Teknolojia ya kumfufua binadamu aliyekufa...

thesym

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
3,792
4,681
Kampuni ya Huamai iliyopo marekani Los angela inampango wa kufanya ufufuzi wa mtu aliyekufa. watafiti wana mpango wa kumfufua mfu kwa kugandisha ubongo wake halafu wanamtengenezea akili bandia(artificial intelligence). Humai technology wanataka kulitimiza hili kwa kufanya project yao iitwayo "Atom & Eve" ambayo itaiwezesha ufahama wao (consciousness) kuhamishiwa mwili bandia baada ya kufa kwao. Watafiti hao wanataka kufanikisha haya kwa kutumia teknolojia tatu ambazo ni bionics, nanotechnology and artificial intelligence

kwa taarifa zaidi :

Researchers plan to bring dead to life by freezing their brains and then resurrecting them with artificial intelligence

Bringing the dead back to life is futuristic and final frontier of science and Humai is working on just that. Humai is a technology company based in Los Angeles and is working on a project known as “Atom & Eve” that would let human consciousness be transferred to an artificial body after their death.

The artificial intelligence company has said it can resurrect human beings within the next 30 years. The “conversational styles, [behavioural]patterns, thought processes and information about how your body functions from the inside-out” would be stored on a silicon chip through AI and nanotechnology.

Humai researchers are banking on three technologies – bionics, nanotechnology and artificial intelligence – to achieve their goal of bringing the dead back to life and they feel that it will take around three decades for them to achieve this goal.

The founder of Humai, Josh Bocanegra told the Australian Popular Science: “I accept death, I’m not afraid of it that I’m not 100% sure I’m going to die one day.” While their Facebook page states, “Will death always be inevitable? We don’t think so.”

Bocanegra told Australian Popular Science that the brain of the deceased will be frozen using cryonics technology so that when the technology is fully developed they can implant the brain into an artificial body.

Humai says that bringing a body back to life won’t be easy, or cheap. It’s not known how the brains would be harvested, or for that matter, how much it would cost to bring someone back from the dead. Bocanegra says,”Using cloning technology, we will restore the brain as it matures”. “I don’t think of it as fighting death. I think of it as making death optional. I personally cannot imagine why someone would want to die, but I respect everyone’s wishes,” Bocanegra adds.

The most astonishing fact about Humai is that it consists of only five members. Two of them are researchers, one is the ambassador and an AI expert.

Should we be playing with the nature and bringing back the dead? Do put in your views in the comments section


A technology that can bring dead back to life might be a reality soon » TechWorm
Humai wants to resurrect the dead with AI, cloning and nanotechnology – but is it real?


 
Kampuni ya Huamai iliyopo marekani Los angela inampango wa kufanya ufufuzi wa mtu aliyekufa. watafiti wana mpango wa kumfufua mfu kwa kugandisha ubongo wake halafu wanamtengenezea akili bandia(artificial intelligence). Humai technology wanataka kulitimiza hili kwa kufanya project yao iitwayo ?Atom & Eve? ambayo itaiwezesha ufahama wao (consciousness) kuhamishiwa mwili bandia baada ya kufa kwao. Watafiti hao wanataka kufanikisha haya kwa kutumia teknolojia tatu ambazo ni bionics, nanotechnology and artificial intelligence

kwa taarifa zaidi :
A technology that can bring dead back to life might be a reality soon » TechWorm
Humai wants to resurrect the dead with AI, cloning and nanotechnology – but is it real?

Wataweza lakini kumrudisha mtu aliyekufa kuwa hai?
 
Binafsi Siamini kama watu watano tu,wanatosha kukamilisha Project kubwa kama Hiyo,tena ndani ya miaka 30 tu?

Ubongo wa mtoto mchanga tu,una uwezo sawa na super-computers zaidi ya 100,000
sasa Silicon chip ndogo inaweza kweli kuhifadhi kumbukumbu zote za mwanadamu kama ubongo?
Bado hawajanishawishi kwa kweli.Loh!
 
Kama walishindwa mtibu magonjwa wakaweka mochwari mahospitalini kuonyesha hawana uhakika na wanachokifanya eti leo wanamrudisha aliekufa teh teh, bado tu hawajapata sayari ya kwenda kuishi dunia inawapasua kichwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom