Uchaguzi 2020 TEF yamaliza Mgogoro wa TBC na CHADEMA, wapeana Mkono

Mbowe kadondosha wengi humu JF. Usiyempenda karudi,tune tbc kuona mgombea wako laivu
 
Vipi Wanasaccos wamenyosha mkono!!?
Huwezi ukashindana na TBC ukashinda. Chadema wameenda kuomba poo. Hili ni funzo kwa lissu tabia ya kuropoka hivyo mwisho wake hua ni aibu kama aliyoipata Mbowe.

Chadema mpinzani wenu ni ccm. Sio vyombo vya uchaguzi.
 
Nawapongeza sana TEF kwa jitihada zao na kutambua umuhimu wa uhirikiano baina vyama vya upinzani na media hasa TBC.
Vinginevyo ni jambo jema kwamba mkurugenzi wa TBC ameysona mapungufu yao.
Ni habari njema.
Na wakileta tena ujinga wao wa kukata kata matangazo ya cdm tunawatimua woote bila kujali kama tumepatanishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaam Wakuu,

Baraza la Wahariri Tanzania (TEF) limemaliza Mgogoro kati ya Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA...
Heri wapatanishi maana hao wataitwa wana wa Mungu ...hapa hakuna mshindi wala mshindwa...

Jr
 
Back
Top Bottom