi tu, mara mia ufiche chini ya kitanda kuliko karaha ya hizi
benki za bongo! Nilishaacha kuweka pesa benki kitambo!
 
Hapana. VISA unabadili password vile vile.

Hili jibu nimelipata CRDB mazee...
Ila pia kwa wale watumiaji wa TemboCARD VISA hawana option ya kubadili password.....try it, naweza kuwa nilikosea!
 
Visa kwa nchi za nje faida yake ni kwamba unaweza kua na credit hivyo hata kama huna pesa bado unaweza kufanya mambo yako na kulipa baadae...Mastercard unaweza kutumia ulichonacho tu.Kwa hapa kwetu sijui maana mi bado pesa zangu naficha chini ya kitanda!
ndiyo nikawa nakumbushia ile advert ya hii product kwenye radio. Maana nilikuwa nikijiuliza wanaterget watu gani wanaofanana na advert!!!? ..."mwenye GX100, nyumba, wakili nk"
 
Visa kwa nchi za nje faida yake ni kwamba unaweza kua na credit hivyo hata kama huna pesa bado unaweza kufanya mambo yako na kulipa baadae...Mastercard unaweza kutumia ulichonacho tu.Kwa hapa kwetu sijui maana mi bado pesa zangu naficha chini ya kitanda!

Siyo kweli dada. Zote zinafanana kimatumizi isipokuwa Visa ni common Europe na M-card ni common USA.
Ukiwa na debit au credit card yenye balance ndio utaweza tumia, kama haina balance huwezi tumia iwe ni Visa au M-card.
 
Kwa hiyo sisi wa kipato cha chini na hatusafiri nchi za nje hizi kadi hazitufai.
 
Visa kwa nchi za nje faida yake ni kwamba unaweza kua na credit hivyo hata kama huna pesa bado unaweza kufanya mambo yako na kulipa baadae...Mastercard unaweza kutumia ulichonacho tu.Kwa hapa kwetu sijui maana mi bado pesa zangu naficha chini ya kitanda!

Kampuni zote mbili zina debit na credit cards! Debit cards ndo unatumia ulichonancho. Credit card ni mkopo tu. Kwa hiyo ukichanja kutumia CC, iwe ya Visa, Mastercard, Discover, Amex, n.k. ujue utadaiwa. Ni vema kuepuka kuwa na credit card na sidhani kama wabongo wengi wako creditworthy hata kupata hiyo credit card.

Na kampuni zote ni major na zote ni za Marekani!!!!
 
Mhhhhhhhhhhhh................ hapo nilipochora mstari.............no comment!!
 
Kampuni zote mbili zina debit na credit cards! Debit cards ndo unatumia ulichonancho. Credit card ni mkopo tu. Kwa hiyo ukichanja kutumia CC, iwe ya Visa, Mastercard, Discover, Amex, n.k. ujue utadaiwa. Ni vema kuepuka kuwa na credit card na sidhani kama wabongo wengi wako creditworthy hata kupata hiyo credit card.

Na kampuni zote ni major na zote ni za Marekani!!!!
Hapa sijakuelewa mkuu!
 
Siyo kweli dada. Zote zinafanana kimatumizi isipokuwa Visa ni common Europe na M-card ni common USA.
Ukiwa na debit au credit card yenye balance ndio utaweza tumia, kama haina balance huwezi tumia iwe ni Visa au M-card.
Umesoma vizuri niliposema Visa "UNAWEZA kua na credit"??Sijasema ni lazima..nimesema unaweza!Na swala kua common wapi sina hakika nayo maana najua Europe wanatumia zote.
 
Ufafanuzi bado haujajitosheleza.
Wengi mnatupa maana ya debit card na credit card bila kujali ni Visa ama Master. Mtoa hoja anataka mtujuze "huduma atoazo crdb za visacard na mastercard zina tofauti gani"?

Manake nasikia unatakiwa akaunti isipungue kiasi fulani. Wenye kujua tusaidieni tafadhali!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Zote hizo ni kadi za kurahisishia matumizi ya pesa. Vigezo, masharti,riba, na mengineyo kama hayo hutofautiana baina ya mtoaji wa kadi.

Kwa masharti na vigezo mahsusi wasiliana na hao CRDB
 
Hili jibu nimelipata CRDB mazee...
Ila pia kwa wale watumiaji wa TemboCARD VISA hawana option ya kubadili password.....try it, naweza kuwa nilikosea!

Nimeshabadilisha ndio maana nakwambia. Kuna wakati unapewa option ya kubadilisha password, na wakati mwingine huioni option hiyo. Nadhani inategemea ATM machine unayotumia.
 
Back
Top Bottom