Unaturudisha enzi za uhuru kweli??!!Hata Nyerere alitembeza bakuli ili kwenda kudai uhuru wa Tanzania, nini cdm?
Unaturudisha enzi za uhuru kweli??!!Hata Nyerere alitembeza bakuli ili kwenda kudai uhuru wa Tanzania, nini cdm?
Asante kwa kunitukana "Nyoko"! Mungu akuongezee ujinga huo ili uweze pia kutukana wazazi wako!!TBC ndio wamenyoosha mikono nyoko!
Kwanza CHADEMA haina haja ya kurushiwa matangazo na hao wana CCM.
Unaturudisha enzi za uhuru kweli??!!
Sasa wewe kwenye Saccos ya Mwenyekiti Faru John una umuhimu gani?? Wewe ni mpiga debe tu!Sijapendezwa na cdm kuelewena na hao mabazazi, ilipaswa wawapotezee mazima. Hakuna muda wa kubembelezana na vibaraka wa chama cha wazee.
Nisamehe mtani!! Ila mwaka huu tunawagegeda wakavu wakavu! Mkijidai kuiba kura tunaingiza raia barabarani maana mwaka huu hatukubaki kuibiwa kiboya!Asante kwa kunitukana "Nyoko"! Mungu akuongezee ujinga huo ili uweze pia kutukana wazazi wako!!
Uwezo wa kuwa na bundleUnapambana kinyama...kila bandiko uko....unahitaji tunzo aseeee....
Wewe huwa unawi?Tena hata enzi za uhuru si nimetoa upendeleo sana? Sisi bado tuko kwenye enzi za elimu ya kunawa mikono ukitoka chooni.
SahihiWamemalizaje?TBC wanapaswa kujirekebisha,vinginevyo yatajirudia na yatawakumba makubwa zaidi
Sasa wewe kwenye Saccos ya Mwenyekiti Faru John una umuhimu gani?? Wewe ni mpiga debe tu!
Kumbe ni mtani? Basi nimekusamehe! Nilifikiri shemeji zangu Wachagga!Nisamehe mtani!!
Hapo natofautiana na wengi,na huwa najaribu kukumbushia mapungufu ya utungaji was Sheria zetu.Nawarudisha watu nyuma kutafakari miswaada ya hati za dharura, Mara nyingi Zina lenga Mambo mahsusi ,kwa watu mahsusi,kwa malengo mahsusi na ukiangalia kwa undani huwa Zina hasara kwa wengi zaidi ya faida.isipokuwa chache ambazo kweli zinahitajika katika dharura zile zinazo tambulika kikatiba.Sheria za utangazajj haziruhusu kuonyesha au kutangaza mtu akimwaattack mwingine bila kumpa nafasi mwingine kujitetea. Lazima ubalance habari
Kajinyonge!Sijaridhishwa na makubaliano haya
Tumewaengua kwenye uchaguzi zaidi ya wabunge 18 madiwani 500 lakini mmeufyata mnajua, kabisa mkiingia barabarani nini kitatokea.Nisamehe mtani!! Ila mwaka huu tunawagegeda wakavu wakavu! Mkijidai kuiba kura tunaingiza raia barabarani maana mwaka huu hatukubaki kuibiwa kiboya!
Sheria za utangazajj haziruhusu kuonyesha au kutangaza mtu akimwaattack mwingine bila kumpa nafasi mwingine kujitetea. Lazima ubalance habari