;televisheni za kitanzania kutoonyesha mechi muhimu za ligi kuu ,kulikoni.

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,952
wakuu nashangaa ni kwa nini vituo vyetu vya televisheni ikiwemo TBC ambayo inaendeshwa kwa kodi za walalahoi wao saa zote jioni wanatuonyesha bongofleva tu.
Leo kuna mechi muhimu ya waatani wa jadi kati ya simba na yanga lakini washa vituo vyetu usikie kinachoendelea ni ma bongofleva tupu je wadau tatizo hapa ni nini.au kuna sheria ya udhamini inayowabana?
 
Tatizo ni wadhamini, mfumo wetu watanzania, na viwango vya juu vinavyotozwa na chama cha soka wakishirikiana na vilabu vyetu
 
Simba wanapata penalt baada ya Okwi kuangushwa na Nsajigwa. Sunzu anapiga goooooo! Simba 2 - 0 Yanga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom