teH Teh tEh...Massanja mkandamizaji nOmAaa...!!

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Enzi za ukoloni wabongo
wawili wakawa wa
kwanza kupanda ndege, safari ya kuelekea
ulaya;
mbongo 1: Aise hivi hii
ndege ikizima huku juu
itakuwaje?
Mbongo 2: Shhhhhh uchune, hawa wazungu hawana
maana watatulazimisha
tuisukume mpaka iwake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom